HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Mimi akiniona mimi haombi katuni, sana sana atachukua daftari anajifanya anasoma kwa sautiWatoto wengi hawaogopi mama zao kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sipendi mtoto akilia maana naweza mwongezea hadi anyamaze