Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

Mr Emmy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,219
Reaction score
550
Katika hali inayoendelea kuonesha uozo ulipo katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali wamehusika katika kumteua Daktari Msaidizi/ Assistant Medical Officer (AMO) kutoka Singida kushika wadhifa wa Mganga Mkuu wa Mkoa (RMO katika Mkoa mpya wa Simiyu. Uteuzi huu umekiuka miongozo inayosema kuwa Mganga Mkuu wa Mkuu natakiwa kuwa Daktari kamili yaani Medical Doctor mwenye shahada ya kwanza ya Udaktari wa Bidanamu na siyo Advance Diploma. Kwa mantiki hiyo Waziri na Timu yake wanachezea Maisha yawana Simuyu kwa kupelekuwa Daktari wa Mkoa ambaye hana sifa hii ni hatari kwa wananchi wa Mkoa wa Simuyu

=================

The Regional Medical Officer The RMO is the equivalent of to the Director, Regional Health Services, who is the team leader and the overall in charge of coordinating the RHMT as a team, linking vertically to the Regional Administrative Secretary and horizontally with other departmental heads within the Regional Secretariat. The RMO is responsible and accountable to the RAS on a day to day basis on administrative and technical issues and is responsible and accountable on professional / technical issues to the Chief Medical Officer of the MOHSW.


Qualification The RMO shall be a graduate in Medical/Dental from a government-recognized university with a postgraduate qualification in Public Health and training in leadership and management. The RMO shall have at least 7 years working experience in district work in a similar position.
Mytake
1. Waziri wa Afya na timu yake wamewazarau wakazi wa mkoa wa Simuyu kwa kuwateulia Mtu ambaye hana sifa kushika nafasi ya Mganga mkuu wa Mkoa

2. Waziri wa afya na Timu yake amewazarau Medical Doctor wote Tanzania wenye sifa ya kushika wadhifa huo na hasa amewadharau Waganga wakuu wa Halmashauri waliopo katika Mkoa wa Simuyu ambao wanasifa za kutosha na kuliko Bosi mteule wa wawaziri na CMO

3 Waziri na timu yake wanamtengenezea mazingira magumu AMO huyo aliyeteuliwa kushika wadhifa wa RMO kwani hataweza kuwasimamia Madaktari ambao wanamdhidi sifa na kisomo na hasa madaktari bingwa katika mkoa huo

4. Jumuia ya Madaktari Tanzania kwasasa inafanya mawasiliano na MoHSW kutengua uteuzi huo na kama wakigoma MDs wote Tanzania wataingia katika Mgogoro na Serikali 5. Huu ni upuuzi mwingine wa wizara ya Afya na OWM TAMISEMI

5. Uteuzi huu unabaraka za JK kama ulivyo uteuzi wa Majaji

6. Waziri aombe radhi kwa MDs wote Tanzania kwa dharau aliyowaonesha


==============================

 
Ni yaleyale ya kujuana na hakika tunakoelekea ............ feki feki feki feki (counterfeit)
 
Tuko hapa kutetea masilahi ya watanzania walala hoi; haiwezekani serikali ikateua Daktari Msaidizi kuwa Mganga mkuu wa Mkoa wetu tukanyamaza hiyo ni kuhatarisha maisha ya ndugu zetu maskini huku vijijini huku nyie watoto wa mafisadi mkipelekwa India.

matatizo ya sekta ya afya yaliaainishwa kwenye mgomo wa madaktari, it was going to be a health secta reform, ulikaa kimya, ulimnboka kapigwa akiwateteza ninyi bado ulikua kimya.....anyaway soma Bandiko la Mtulutumbi kwenye jamii interigence utaelewa nasema nini
 
watanzania tulivyo, mtu katoa mada ya msingi wa maisha wa watu we unambeza eti anaitaka! watanzania bwana, hata jema hawalioni mradi ni CCM basi!

Huu ni unafiki tu hapa JF hakuna mteteaji hapo,.....we need action mkuu......sio manjonjo tu kitandani ukizani yanaleta mimba, hakuna
 
JK unaona poa Madaktari Bingwa na MDs wote kuongozwa na Assistant Medical Officer kwelii au nchii hii imekuwa ya wateuliwa fekiiii tu; tusilete masihara katika maisha ya binadamu Plzzzzzzzzzzzzzz
 
Radii Mambo mengine ni wivu na choko choko ambazo hazina msingi wowote. Hawa AMO ndio wamejaa katika Hospitali nyingi na ndio wanaotoa tiba kwa sehemu kubwa ya Watanzania. Hawa AMO wamekuwa wakishika nafasi za DMOs ambayo haina tofauti na RMOs. Hii si nafasi ya utabibu ni nafasi ya Utawala ambayo hata Nesi, Afisa Afya au hata Katibu wa Afya anaweza akashika. Mkoa wa Tanga ulikuwa chini ya Afisa Afya akishika nafasi ya RMO kwa muda mrefu sana.

MDs acheni arrogance utawala sio lazima uwe MD???? Badilikeni acheni kuyumbisha Wizara plz.
 
Last edited by a moderator:
Reasoning yako iko chini sana kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na nafasi nyeti ya Mganga Mkuu wa Mkoa ikashikwa na assistant Medical Officer yaani Mganga Msaidizi; Kama unataka apatiwe nafasi hiyo basi jila la cheo hicho kibadilishe na kuitwa Mganga mkuu Msaidizi wa Mkoa.

