Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naaza kwa kusema sio kila kingaavyo ni dhahabu.nikiwa sio kila graduate in medicine is competet dr in practical and mangaementutawala hautaji udaktari,huyu dr siajabu anaelimu nyingine zaidi ya amo,na hii ni atari sana wizara ya afya ,madoctor wanaoitwa fake ndio waliokuwa wanashika wizara siku za nyuma na hata sasa ,miradi mingi ya wizara walikuwa na wanshika ni amo,ma dmo waliowengi ni amo ,tukianza kubaguana hv hata hao ma amo hawasitahili kwani hawana elimu ya mangement na sio degree ya mph.wizara kama itawapendelea md kunahatari kubwa wa kuisambalatisha huduma hizipia waziri mwenyewe ni amo,mbona hamsemiNi bora huyu kuliko hao mnaofikiria wanafaa maana hao wasomi wameprove zero upstairs.
pumba tupu degree is equivalent to advanced diploma au we shida yako n nn?
Wewe Ni Ulimboka niniKatika hali inayoendelea kuonesha uozo ulipo katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali wamehusika katika kumteua Daktari Msaidizi/ Assistant Medical Officer (AMO) kutoka Singida kushika wadhifa wa Mganga Mkuu wa Mkoa (RMO katika Mkoa mpya wa Simiyu. Uteuzi huu umekiuka miongozo inayosema kuwa Mganga Mkuu wa Mkuu natakiwa kuwa Daktari kamili yaani Medical Doctor mwenye shahada ya kwanza ya Udaktari wa Bidanamu na siyo Advance Diploma. Kwa mantiki hiyo Waziri na Timu yake wanachezea Maisha yawana Simuyu kwa kupelekuwa Daktari wa Mkoa fekiiiiiiii hii ni hatari kwa serikali ya JK, Majaji feki na Daktari wa Mkoa fekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
The Regional Medical Officer The RMO is the equivalent of to the Director, Regional Health Services, who is the team leader and the overall in charge of coordinating the RHMT as a team, linking vertically to the Regional Administrative Secretary and horizontally with other departmental heads within the Regional Secretariat. The RMO is responsible and accountable to the RAS on a day to day basis on administrative and technical issues and is responsible and accountable on professional / technical issues to the Chief Medical Officer of the MOHSW.
Qualification The RMO shall be a graduate in Medical/Dental from a government-recognized university with a postgraduate qualification in Public Health and training in leadership and management. The RMO shall have at least 7 years working experience in district work in a similar position.
Mytake
1. Waziri wa Afya na timu yake wamewazarau wakazi wa mkoa wa Simuyu kwa kuwateulia Mtu ambaye hana sifa kushika nafasi ya Mganga mkuu wa Mkoa
2. Waziri wa afya na Timu yake amewazarau Medical Doctor wote Tanzania wenye sifa ya kushika wadhifa huo na hasa amewadharau Waganga wakuu wa Halmashauri waliopo katika Mkoa wa Simuyu ambao wanasifa za kutosha na kuliko Bosi mteule wa wawaziri na CMO
3 Waziri na timu yake wanamtengenezea mazingira magumu AMO huyo aliyeteuliwa kushika wadhifa wa RMO kwani hataweza kuwasimamia Madaktari ambao wanamdhidi sifa na kisomo na hasa madaktari bingwa katika mkoa huo
4. Jumuia ya Madaktari Tanzania kwasasa inafanya mawasiliano na MoHSW kutengua uteuzi huo na kama wakigoma MDs wote Tanzania wataingia katika Mgogoro na Serikali 5. Huu ni upuuzi mwingine wa wizara ya Afya na OWM TAMISEMI
5. Uteuzi huu unabaraka za JK kama ulivyo uteuzi wa Majaji fekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
6. Waziri aombe radhi kwa MDs wote Tanzania kwa dharau aliyowaonesha
Kosa limefanyika lakini hiyo baraka ya JK inaingia vipi hapa,JK anateua RMO'S?Katika hali inayoendelea kuonesha uozo ulipo katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali wamehusika katika kumteua Daktari Msaidizi/ Assistant Medical Officer (AMO) kutoka Singida kushika wadhifa wa Mganga Mkuu wa Mkoa (RMO katika Mkoa mpya wa Simiyu. Uteuzi huu umekiuka miongozo inayosema kuwa Mganga Mkuu wa Mkuu natakiwa kuwa Daktari kamili yaani Medical Doctor mwenye shahada ya kwanza ya Udaktari wa Bidanamu na siyo Advance Diploma. Kwa mantiki hiyo Waziri na Timu yake wanachezea Maisha yawana Simuyu kwa kupelekuwa Daktari wa Mkoa fekiiiiiiii hii ni hatari kwa serikali ya JK, Majaji feki na Daktari wa Mkoa fekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
The Regional Medical Officer The RMO is the equivalent of to the Director, Regional Health Services, who is the team leader and the overall in charge of coordinating the RHMT as a team, linking vertically to the Regional Administrative Secretary and horizontally with other departmental heads within the Regional Secretariat. The RMO is responsible and accountable to the RAS on a day to day basis on administrative and technical issues and is responsible and accountable on professional / technical issues to the Chief Medical Officer of the MOHSW.
