Zamani professionals walikuwa watu kama madaktari, wahandisi, wanasheria, n.k. Siku hizi professionals include manesi, accountants, walimu, wanasayasi, maafisa jamii na hata wafagiaji.
Lakini kwa kutojua bado kuna watu wanadhani professionals ni watu kama madaktari, wahandisi, wanasheria, n.k.
Ndiyo maana unakuta baadhi watu ambao bado wanaamini kwenye traditions (conservatives) kuwadharau watu wenye professions nyingine kwa msingi kuwa wao siyo professionals.
Na ndiyo maana huyo medical assistant anapigwa madongo eti hafai kuwa RMO kwa sababu siyo professional aka daktari.