Upendo iswa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 345
- 548
Uliamua kujitoa ufahamuTupo Sebuleni tunatizama Habari ITV namsikia kabisa kuwa Kajamba Yeye ila kwakuwa yuko Kwao akanisingizia Mimi na Mimi kwa Hasira sasa nikaamua Kuwajambia Mubashara ambapo Harufu ya Mjambo wangu ikaonekana ni tofauti na yake ndipo Baba yake akamkamata na Kumchapa sana Viboko na baadae Kuniomba Radhi pia.
Si ulinifundisha uncle nisikae kizembe[emoji23]Siku hizi uncle unaongea sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa na stress sana huuu Uzi umenifanyia nicheke Hadi kupaliwa
Dogo ana akili nzuri mnoKatoto kadogo darasa la awali namfundisha tuition hapa (do not comment 🤣) jana tu alinisimulia jinsi bibi yake alivyochimba au tuseme alivyouza mchanga eneo la hifadhi akakamata.
Mtoto anamtaja hadi mtu aliyemfitini bibi yake.
Alimtaja hadi aliyemtolea bibi yake hela ya dhamana.
Akaniambia siku ya kesi ni tarehe 8, nimeona mtoto mdogo mwenye uwezo mkubwa wa uelewa.
Muanzisha mada alichukia kwelikweli, hata style ya mada yake unaona kabisa alikwazikasasa alipolala walimnyang'anya au waliichukua!?
Si mtoto tena huyo ni mshirika wao!
Hiyo lawama ya kusema hupendi watoto hata mimi napewa sanaMimi mpaka wife ananipiga mkwara kuwa mtoto wetu ndio wa mwisho hazai tena kwa sababu "sipendi" watoto. Ila sio kwamba sipendi watoto, sipendi upuuzi wa watoto. Tena upuuzi wa makusudi.
Sipendi ujinga kabisa.
Wew kiboko[emoji23]Mmenikumbusha enzi za utoto wangu .Chakula nilichokuwa napenda sana ni wali ndondo na lazima ndondo lipikwe daily kwa ajili yangu.Sasa ikafika kipindi no wali no ndondo.Sasa kwa kuwa nilikua sitaki ugali nikaamua kuunyea unga uliokuwa umehifadhiwa safi kabisa kwenye kilindo.Jiweke kwenye nafasi ya mzazi unatoka kwenye mihangaiko yako unakuta mwanao kanyea unga.Simu ni moja tu tukutane benki.
Ulimnyoosha safi kabisaMjukuu wa mama mwnye nyumba ana miaka kama 3 hivi. Siku hiyo kametoka huko kalikotoka kakaja kunitukana umbwa wewe… aiseeee nilivua lapa nilikapiga halafu nikakabeba nikakapekeka kwa bibi yake nikamwambia nimempiga mjukuu wako huyo hapo. Tangu siku hiyo akiniona ni shikamoo tuu kapuuzi kale
Pole sana mkuu,shemeji inaonekana mtata sanaMiaka furani bhana kuna likizo tulikwenda kwa sista wazo kwenye kota zile sasa asabui dada yangu na ndugu wakike wa mume wa dada asubui walikurupuku na mtoto wa sista akatikisa kabati ambali juu yake kulikuwa na kinanda cha dogo kanunuliwa kama toy achwze kikaanguka na kuvunjika sasa ile mimi natoka wakanitaja mimi shemeji alinipa Kofi la maana tokea siku ile mpaka leo sijawai kuumaliza usiku kwake na hata nikienda basi nampeleka mtu hata nikikutana nae njiani yeye wala watoto siwasalimii na nashukuru watoto wake nimesahau hata sura sizikumbuki
Alichukua maamuzi ya haraka tuPole sana mkuu,shemeji inaonekana mtata sana
mwache Alie hii sio PS
Pole sana.Miaka furani bhana kuna likizo tulikwenda kwa sista wazo kwenye kota zile sasa asabui dada yangu na ndugu wakike wa mume wa dada asubui walikurupuku na mtoto wa sista akatikisa kabati ambali juu yake kulikuwa na kinanda cha dogo kanunuliwa kama toy achwze kikaanguka na kuvunjika sasa ile mimi natoka wakanitaja mimi shemeji alinipa Kofi la maana tokea siku ile mpaka leo sijawai kuumaliza usiku kwake na hata nikienda basi nampeleka mtu hata nikikutana nae njiani yeye wala watoto siwasalimii na nashukuru watoto wake nimesahau hata sura sizikumbuki
Wewe ni mpumbavu. Pengine hata huelewi radio ni nini. Watu wanamiliki magari ya kifahari na ndani yana radio. Nyumbani kuna Home theater, Subwoofer na hizo zote ni aina ya radio za kisasa.Nani ana radio siku hizi ( labda kwenye simu lakini sio radio kama zamani)? utakuwa mshamba au mtu wa zamani sana wewe
[emoji23]"Umekuja kuomba Hela kwetu " sijawahi kumtembelea tena yule rafiki yangu
[emoji23][emoji23]hatariNilienda kutembelea ndugu jijini dar es salaam sasa katoto ka sister kakaja tukawa tunapakua msosi nilivyomaliza kukapakulia.nikajipakulia na mimi wacha kashtuke eti khee njomba unakula sana naenda kusema kwa mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787]"Mavi hayajaenda hayo" alisikika mtoto akimwambia mgeni baada ya kutoka kuflash na kutoka chooni.