Katika hali inayoendelea kuonesha uozo ulipo katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali wamehusika katika kumteua Daktari Msaidizi/ Assistant Medical Officer (AMO) kutoka Singida kushika wadhifa wa Mganga Mkuu wa Mkoa (RMO katika Mkoa mpya wa Simiyu. Uteuzi huu umekiuka miongozo inayosema kuwa Mganga Mkuu wa Mkuu natakiwa kuwa Daktari kamili yaani Medical Doctor mwenye shahada ya kwanza ya Udaktari wa Bidanamu na siyo Advance Diploma. Kwa mantiki hiyo Waziri na Timu yake wanachezea Maisha yawana Simuyu kwa kupelekuwa Daktari wa Mkoa ambaye hana sifa hii ni hatari kwa wananchi wa Mkoa wa Simuyu
The Regional Medical Officer The RMO is the equivalent of to the Director, Regional Health Services, who is the team leader and the overall in charge of coordinating the RHMT as a team, linking vertically to the Regional Administrative Secretary and horizontally with other departmental heads within the Regional Secretariat. The RMO is responsible and accountable to the RAS on a day to day basis on administrative and technical issues and is responsible and accountable on professional / technical issues to the Chief Medical Officer of the MOHSW.
Qualification The RMO shall be a graduate in Medical/Dental from a government-recognized university with a postgraduate qualification in Public Health and training in leadership and management. The RMO shall have at least 7 years working experience in district work in a similar position.
Mytake
1. Waziri wa Afya na timu yake wamewazarau wakazi wa mkoa wa Simuyu kwa kuwateulia Mtu ambaye hana sifa kushika nafasi ya Mganga mkuu wa Mkoa
2. Waziri wa afya na Timu yake amewazarau Medical Doctor wote Tanzania wenye sifa ya kushika wadhifa huo na hasa amewadharau Waganga wakuu wa Halmashauri waliopo katika Mkoa wa Simuyu ambao wanasifa za kutosha na kuliko Bosi mteule wa wawaziri na CMO
3 Waziri na timu yake wanamtengenezea mazingira magumu AMO huyo aliyeteuliwa kushika wadhifa wa RMO kwani hataweza kuwasimamia Madaktari ambao wanamdhidi sifa na kisomo na hasa madaktari bingwa katika mkoa huo
4. Jumuia ya Madaktari Tanzania kwasasa inafanya mawasiliano na MoHSW kutengua uteuzi huo na kama wakigoma MDs wote Tanzania wataingia katika Mgogoro na Serikali 5. Huu ni upuuzi mwingine wa wizara ya Afya na OWM TAMISEMI
5. Uteuzi huu unabaraka za JK kama ulivyo uteuzi wa Majaji
6. Waziri aombe radhi kwa MDs wote Tanzania kwa dharau aliyowaonesha
=================

==============================
Tumewasiliana na Wadau kutoka Mkoa wa Singida na kupata Dondoo zifuatazo kuhusu Dr Dismas Vyagusa (AMO) aliyeteuliwa kuwa RMO Simiyu
1. AMO huyu hana Elimu ya Form Four wala Six kwani baada ya kumaliza elimu ya msingi alijiunga na mafunzu ya uhudumu wa Afya vijijini ( Rural medical Assistant)
2. Baada ya kuhitimu mafunzo hayo ya Rural Medical assistant alifanya kazi huko vijijini mkoani kigoma kwa kipindi kirefu sana kama RMA
3. Baada ya kuchoshwa na kazi za RMA aliomba kwenda kujiendeleza katika masomo ya Clinical Assistant ( Tabibu Msaidizi) na baada ya kuhitimu mafunzo ya Tabibu Msaidizi aliomba tena kwenda kusoma mafunzo ya utabibu ( Clinical Officer) kwa miaka mitatu
4.Baada ya kusota sana kama Tabibu alifanikiwa tena kwenda kujiendeleza kwa miaka miwili katika Elimu ya Assistant medical Docta (AMO) na baada ya kuhitimu alipangwa kuwa DMO wilayani Kigoma baada ya wilaya hiyo kutokuwa na Dakatari hata mmoja na baada ya hapo alihamishiwa wilaya ya Singida amboko alipangiwa kuwa kaimu DMO
5.Kutokana na ondoa ondoa ya ma AMO kwenye nafasi za DMO inayoendelea hivi sasa, Dr Vyagusa alifanya lobying kwa RC Simuyu Mh Mabiti na kumtaka amkingie kifua afanye kazi nae katika mkoa wa Simiyu kama RMO. Mh mabiti kwa kutokujua tofauti ya AMO na MD alinyanyua waya hadi kwa Mh waziri wa afya nakuagiza AMO huyo apandishwe cheo na kuwa RMO ktk Mkoa wa Simiyu maramoja. Inavyosemekana jamaa kamlambisha fedha ndefu RC Mabiti na pia kamwaga Fedha za kutosha kwa CMO na vijana wa Utumishi na Tamisemi iliwaweze kuifunika CV yake ya kuunga unga
JAMANI CJAWAHI ONA RMO ASIYEKUWA NA ELIMU YA KIDATO CHA NNE NA SITA LAKINI TUVUTE SUBIRA INAWEZEKANA IKAWA NI PILOT STUDY HONGERA VYAGUSA KWA KUWAINGIZA MKENGE RC WA SIMIYU, WAZIRI WA AFYA NA CMO