Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?

Hahahahahah
 
Nilipata mfanyakazi wa stationery bana wakati anaanza kazi weekend alikuwa ana kuja na mtoto wa dada ake sasa kuna siku tuna mteja anasubri passport size dogo si akaanza kuropoka odo umejamba nilikaangalia kakaongeza sauti daaah alipoondoka mteja, nilimwamuru yule amrudishe dogo home na asije tena nae ofisini.
 
Wengine tukifika ugenini tunaogopwa mpaka na wazazi, tupo very strictly, Ukali upo usoni kabisa. Tunajitahidi kutabasamu kuuficha lakini watoto wanasaikolojia ya kumtazama macho na kumuelewa mtu ni wanamna gani
Naona tunafanana mi hata watu wazima hawanizoei kirahisi rahisi
 
Kuna watt wamejaliwa uelewa mapema sana sema familia zetu za kiafrika tunashindwa kugundua hilo mapema
 
Ndio unakutana na huyu binti unasema ni wife material oa sasa kimbembe chake [emoji3]
 
Duuh!hata mm sirudi aiseee
 
Kuna watu wanawaharibu watt wao wenyewe kwa malezi ya hovyo
 
Hata hivyo tayari ww ulishaharibika,ungekuwa umelelewa malezi mazuri sidhan kama huo ujinga wa kunyea unga ungeufanya japo uliadhibiwa kwa kosa ulilofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…