Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

Msendekwa, unanikumusha ile issue ya Mhe. Tundu Lissu na majaji wasio kuwa na degree ya sheria. It is very important to meet the required qualifications as recommended. Unless you change them otherwise adherence to agreed and documented qualifications must be followed.
Queen Esther
ndio haya haya mkuu!maajabu yanapogeuka kuwa mazoea!
 
kila siku ni gono,malaria,typhoid na UTI!ndio diagnosis zenu za mtaani hizo

Wewe zako nizipi kwa mgonjwa mwenye magonjwa hayo ambayo yapo wazi clinically labda uwe haukipitia vizuri clinical rotation zako na ndio maana unazifanya miaka 2 sasa kama unashindwa hata vitu simple kama hivyo sijui ulikwenda shule kufanyq nini.
 
nashukuru umekubali kuwa AMO kazi yake ni kutibu 'clinically'(kama kupiga ramli) na sio evidence based!
Ukitaka kujua Dx za ki-MD Unatakiwa kuwa shuleni(medical school) kwa miaka 5 au zaidi na baadae mwaka mmoja wa internship na sio mi3.
Hebu nieleze NINYI AMO mnafanya clinical rotation kwa miaka mngapi?usije ukasema una experience ya u-CO!
 
pole sana kwa kukosa huduma hiyo ya ki-MD .Rudi kwenye suala la msingi.... Je walioweka vigezo vya kuwa RMO walikosea?anacholalamikia mleta thread ni ukiukwaji wa taratibu zilizopo!

Kuna post yangu nimeeleza wazi kuwa most of RMOs ni makada wa ccm

Kumbe issue ni kuwa makada wa CCM na wala siyo qualifications?
 
AMO ni vilaza walioshindwa kufika medical school!kamwe tusitegemee kufikia malengo ya nchi au umoja wa mataifa kwa kutumia managerial skills za vilaza!
Eti ameperform!kivipi?ni kweli huko alipo kuna afya bora ya mtanzania?au kwa kuwa anawasilisha taarifa zilizopikwa kwa wakati?

IF YOU THINK AMOs CAN TAKE US SOMEWHERE THEN WHY SHOULD THE GOVERMENT WASTE BILLIONS TO TRAIN MDs?

Ndio yale yale ya kupeleka form four failures kwenda kufundisha watoto wetu kisa tunataka uchaguzi ukifika tuorodheshe number ya wahitimu kama mafanikio.

AMO hawezi kufanya kinachofanywa na MD unless tukubaliane kuwa hata mkunga wa jadi kule kijijini naye ni daktari wa kina mama kwani wote wanaweza kuzalisha.
 
Sikiliza wewe, unafaham majukumu ya DMO/RMO?
Kwa taarifa tu, wana kazi kuu 5:
1. Professional
2. Public health
3. Political
4. Training
5. Nimeisahau

Hapo kwenye professional na training, taaluma inahusika, huwezi ukafanya kazi ya ku supervise ma Dr kitaaluma wkt huna taaluma husika.
Mwisho utasema Engeneer wa mkoa/wilaya awe fundi Sanifu/fundi mchundo mwenye FTC, wkt wenye shahada na sifa za ziada wapo. Au Mwl wa cheti awe DEO/REO wkt wenye B. Ed na B.A. Ed na sifa za ziada wapo.
Hapa suala ni vigezo, km vinataja MD, apewe mwenye MD, usichoelewa kipi?
Unless wabadili vigezo.

Kwa hiyo medical assistants siyo professionals?

Medical assistants hawana taaluma?
 
sie tunakaa Singida hebu mtaje tukuambie kama ni kweli maana isije ikawa majungu!!!!!!!!
 
Haohao wenye degree na masters ndio wametufikisha hapa tulipo na elimu zao hazizalishi kitu mikoani hawataki kuja na ndio wengi viongozi huko wizarani hospitali hazina hata panadol siwabunifu acha na AMO tuwaone nao.
wizarani kuna group la vizee visivyokuwa na qualifications hawa ndio wanaokwamisha mambo ,wamekaa pale kwa kile kinachoitwa 'uzoefu' usiwasingizie MDs
ukienda mawilayani ndio hivyo hivyo unakutana na AMOs wasiotaka mabadiliko kisa ni mazoea ya kazi.

Naamini hili lina mwisho,kama mlizoea kutibu wakulima mmekwisha kwani sasa hivi mtatakiwa kutibu wagonjwa waliosoma,wanakuja na materials kutoka mtandaoni...tofauti itaonekana tu.

Hata mahakamani AMO hatambuliki!
 
nahisi haya ni maneno ya mkosaji,m mbona hajamtaja ni dr nani coz sie wa Singida 2nawajua ma Dr wato
 
Kwa hiyo medical assistants siyo professionals?

Medical assistants hawana taaluma?

Mkuu EMT, Ngoja nijaribu kuangaza job description inayoelezea kuhusu PROFFESIONAL duties za DMO, RMO..lakini ninavyokumbuka AMO ha_fit katika hizo..jaribu kuitafuta/kuiangaza pia ukipata tusaidiane hapa.
 
I think kunakitu kinaendelda hapo mi pia mmja wa wana simiyu so sitapenda kuona tunaumia eti kwa sababu kateuliwa na waziri wa afya
 
nashukuru umekubali kuwa AMO kazi yake ni kutibu 'clinically'(kama kupiga ramli) na sio evidence based!
Ukitaka kujua Dx za ki-MD Unatakiwa kuwa shuleni(medical school) kwa miaka 5 au zaidi na baadae mwaka mmoja wa internship na sio mi3.
Hebu nieleze NINYI AMO mnafanya clinical rotation kwa miaka mngapi?usije ukasema una experience ya u-CO![/QUOTmbona wewe unashangaza sana kwahiyo unapokuwa na mgonjwa huanzi management mpaka usubiri hizo investigation result ulifundishwa clinical kama mapambo sio suala la kujua nimekwenda clinical muda gani halina tija kwako ufahamu tu sasa mimi ni MD na CO,AMO nimepita uzoefu ninao ndio maana nasema zote clinical na investigation zina hitajika itategemea na mazingira na daktari mzuri lazima uwena Dx hata kabla ya investigation acheni kudanganya watu eti simple diseases lazima upate lab evidence based.
 
Wewe zako nizipi kwa mgonjwa mwenye magonjwa hayo ambayo yapo wazi clinically labda uwe haukipitia vizuri clinical rotation zako na ndio maana unazifanya miaka 2 sasa kama unashindwa hata vitu simple kama hivyo sijui ulikwenda shule kufanyq nini.

hata wenye cancer ya kibofu wanaambiwa uti, uti gani inajirudia kila wiki? Hata kama hali yako ya usafi ni mbaya, hapana.!!
 
Back
Top Bottom