Aidha unatakiwa kuelewa Afisa Afya au Katibu wa Afya hawezi kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa hata kidogo kwani hawana taaluma yeyote ya udaktari.
 
Only in Tanzania mkuu,Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati,uozo kama huu wangeufanya enzi zile za giza
Sasa hivi watu wako open sana,ukifanya kitu against katiba na sheria ulizojiwekea mwenyewe kisa kumbeba mtu ni
mbaya sana.
MY TAKE: Em viongozi wetu waache kufanya
huu upuuzi,wafuate maadili ya kazi zao
MIA!
 
Mganga Mkuu wa Mkuu natakiwa kuwa Daktari kamili yaani Medical Doctor mwenye shahada ya kwanza ya Udaktari wa Bidanamu na siyo Advance Diploma.

Haya maelezo ya awali naona hayakubaliani na haya mengine uliyoandika hapa chini, ambayo bila shaka umeyacopy mahali ambayo ndiyo sifa za mtu anayekuwa mganga mkuu wa mkoa, Regional Medical Officer (RMO). Labda unithibitishie kwamba huko kwenye taaluma ya afya mtu mwenye Advanced Diploma hawezi kuwa RMO. Katika taaluma nyingine kama uhandisi na uhasibu kwa kutaja chache, mwenye Advanced Diploma na Mwenye Bachelor Degree wote wanakuwa na nafasi sawa za kitaaluma.


Nilivyoelewa hapa ni kwamba hata kama mtu ana Adv. Diploma ama Bachelor Degree lakini pia anahitajika kuwa na Postgraduate qualification. Je huyo AMO aliyekuwa promoted kuwa RMO ana postgraduate qualification? kwakuwa kwa mtazamo wangu hata mwenye bachelor anahitaji kuwa na postgraduate qualification ili apate nafasi ya kuwa RMO.

Kwa mantiki hiyo Waziri na Timu yake wanachezea Maisha yawana Simuyu kwa kupelekuwa Daktari wa Mkoa fekiiiiiiii hii ni hatari kwa serikali ya JK, Majaji feki na Daktari wa Mkoa fekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hahaha... Yani mtu alikuwa ni AMO na elimu ya ADvanced Diploma na bila shaka atakuwa na uzoefu wa kutosha wa kutibu binadamu wenzake ndo maana alikuwa amefikia kwenye rank ya kuwa AMO lakini sasa unamuita daktari fake? Mkuu una agenda nyingine dhidi ya huyo bwana ama ni maumivu ya kuona mwenzako kapata promotion?
 

100% TRUUUUUU, Malalamiko ni ya msingi ila yamejaa kachumbari
 
Jamani wapo MD kibao wakuwapa hii nafasi,hii ni hatari kubwa kwa taifa watu hawajali afya za watu! What do you expect for the GOV which can realise a fake ARV to his Peoples!!!!
 
Jamani wapo MD kibao wakuwapa hii nafasi,hii ni hatari kubwa kwa taifa watu hawajali afya za watu! What do you expect for the GOV which can realise a fake ARV to his Peoples!!!!

No relation na heading,AMO unajua maana yake?
 
Undugunization system ndiyo inayotangulia kwanza halafu karatasi hizo baadaye. Hukupata kusikia hivi majuzi kuwa kuna watu wamepewa vyeo kwa CV ambazo hawana halafu baada ya kuwa wamekabidhiwa mamlaka ndio sasa wamekwenda darasani kutafuta hizo qualifications!! Unatafuta maajabu saba duniani wakati sisi wenyewe ni maajabu!
 
ingekuwa hivyo kaka,mbona balaa,yaani kusiwe na vingezo kisa ni positiion ya utawala?basi hata matonya alistahili kuwa mkuu wa mkoa wa dar
 
Last edited by a moderator:
Tuko hapa kutetea masilahi ya watanzania walala hoi; haiwezekani serikali ikateua Daktari Msaidizi kuwa Mganga mkuu wa Mkoa wetu tukanyamaza hiyo ni kuhatarisha maisha ya ndugu zetu maskini huku vijijini huku nyie watoto wa mafisadi mkipelekwa India.

Ni bora huyu kuliko hao mnaofikiria wanafaa maana hao wasomi wameprove zero upstairs.
 
tangazo lilitolewa waliopeleka maombi ni ma AMO na ma CO, ndiyo sababu yeye amechaguliwa.
Hata hivyo inawezekana kuongoza. Jk ni dk, akina mawaziri professors... Wako chini yake.
 
Ni wivu tu umemjaa huyu jamaa na roho ya kichawi
eti anawaonea huruma wananchi wa Simiyu!!
 
JK unaona poa Madaktari Bingwa na MDs wote kuongozwa na Assistant Medical Officer kwelii au nchii hii imekuwa ya wateuliwa fekiiii tu; tusilete masihara katika maisha ya binadamu Plzzzzzzzzzzzzzz

Hivi naibu waziri was afya CV take iko vipi? Uteuzi wa JK kwenye kila eneo ni mgumu kuelewa vigezo anavyotumia
 
Hivi naibu waziri was afya CV take iko vipi? Uteuzi wa JK kwenye kila eneo ni mgumu kuelewa vigezo anavyotumia

yule naye kaunga unga, lakini at least ana masters ya utawala. Huyu wanayemsema kama hana kigezo kingine zaidi ya amo ni ukiukwaji wa sheria na taratibu zilizo wekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…