LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Maelezo mazuri haya mkuu...na SAHIHI.
Naunga hoja mkono Mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo mazuri haya mkuu...na SAHIHI.
kila siku ni gono,malaria,typhoid na UTI!ndio diagnosis zenu za mtaani hizosasa kama gono unalo usiambiwe mkuu?
ndio haya haya mkuu!maajabu yanapogeuka kuwa mazoea!Msendekwa, unanikumusha ile issue ya Mhe. Tundu Lissu na majaji wasio kuwa na degree ya sheria. It is very important to meet the required qualifications as recommended. Unless you change them otherwise adherence to agreed and documented qualifications must be followed.
Queen Esther
kila siku ni gono,malaria,typhoid na UTI!ndio diagnosis zenu za mtaani hizo
nashukuru umekubali kuwa AMO kazi yake ni kutibu 'clinically'(kama kupiga ramli) na sio evidence based!Wewe zako nizipi kwa mgonjwa mwenye magonjwa hayo ambayo yapo wazi clinically labda uwe haukipitia vizuri clinical rotation zako na ndio maana unazifanya miaka 2 sasa kama unashindwa hata vitu simple kama hivyo sijui ulikwenda shule kufanyq nini.
pole sana kwa kukosa huduma hiyo ya ki-MD .Rudi kwenye suala la msingi.... Je walioweka vigezo vya kuwa RMO walikosea?anacholalamikia mleta thread ni ukiukwaji wa taratibu zilizopo!
Kuna post yangu nimeeleza wazi kuwa most of RMOs ni makada wa ccm
Sikiliza wewe, unafaham majukumu ya DMO/RMO?
Kwa taarifa tu, wana kazi kuu 5:
1. Professional
2. Public health
3. Political
4. Training
5. Nimeisahau
Hapo kwenye professional na training, taaluma inahusika, huwezi ukafanya kazi ya ku supervise ma Dr kitaaluma wkt huna taaluma husika.
Mwisho utasema Engeneer wa mkoa/wilaya awe fundi Sanifu/fundi mchundo mwenye FTC, wkt wenye shahada na sifa za ziada wapo. Au Mwl wa cheti awe DEO/REO wkt wenye B. Ed na B.A. Ed na sifa za ziada wapo.
Hapa suala ni vigezo, km vinataja MD, apewe mwenye MD, usichoelewa kipi?
Unless wabadili vigezo.
wizarani kuna group la vizee visivyokuwa na qualifications hawa ndio wanaokwamisha mambo ,wamekaa pale kwa kile kinachoitwa 'uzoefu' usiwasingizie MDsHaohao wenye degree na masters ndio wametufikisha hapa tulipo na elimu zao hazizalishi kitu mikoani hawataki kuja na ndio wengi viongozi huko wizarani hospitali hazina hata panadol siwabunifu acha na AMO tuwaone nao.
Kwa hiyo medical assistants siyo professionals?
Medical assistants hawana taaluma?
Kwa hiyo medical assistants siyo professionals?
Medical assistants hawana taaluma?
mkulima wa simiyu hajui lolote na wala hawezi kujua outcome ya tendo hili!The people of simiyu are quite with that or is there any measure they are taking for that?
Mkuu EMT, Ngoja nijaribu kuangaza job description inayoelezea kuhusu PROFFESIONAL duties za DMO, RMO..lakini ninavyokumbuka AMO ha_fit katika hizo..jaribu kuitafuta/kuiangaza pia ukipata tusaidiane hapa.
nashukuru umekubali kuwa AMO kazi yake ni kutibu 'clinically'(kama kupiga ramli) na sio evidence based!
Ukitaka kujua Dx za ki-MD Unatakiwa kuwa shuleni(medical school) kwa miaka 5 au zaidi na baadae mwaka mmoja wa internship na sio mi3.
Hebu nieleze NINYI AMO mnafanya clinical rotation kwa miaka mngapi?usije ukasema una experience ya u-CO![/QUOTmbona wewe unashangaza sana kwahiyo unapokuwa na mgonjwa huanzi management mpaka usubiri hizo investigation result ulifundishwa clinical kama mapambo sio suala la kujua nimekwenda clinical muda gani halina tija kwako ufahamu tu sasa mimi ni MD na CO,AMO nimepita uzoefu ninao ndio maana nasema zote clinical na investigation zina hitajika itategemea na mazingira na daktari mzuri lazima uwena Dx hata kabla ya investigation acheni kudanganya watu eti simple diseases lazima upate lab evidence based.
Wewe zako nizipi kwa mgonjwa mwenye magonjwa hayo ambayo yapo wazi clinically labda uwe haukipitia vizuri clinical rotation zako na ndio maana unazifanya miaka 2 sasa kama unashindwa hata vitu simple kama hivyo sijui ulikwenda shule kufanyq nini.