Mimi akiniona mimi haombi katuni, sana sana atachukua daftari anajifanya anasoma kwa sautiWatoto wengi hawaogopi mama zao kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ww inaonekana ni mmojawapo wa watoto wenye tabia mbovu [emoji706][emoji706][emoji706]Ongezea na radio cassete na simu ya kukoroga iendane na akili yako maana ndio raha yako, washamba mnazingua sana
Ndio mjitahidi kwenye malezi sababu wamama asilimia kubwa ndio mnaharibu wattHuu uzi unachekesha sana hahahaha
Upi tenaKuna moja kiboko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]suzie _barbie ww ni kufurahi tuu[emoji3][emoji3][emoji2]
Mkuu nitaupataje namimi nikacheke
Ata mm nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maisha haya nilikuwa nimeenda Dar kwa mjomba angu tumbo moja na mamangu, mie huwa siwapendi sana paka na nawaogopa kweli sasa sijui ni uzungu mwingi uyo mtoto wa mjomba (11 yrs) akawa amempaka kabisa kidogo paka akashuka akawa kama ananipitia wee niliruka nikapiga yowe. Ikawa kosa akamkimbiza akamkamata akawa anakuja kunirushia wee nilikereka alafu wao wanacheka 😡
Kuna sista du mmoja alinivunjia kioo simu yangu kisa kuogopa paka wa bar alinikera sanaMaisha haya nilikuwa nimeenda Dar kwa mjomba angu tumbo moja na mamangu, mie huwa siwapendi sana paka na nawaogopa kweli sasa sijui ni uzungu mwingi uyo mtoto wa mjomba (11 yrs) akawa amempaka kabisa kidogo paka akashuka akawa kama ananipitia wee niliruka nikapiga yowe. Ikawa kosa akamkimbiza akamkamata akawa anakuja kunirushia wee nilikereka alafu wao wanacheka 😡
Pole sana shemeji yako hana busaraMiaka furani bhana kuna likizo tulikwenda kwa sista wazo kwenye kota zile sasa asabui dada yangu na ndugu wakike wa mume wa dada asubui walikurupuku na mtoto wa sista akatikisa kabati ambali juu yake kulikuwa na kinanda cha dogo kanunuliwa kama toy achwze kikaanguka na kuvunjika sasa ile mimi natoka wakanitaja mimi shemeji alinipa Kofi la maana tokea siku ile mpaka leo sijawai kuumaliza usiku kwake na hata nikienda basi nampeleka mtu hata nikikutana nae njiani yeye wala watoto siwasalimii na nashukuru watoto wake nimesahau hata sura sizikumbuki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliwahi kwenda kwa ndugu yangu fulani kuna mambo ilikuwa nafatilia huko,
Miaka hyo ndy naanza maisha,,,
Ilipofika mida ya kula,,katoto cha yule ndugu yangu kalinitwanga na kiatu skuna kisogoni,
Hata chakula nusu kinipalie mdomoni.
Maumivu niliyoyasikia nikageuza kicheko.,
Bila kufanya vile na kuanza kulalama maumivu ya kupigwa na skuna ,,
Ningefukuzwa usiku ule ule.,
Kukaa Kwa ndugu kunahitaji PHD ya uvumilivu.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app