William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
- Thread starter
-
- #61
Simba ni timu yangu najaribu kuweka sawa vitu nahisi wachambuzi washanunuliwaHebu diskasini li timu lenu kila muda Simba Simba...ila endeleeni maana na nyie ni mafolowazi wetu..
Njooni na Takwimu zingine kutoka source nyingine. Msiwaamini wachambuzi wamenunuliwa.Kaja na tutakwimu twake twa livescores anaanza kusumbua
Mwaka huu ndio najaribu kufumbua watu macho. Tusiongozwe na wachambuzi wanaonunuliwa. Njoo na cv za huyu kocha vichekesho mtupuInakuhusu nini wewe bwenga kwani umeombwa kuchangia hata senti kugharamia ujio wao? Umekomaa na nyuzi zako kila dakika kuponda kila linalofanywa na Simba, tumekuchoka na ushamba wako. Kama vipi anzisha timu yako usajili kama unavyotaka wewe.
Usifananishe Company na hiki kituko. Hafiki ata kwa mexime.Na Mimi nilitaka nimwambie hii kitu
Sasa mbona mtoa mada ni shabiki mwenzenu wa simba!! Na ametoa maoni yake kwa kadiri alivyo ona inafaa! Mlitakiwa kumjibu kwa ustaarabu tu na kwa hoja. Na siyo kwa kumshambulia kwa matusi na maneno mengine makali.Hebu diskasini li timu lenu kila muda Simba Simba...ila endeleeni maana na nyie ni mafolowazi wetu..
AHahhahah Tate nanee....Sasa mbona mtoa mada ni shabiki mwenzenu wa simba!! Na ametoa maoni yake kwa kadiri alivyo ona inafaa! Mlitakiwa kumjibu kwa ustaarabu tu na kwa hoja. Na siyo kwa kumshambulia kwa matusi na maneno mengine makali.
Mwasibu amejaribu kwa kuweka taarifa ya kuonesha huyo kocha ametokea Raja Casablanca, na siyo Afrika ya Kusini. Ingawa na yeye pia mwisho wa siku ameishia tu kuchafukwa kama ilivyo kawaida yenu!!
Muhimu tu ligi ikianza kuchanganya, tusisikie tena zile kelele za kumkataa Mwenyekiti, au baadhi ya wachezaji wenu mnao watukuza wakati huu wa usajili.
Mtani una furaha sana na huo usajili wenu wa akina Mutare, sijui Mukwala!! Ila ligi ikichanganya tu, na furaha yote inaanza kuyeyuka.AHahhahah Tate nanee....
Tuache maneno, mambo haya aliambiwa hata Nabi wakati anafika Yanga kuwa hajui kitu. Mbinu ni zile zile huenda akapata wasaa mzuri Simba.Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United. Kwanza kaishusha daraja timu hiyo msimu uliopita na Msimu kagongwa vibaya ligi ya chini.
Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.
Ndio yale ya Timu kupewa Cadena na Matola.
kama Mo hana ela zzakuendesha timu silazimishe sifa.
Eti alikuwa msaidizi Mamelod lini hiyo. Sasa
1. Anatoka timu iliyo ligi daraja la kwanza South Africa
2. Kati ya mechi 30 za mwisho kashinda 7tu na kapigwaa 10. Ligi daraja la chini uko uko.
3. Timu yake haijafika ata kucheza play of ili ipande daraja.
4. Alishawahi kuajiliwa Orlando Pirates akafukuzwa ndani ya robo msimu.
Hajui lolote kuhusu mechi za kimataifa.
Kocha mwingine wa mchongo mchongo.
View attachment 3034301
Msimu uliopita aliishusha pia timu hiyo daraja. Akiwa kocha.
Hana timu kwa sasa. Tim
Ni kocha mbovu zaidi kuliko wote South AAfrica
Timu yake inaitwa Maritzburg United
View attachment 3034289
View attachment 3034285
Ingia mtandaoni. Tena sio google. Mtu hawezi kutoka kuwa kocha mkuu miaka 6 hadi benchi la ufundi Laja ukasema umeleta kocha.
Shida sio kumuelewa tu. Mtu hawezi kutoka kuwa kocha kwa miaka 7 baadae akawa assistant coach hahaha. Uongo dhambi Simba tunachezewa sana sheleTulimuelewa vyema Benchika na akashindwa ngoja aje huyo msiemuelewa ili siku moja awafundishe kumuelewa...
Usifananishe nabi na huu uchafu. Huyu sio kocha labda anafanya kitu. Bora Maxime tu. Au mkwasa, kawa kocha miaka saba bila mafanikio yoyote.Tuache maneno, mambo haya aliambiwa hata Nabi wakati anafika Yanga kuwa hajui kitu. Mbinu ni zile zile huenda akapata wasaa mzuri Simba.
Usifananishe nabi na huu uchafu. Huyu sio kocha labda anafanya kitu. Bora Maxime tu. Au mkwasa, kawa kocha miaka saba bila mafanikio yoyote.Tuache maneno, mambo haya aliambiwa hata Nabi wakati anafika Yanga kuwa hajui kitu. Mbinu ni zile zile huenda akapata wasaa mzuri Simba.
Lakini huyu tunamjua ndiomaana tunamchambuaKishingo ulikuwa unamjua kabla hajaja Simba?
Mna hangaika sana.
Mzee mbona una comment sana umetumwa?Lakini huyu tunamjua ndiomaana tunamchambua
Laja ndiyo mdudu gani wewe bwenga? Achana na Simba yetu tumekuchoka na utopolo wako.Ingia mtandaoni. Tena sio google. Mtu hawezi kutoka kuwa kocha mkuu miaka 6 hadi benchi la ufundi Laja ukasema umeleta kocha. Mfyuuuu!!!
Ila Joyce wa kiume, hamkuwa na was was? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]somebody mashaka, jina lenyewe tu tayari inatia shaka
Kwani team yako? Hizo kelele za kumkataa mwenyekiti wetu wee inakuhusu nn? Km hutaki kusikia si uepuke nazo? Kutwaa kuranda kujua yasiyokuhusu lazima ukerekwee.Sasa mbona mtoa mada ni shabiki mwenzenu wa simba!! Na ametoa maoni yake kwa kadiri alivyo ona inafaa! Mlitakiwa kumjibu kwa ustaarabu tu na kwa hoja. Na siyo kwa kumshambulia kwa matusi na maneno mengine makali.
Mwasibu amejaribu kwa kuweka taarifa ya kuonesha huyo kocha ametokea Raja Casablanca, na siyo Afrika ya Kusini. Ingawa na yeye pia mwisho wa siku ameishia tu kuchafukwa kama ilivyo kawaida yenu!!
Muhimu tu ligi ikianza kuchanganya, tusisikie tena zile kelele za kumkataa Mwenyekiti, au baadhi ya wachezaji wenu mnao watukuza wakati huu wa usajili.
Hata kushuka daraja, kwani nyie panawaumaa wapiiii?Kumbe wewe ni thimbaaaa. Aisee sasa nyie kweli mnataka ubingwa au mnataka nafasi ya nne
Huyo amekuwa kocha kwa miaka saba anadundwa tu. Kakosa timu anaajiliwa kuwa asistance. Mi Simba dam dam msimu ukianza tutaelewanaLaja ndiyo mdudu gani wewe bwenga? Achana na Simba yetu tumekuchoka na utopolo wako.