DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Dah hili nimeaminiWabunge wengi wa CCM ndivyo walivyo, hawana uwezo wa kujenga hoja wao wameshazoea "ndiooo" na mipasho..
Huyu ni mfano mdogo, wabunge hewa ni wengi tu. Mijadala kama hii itasaidia sana ku expose if mbunge ni wualified au anatembelea upepo wa raisAlipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
View attachment 2940746
Lucas mwashambwa nampigia Simu hapokei nilitaka nimuite aje ajadili hoja ya Mwenzake..Gambo atakuwa Mgambo
Wako wapi watu wako?
Shida yenu mnataka mtu ajibu maswali na kuwapa majibu mnavyotaka nyie na yanayowafurahishaLucas mwashambwa nampigia Simu hapokei nilitaka nimuite aje ajadili hoja ya Mwenzake..
Bora hata yeye anajua Angalau kujadili hoja kwa maneno 5000
Mimi huwa nazipuuA kauli za ccmAlipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
View attachment 2940746
Ni weupe pee!Wabunge wengi wa CCM ndivyo walivyo, hawana uwezo wa kujenga hoja wao wameshazoea "ndiooo" na mipasho..
Hata yale unayotaka wewe ni ya hovyo tu. Hapo hakuna contentShida yenu mnataka mtu ajibu maswali na kuwapa majibu mnavyotaka nyie na yanayowafurahisha
Amepaniki...harafu naona kama hana mzuka kama zamaniGambo atavuna alichopanda
HahahaNa alikuwa mkuu wa mkoa,
Mrisho Gambo ninayemfahamu Mimi hajawahi kumiliki Akili labda awe ni Gambo Mrisho.Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
View attachment 2940746
Hatutaki majibu ya kipumbafu,hiyo ni haki yetu,usitupangieShida yenu mnataka mtu ajibu maswali na kuwapa majibu mnavyotaka nyie na yanayowafurahisha