Qualification The RMO shall be a graduate in Medical/Dental from a government-recognized university with a postgraduate qualification in Public Health and training in leadership and management. The RMO shall have at least 7 years working experience in district work in a similar position.
Mytake
1. Waziri wa Afya na timu yake wamewazarau wakazi wa mkoa wa Simuyu kwa kuwateulia Mtu ambaye hana sifa kushika nafasi ya Mganga mkuu wa Mkoa
2. Waziri wa afya na Timu yake amewazarau Medical Doctor wote Tanzania wenye sifa ya kushika wadhifa huo na hasa amewadharau Waganga wakuu wa Halmashauri waliopo katika Mkoa wa Simuyu ambao wanasifa za kutosha na kuliko Bosi mteule wa wawaziri na CMO
3 Waziri na timu yake wanamtengenezea mazingira magumu AMO huyo aliyeteuliwa kushika wadhifa wa RMO kwani hataweza kuwasimamia Madaktari ambao wanamdhidi sifa na kisomo na hasa madaktari bingwa katika mkoa huo
4. Jumuia ya Madaktari Tanzania kwasasa inafanya mawasiliano na MoHSW kutengua uteuzi huo na kama wakigoma MDs wote Tanzania wataingia katika Mgogoro na Serikali 5. Huu ni upuuzi mwingine wa wizara ya Afya na OWM TAMISEMI
5. Uteuzi huu unabaraka za JK kama ulivyo uteuzi wa Majaji fekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
6. Waziri aombe radhi kwa MDs wote Tanzania kwa dharau aliyowaonesha
Watu wanapinga ukiukwaji wa taratibu na pia usipotoshe kwamba AMO ni equivalent na degree.Pili utaratibu kama umeanisha nini kifanyike ni bora ukafuatwa na si kwamba mchango wa AMO hauthaminiki bali katika hili utaratibu haukufuatwa,Je Kuna sababu ya msingi uliofanya taratibu kukiukwa au laah? Utaratibu unasema hivi:huyo ana experience, Advanced Diploma is equivalent to a Bachelor. acheni ujinga, inamaana watamteua mtu aliye na bachelor amemaliza chuo juzi kuwa RMO wamuache mtu mwenye 10 years working experience katika field hiyo? kwani elimu ni cheti pekee? wakuteue wewe ukaendeleze migomo ya kitoto watu waendelee kufa?
Watu wanapinga ukiukwaji wa taratibu na pia usipotoshe kwamba AMO ni equivalent na degree.Pili utaratibu kama umeanisha nini kifanyike ni bora ukafuatwa na si kwamba mchango wa AMO hauthaminiki bali katika hili utaratibu haukufuatwa,Je Kuna sababu ya msingi uliofanya taratibu kukiukwa au laah? Utaratibu unasema hivi:
The Regional Medical Officer The RMO is the equivalent of to the Director, Regional Health Services, who is the team leader and the overall in charge of coordinating the RHMT as a team, linking vertically to the Regional Administrative Secretary and horizontally with other departmental heads within the Regional Secretariat. The RMO is responsible and accountable to the RAS on a day to day basis on administrative and technical issues and is responsible and accountable on professional / technical issues to the Chief Medical Officer of the MOHSW.
Qualification The RMO shall be a graduate in Medical/Dental from a government-recognized university with a postgraduate qualification in Public Health and training in leadership and management. The RMO shall have at least 7 years working experience in district work in a similar position.
Hii nafasi ni ya kuteuliwa hakuna ku'applytangazo lilitolewa waliopeleka maombi ni ma AMO na ma CO, ndiyo sababu yeye amechaguliwa.
Hata hivyo inawezekana kuongoza. Jk ni dk, akina mawaziri professors... Wako chini yake.
Mkuu sasa iwe wazi kuwa lazima awe na Postgraduate qualification, kwa hiyo wote wenye only Bachelor au Advanced Diploma hawatoshelezi sifa za kuwa RMO. So, ushushe lawama kwa waziri kuteua watu wenye kukosa sifa za kuwa na Postgraduate qualification, na sio wenye kukosa sifa ya kuwa na Bachelor's degree
Qualification The RMO shall be a graduate in Medical/Dental from a government-recognized university with a postgraduate qualification in Public Health and training in leadership and management. The RMO shall have at least 7 years working experience in district work in a similar position.
Nafikiri huna hoja endelea kutetea unachokitetea .Nani amekuambia anautaka Uganga Mkuu wa Mkoa tena sijui mkoa wenyewe mpya.Unaelezwa utaratibu ulivyo ndani ya Government Standing Order wewe unakuja na slogan ya hata mlie nani analia.Naibu waziri ni AMO Umeshaona nikichangia kuhusu yeye kuwa AMO kwasababu taratibu za uchaguzi wake hazikukiukwa.Kwani ili uwe naibu waziri unatakiwa uwe mbunge tu na haijalishi unaprofessional gani kwa mujibu wa katiba.Kwahiyo hapa utaratibu ulifuatwa.Tena unatakiwa uelewe kutokana na kigezo cha kuwa RMO hata MD bado hajatimiza kigezo bali ni mpaka awe na elimu ya uzamili ya Afya ya jamii na awe amefanya kazi kama DMO Kwa miaka isiyopungua 7.Upo hapo sasa jaza mwenyewe kama kuwa AMO tu kunatimiza sifa tajwa.hiyo haijalishi, hata mlie vipi hamuwezi kupewa. wakati mwingine bora kuangalia maslahi ya taifa, kuliko kuwapa ninyi mnaojifanya wajuaji na kuacha watu wafe tu.
Radii Mambo mengine ni wivu na choko choko ambazo hazina msingi wowote. Hawa AMO ndio wamejaa katika Hospitali nyingi na ndio wanaotoa tiba kwa sehemu kubwa ya Watanzania. Hawa AMO wamekuwa wakishika nafasi za DMOs ambayo haina tofauti na RMOs. Hii si nafasi ya utabibu ni nafasi ya Utawala ambayo hata Nesi, Afisa Afya au hata Katibu wa Afya anaweza akashika. Mkoa wa Tanga ulikuwa chini ya Afisa Afya akishika nafasi ya RMO kwa muda mrefu sana.
MDs acheni arrogance utawala sio lazima uwe MD???? Badilikeni acheni kuyumbisha Wizara plz.
naaza kwa kusema sio kila kingaavyo ni dhahabu.nikiwa sio kila graduate in medicine is competet dr in practical and mangaementutawala hautaji udaktari,huyu dr siajabu anaelimu nyingine zaidi ya amo,na hii ni atari sana wizara ya afya ,madoctor wanaoitwa fake ndio waliokuwa wanashika wizara siku za nyuma na hata sasa ,miradi mingi ya wizara walikuwa na wanshika ni amo,ma dmo waliowengi ni amo ,tukianza kubaguana hv hata hao ma amo hawasitahili kwani hawana elimu ya mangement na sio degree ya mph.wizara kama itawapendelea md kunahatari kubwa wa kuisambalatisha huduma hizipia waziri mwenyewe ni amo,mbona hamsemi
Radii Mambo mengine ni wivu na choko choko ambazo hazina msingi wowote. Hawa AMO ndio wamejaa katika Hospitali nyingi na ndio wanaotoa tiba kwa sehemu kubwa ya Watanzania. Hawa AMO wamekuwa wakishika nafasi za DMOs ambayo haina tofauti na RMOs. Hii si nafasi ya utabibu ni nafasi ya Utawala ambayo hata Nesi, Afisa Afya au hata Katibu wa Afya anaweza akashika. Mkoa wa Tanga ulikuwa chini ya Afisa Afya akishika nafasi ya RMO kwa muda mrefu sana.
MDs acheni arrogance utawala sio lazima uwe MD???? Badilikeni acheni kuyumbisha Wizara plz.
Reasoning yako iko chini sana kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na nafasi nyeti ya Mganga Mkuu wa Mkoa ikashikwa na assistant Medical Officer yaani Mganga Msaidizi; Kama unataka apatiwe nafasi hiyo basi jila la cheo hicho kibadilishe na kuitwa Mganga mkuu Msaidizi wa Mkoa.
Aidha unatakiwa kuelewa Afisa Afya au Katibu wa Afya hawezi kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa hata kidogo kwani hawana taaluma yeyote ya udaktari.