Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

Shida yenu mnataka mtu ajibu maswali na kuwapa majibu mnavyotaka nyie na yanayowafurahisha
Lucas,

Tunatakiwa tujenge fikra za weledi, mantiki na ustaarabu kwa watu vizazi hadi vizazi.
Katiba, sheria na miongozo ya utawala ipo.
Ni maadui wa taifa tu au wapumbavu watakaojifanya hamnazo kwenye mambo ya msingi kama haya.
CCM tunatakiwa kuwa mfano bora katika kujenga heshima na ustaarabu wa kutafsiri na kufuata katiba na sheria.
Kuna haja ya chama kufanya maboresho ya kuweka watu wenye akili na busara mbele.
Changamoto ni kwamba siasa ziliweka weledi na busara pembeni kwa kipindi kirefu.
Imekuwa utamaduni kwamba kujitoa ufahamu ni mtaji wa kisiasa.
Hii si sawa na halikubaliki na linaimarisha misingi ya umasikini kwa jamii na taifa kwa ujumla.
 
 
Aisee sio yakucheka masta ni ya kusikitika sana haya mambo yan huyo ni kiongozi na anaona anajibu senses 😂😂😂😂 ni hatari sana sana
Ni kiongozi ambaye amekuwa kwenye Uongozi wa Maamuzi Kwa muda mrefu sana toka akiwa DC,RC sasa ni MP...
Inafikirisha sana
 
Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..

Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo

View attachment 2940746
Kumbe huyu Jamaal Lucas Mwasambwanda ndiyo Gambo hapa JF ? Duh!!!
 
Back
Top Bottom