Kosa limefanyika lakini hiyo baraka ya JK inaingia vipi hapa,JK anateua RMO'S?
katiba yetu inampa mamlaka yote Rais.....anauwezo wa kuteuwa mpaka mmeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa limefanyika lakini hiyo baraka ya JK inaingia vipi hapa,JK anateua RMO'S?
Nafikiri huna hoja endelea kutetea unachokitetea .Nani amekuambia anautaka Uganga Mkuu wa Mkoa tena sijui mkoa wenyewe mpya.Unaelezwa utaratibu ulivyo ndani ya Government Standing Order wewe unakuja na slogan ya hata mlie nani analia.Naibu waziri ni AMO Umeshaona nikichangia kuhusu yeye kuwa AMO kwasababu taratibu za uchaguzi wake hazikukiukwa.Kwani ili uwe naibu waziri unatakiwa uwe mbunge tu na haijalishi unaprofessional gani kwa mujibu wa katiba.Kwahiyo hapa utaratibu ulifuatwa.Tena unatakiwa uelewe kutokana na kigezo cha kuwa RMO hata MD bado hajatimiza kigezo bali ni mpaka awe na elimu ya uzamili ya Afya ya jamii na awe amefanya kazi kama DMO Kwa miaka isiyopungua 7.Upo hapo sasa jaza mwenyewe kama kuwa AMO tu kunatimiza sifa tajwa.
reasoning yako iko chini sana kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na nafasi nyeti ya mganga mkuu wa mkoa ikashikwa na assistant medical officer yaani mganga msaidizi; kama unataka apatiwe nafasi hiyo basi jila la cheo hicho kibadilishe na kuitwa mganga mkuu msaidizi wa mkoa.
Aidha unatakiwa kuelewa afisa afya au katibu wa afya hawezi kuwa mganga mkuu wa mkoa hata kidogo kwani hawana taaluma yeyote ya udaktari.
kama issue ni experience basi tuna ma DMO ambao ni MD MPH wenye experience kuliko yeye kwa nini wasipewe cheo hiko?punguzeni ujuaji.huyo ana experience, Advanced Diploma is equivalent to a Bachelor. acheni ujinga, inamaana watamteua mtu aliye na bachelor amemaliza chuo juzi kuwa RMO wamuache mtu mwenye 10 years working experience katika field hiyo? kwani elimu ni cheti pekee? wakuteue wewe ukaendeleze migomo ya kitoto watu waendelee kufa?
katiba yetu inampa mamlaka yote Rais.....anauwezo wa kuteuwa mpaka mmeo
nyie ndio wale mnaoamini kuwa kila anayevaa koti jeupe maeneo ya hospitali ni doctor au nurse.Eidha tuwekane sawa kidogo kuhusu hili suala la Assistant Medical Doctors na Medical Doctors.Hawa madoctors bwana wanafanya kazi sawa sema tofauti inakuja ktk ngazi ya elimu!Kwamba hawa assistant wameungaunga kutoka CLINICAL OFISA hadi kua AMO,na MDs ni miongoni wa wale waliojitahidi kutoka AMO hadi kufika MDs au wanaotoka moja kwa moja toka chuo.Ila nikukumbushe kitu kimoja mtoa mada kwamba,hawa Clinical ofisa's na AMOs wanauwezo mkubwa sana kuliko hawa wanaotoka moja kwa moja Chuo.
tangazo lilitolewa waliopeleka maombi ni ma AMO na ma CO, ndiyo sababu yeye amechaguliwa.
Hata hivyo inawezekana kuongoza. Jk ni dk, akina mawaziri professors... Wako chini yake.
1. Waziri wa Afya na timu yake wamewazarau wakazi wa mkoa wa Simuyu kwa kuwateulia Mtu ambaye hana sifa kushika nafasi ya Mganga mkuu wa Mkoa
This is a cry baby argument. Ni as if unasema kuwa medical doctors wote wa Tanzania wana postgraduate qualification in public health and extensive experience in leadership and management.2. Waziri wa afya na Timu yake amewazarau Medical Doctor wote Tanzania wenye sifa ya kushika wadhifa huo na hasa amewadharau Waganga wakuu wa Halmashauri waliopo katika Mkoa wa Simuyu ambao wanasifa za kutosha na kuliko Bosi mteule wa wawaziri na CMO
Assumptions. Unachojaribu kusema ni kwamba kiongozi bora lazima awe na qualifications zaidi ya anaowaongoza. Kwa mfano, form five na form six watamdharau kiranja wa shule kwa sababu yeye ni form three or four?3 Waziri na timu yake wanamtengenezea mazingira magumu AMO huyo aliyeteuliwa kushika wadhifa wa RMO kwani hataweza kuwasimamia Madaktari ambao wanamdhidi sifa na kisomo na hasa madaktari bingwa katika mkoa huo
Hakuna atakayewaunga mkono kwenye huo mgomo. In fact it is a silly thing kugoma kwa uteuzi wa kiutawala kama huo. Madaktari kazi yao ni kitibu siyo kutawala. Stick with your profession.4. Jumuia ya Madaktari Tanzania kwasasa inafanya mawasiliano na MoHSW kutengua uteuzi huo na kama wakigoma MDs wote Tanzania wataingia katika Mgogoro na Serikali 5. Huu ni upuuzi mwingine wa wizara ya Afya na OWM TAMISEMI
Rubbish! Majaji hawateuliwi kuongoza bali ku-judge.5. Uteuzi huu unabaraka za JK kama ulivyo uteuzi wa Majaji fekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
6. Waziri aombe radhi kwa MDs wote Tanzania kwa dharau aliyowaonesha
nyie ndio wale mnaoamini kuwa kila anayevaa koti jeupe maeneo ya hospitali ni doctor au nurse.
