Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nina house girl wangu mpya kaja na mwanae anaitwa junior na jinsi anavyo mlea huyo mtoto ipo siku ataninunia week nzima, we uliona wapi mtoto wa kwanza ukamuita junior[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo hilo jina anatakiwa kupewa mtoto wa ngapi
 
Wanawaangalia na Watu wenyewe wa kuwafanyia ujinga, mimi Mtoto awe wangu awe wa jirani awe wa ndugu wanajua fika sipendi ujinga, sipigi Mtoto ila nina Mikwara [emoji23]

[emoji81][emoji81][emoji81]
 

uyu anafanana kabisaaaaa na mtoto wa shemeji yangu ye kamaliza form 4 mwaka jana now ana 19yrs, aisee nilishangaa jinsi hajui kupika chochote ata ugali, na yeye ananunua chips zake anakula, na ana kiburi cha muujiza.
Nilimshangaa sana halafu ametoka kijijini ndanindani kabisaaaaa.
 

nilishangaa sana inakuaje binti wa kijijini kabisa ndanindani hujui kupika chochote ata ugali wakati sisi wa kijijini ndio tunaanza kujifunza kupika ugali tukiwa darasa la pili[emoji23]
 
Halafu mtoto kama huyo ndio unakutana nae on her 25 anatafta mume hamna anachoweza. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huo upumbavu kwetu hamna na hata kwa mtoto wangu siwezi ruhusu. Akileta umama anakula banzi tu na kwenda kulala njaa na hamna kitu mama yake atafanya.
 
Sasa wewe mpaka ugenini unabeba radio 😝😝😝😝
Afadhali dogo alikunyoosha.
Ahahahaha
 
Hahahahahahah
Toto bad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…