Kituko Kingine, Serikali kutumia Mabilioni ya Fedha Et Taifa lianzie kutumia Maji ya chini ya Ardhi

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Heeeeee, hata kama ni Kutengeneza mazingira ya Padiemu , hizi zingine muwe mnatumia akili hata kidogo.

Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, Ziwa Victoria Baba laooo, vijiziwa vidogo vidogo , yote hayo Mungu katupa, bado mnapanga kutupiga watanzania ?.

Ziwa Victoria linahamisha watu Kwa sababu ya kufurika kulikopitiliza.

Et ongezeko la watu..

Mara hali ya hewa

Mara kuharibiwa na watu !!.

Wezi wakubwaa msokua na akili , mfyuuuuuu .

View: https://youtu.be/nLwJW_20qqw?si=zF50KyRv8bP0Qw2t
 
hiii yote wanamwogopa Misri, amepiga marufuku tusitumie maji ya victoria. na utawala wa kiarabu ulioko madarakani ndio ngao yao. kama wanataka tutumie maji ya underground, basi misri wenyewe ndio watoe hela kuchimba na kusambaza kama substitute, ama la kuna Rais toka kwa Mungu atakuja kuingia na tutatumia maji ya ziwa victoria yashuke hadi Dodoma na mikoa mengine.
 
2024/2025 miradi mingi ni michepusho ya mpunga kwa ajili ya kulisha wananzengo. Huu mpunga unahitaji kulimwa kwa ustadi mkubwa sana. Elewa mpunga ndio unaleta wali mezani 😀😀😀😀😀😀😀
 
Mwaka Jana Kwenye uhaba WA Maji, ghafla kukachimbwa kisima kirefu chenye urefu wa mita mia kadhaa.....Bi nanihiii akakizindua, kelele, shangwe na nderemo vikasikika! Leo hii hata mwaka haujaisha, Ubungo hapa hatuna Maji week ya tatu...
 
Kule Ntwara kisima Cha maji kinatoa gesi. Nobody anashughulika na hiyo gesi inayopotea, tunahangaika na kuagiza gesi nje ya nchi.
 
Heeeeee, hata kama ni Kutengeneza mazingira ya Padiemu , hizi zingine muwe mnatumia akili hata kidogo.

Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, Ziwa Victoria Baba laooo, vijiziwa vidogo vidogo , yote hayo Mungu katupa, bado mnapanga kutupiga watanzania ?.

Ziwa Victoria linahamisha watu Kwa sababu ya kufurika kulikopitiliza.

Et ongezeko la watu..

Mara hali ya hewa

Mara kuharibiwa na watu !!.

Wezi wakubwaa msokua na akili , mfyuuuuuu .

View: https://youtu.be/nLwJW_20qqw?si=zF50KyRv8bP0Qw2t

Wana makammpuni yao uchwara ya kuchimba visima
 
Hamna tofauti kati ya maji ya chini ya ardhi na yale ya juu ya ardhi ili mradi kuwe na urahisi wa kuyapata.
 
Hivi Maswi amepelekwa katibu mkuu wizara gani ile? Nikumbusheni
 
Heeeeee, hata kama ni Kutengeneza mazingira ya Padiemu , hizi zingine muwe mnatumia akili hata kidogo.

Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, Ziwa Victoria Baba laooo, vijiziwa vidogo vidogo , yote hayo Mungu katupa, bado mnapanga kutupiga watanzania ?.

Ziwa Victoria linahamisha watu Kwa sababu ya kufurika kulikopitiliza.

Et ongezeko la watu..

Mara hali ya hewa

Mara kuharibiwa na watu !!.

Wezi wakubwaa msokua na akili , mfyuuuuuu .

View: https://youtu.be/nLwJW_20qqw?si=zF50KyRv8bP0Qw2t

Umeelewa hoja au ndiyo changamoto ya akili?
 
hiii yote wanamwogopa Misri, amepiga marufuku tusitumie maji ya victoria. na utawala wa kiarabu ulioko madarakani ndio ngao yao. kama wanataka tutumie maji ya underground, basi misri wenyewe ndio watoe hela kuchimba na kusambaza kama substitute, ama la kuna Rais toka kwa Mungu atakuja kuingia na tutatumia maji ya ziwa victoria yashuke hadi Dodoma na mikoa mengine.
Lowasa alishalimaliza hili
 
Back
Top Bottom