Huwezi kumfananisha mtu aliyesoma kila kiungo cha mwanadamu na yule anayesoma guidilines kutibu.
Yoyote aweza kufundishwa na kukaririshwa jinsi ya kutibu lakini si wote wenye uwezo wa kureason kwa nini anatibu.kwa maneno mengine AMO atakutibu malaria lakini MD atajiuliza kwa nini umepata malaria,atakushauri nini ufanye ili usipate malaria na atakufuatilia kuona madhara yatokanayo na malaria hayaendelei.kwa ufupi kuna tofauti ya mlima na kokoto kati ya wawili hawa.

umesema vema. Vile vile, wkt AMO anafundishwa jinsi ya kupasua, MD anafundishwa
1. When to cut
2. What to cut
3. How to cut
4. When and what not to cut.
Na hao wanaodai CO na AMO ni wazuri kuliko MD, kwa kigezo cha uzoefu, wanashindwa kufikiri.
MD akitoka chuo, ni wazi akimkuta AMO kazini, atakuwa anazidiwa skills, but baada ya muda fulani, MD anakuwa safi kwa skills na theory, wkt AMO anajua skils tu zaidi.
Na ikimbukwe kuwa MDs ndo walimu wa AMO kwenye vyuo, chini ya Specialist.
Wengi wenu wanamtazama MD anaeanza kazi tu, bila kujua kuwa kuna MD wapo kazini kitambo na wanapiga kazi.
Ht huyo AMO akitoka chuo akamkuta MD, atakuwa mweupe kwenye skils na atahitaji kujifunza na kupata uzoefu.
Na hao jamaa wanafanya malpractice nyingi sana huko wilayani, na ht malalamiko ya rushwa hosp, wahusika waku ni hao junior cadres.
huyo ana experience, Advanced Diploma is equivalent to a Bachelor. acheni ujinga, inamaana watamteua mtu aliye na bachelor amemaliza chuo juzi kuwa RMO wamuache mtu mwenye 10 years working experience katika field hiyo? kwani elimu ni cheti pekee? wakuteue wewe ukaendeleze migomo ya kitoto watu waendelee kufa?
Acha dharau nenda kwenye hoja
unapochangia thread ukiwa mlevi huwa tunakujibu namna hiyo hapo juu
huyo ana experience, Advanced Diploma is equivalent to a Bachelor. acheni ujinga, inamaana watamteua mtu aliye na bachelor amemaliza chuo juzi kuwa RMO wamuache mtu mwenye 10 years working experience katika field hiyo? kwani elimu ni cheti pekee? wakuteue wewe ukaendeleze migomo ya kitoto watu waendelee kufa?
What skills are you talking here? On being responsible and accountable to the RAS on a day to day basis on administrative and technical issues?
Katika hali inayoendelea kuonesha uozo ulipo katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali wamehusika katika kumteua Daktari Msaidizi/ Assistant Medical Officer (AMO) kutoka Singida kushika wadhifa wa Mganga Mkuu wa Mkoa (RMO katika Mkoa mpya wa Simiyu. Uteuzi huu umekiuka miongozo inayosema kuwa Mganga Mkuu wa Mkuu natakiwa kuwa Daktari kamili yaani Medical Doctor mwenye shahada ya kwanza ya Udaktari wa Bidanamu na siyo Advance Diploma. Kwa mantiki hiyo Waziri na Timu yake wanachezea Maisha yawana Simuyu kwa kupelekuwa Daktari wa Mkoa fekiiiiiiii hii ni hatari kwa serikali ya JK, Majaji feki na Daktari wa Mkoa fekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
The Regional Medical Officer The RMO is the equivalent of to the Director, Regional Health Services, who is the team leader and the overall in charge of coordinating the RHMT as a team, linking vertically to the Regional Administrative Secretary and horizontally with other departmental heads within the Regional Secretariat. The RMO is responsible and accountable to the RAS on a day to day basis on administrative and technical issues and is responsible and accountable on professional / technical issues to the Chief Medical Officer of the MOHSW.
Qualification The RMO shall be a graduate in Medical/Dental from a government-recognized university with a postgraduate qualification in Public Health and training in leadership and management. The RMO shall have at least 7 years working experience in district work in a similar position.
Mytake
1. Waziri wa Afya na timu yake wamewazarau wakazi wa mkoa wa Simuyu kwa kuwateulia Mtu ambaye hana sifa kushika nafasi ya Mganga mkuu wa Mkoa
2. Waziri wa afya na Timu yake amewazarau Medical Doctor wote Tanzania wenye sifa ya kushika wadhifa huo na hasa amewadharau Waganga wakuu wa Halmashauri waliopo katika Mkoa wa Simuyu ambao wanasifa za kutosha na kuliko Bosi mteule wa wawaziri na CMO
3 Waziri na timu yake wanamtengenezea mazingira magumu AMO huyo aliyeteuliwa kushika wadhifa wa RMO kwani hataweza kuwasimamia Madaktari ambao wanamdhidi sifa na kisomo na hasa madaktari bingwa katika mkoa huo
4. Jumuia ya Madaktari Tanzania kwasasa inafanya mawasiliano na MoHSW kutengua uteuzi huo na kama wakigoma MDs wote Tanzania wataingia katika Mgogoro na Serikali 5. Huu ni upuuzi mwingine wa wizara ya Afya na OWM TAMISEMI
5. Uteuzi huu unabaraka za JK kama ulivyo uteuzi wa Majaji fekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii