ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kuna sura fulani hivi ukimletea oale mwanzoni tu mnapoonana anajua wewe si wa mchezoWanawaangalia na Watu wenyewe wa kuwafanyia ujinga, mimi Mtoto awe wangu awe wa jirani awe wa ndugu wanajua fika sipendi ujinga, sipigi Mtoto ila nina Mikwara [emoji23]