Uchaguzi 2020 Kituko: Tundu Lissu na CHADEMA wanaamini mkoloni angetoa ''haki'' waafrika wasiongemkataa

magu yupo vizuli tu sema ile kofia ya uwenyekiti wachama ndiyo inayo leta kauchafu kwake lakini kuhusu kuongoza kwa ninayo yaona na kuyaskia yupo vizuri sana labda kwa nisiyo yajua
 
Shida ni je wafipa Wana kitambulisho Cha kura [emoji3][emoji3]

Nakumbuka watu walihamasishana wasijiandikishe
 
Sasa kama hata vyombo vya habari tu vinaogopa kusema Lissu yuko Mwanza ... wewe unaona kweli kuna uhuru nchi hii!!?
Nimekuuliza wew binafsi hapo
Huna uhuru wa mambo yako? Au amani kitaani kwenu haipoo?
Usisemee wengne! Semea nafsi yako basi


Kiukweli mimi binafsi kitaani kwetu kupo shwari kinomaa na hakuna habari za mijitu ijiitayo mijambazi kamwe, naishi kwa fraha na amani kama yoteee,
Sijui nyie mnaishi maeneo gani mnakokumbana na hio miraba ya unyang'anyi wa uhai wenu
 
Nazungumzia hali ilivyo ..... Yah right. Sina uhuru wa kupiga siasa kijiweni kama zamani!!
 
JokaKuu ni kweli habari ya kujisomea na kujua ya dunia kwa viongozi wa CCM awamu ya 5 na makada wao ni tatizo kubwa, na asili yake ni mwenyekiti wao.
Yeye hajisomei na hajui kabisa historia ya nchi hii wala ya dunia, hajui yanayoendelea sasa hivi kwingine nk yaani ni upoloto mtupu.
Ukimpa nafasi aongee, basi akimaliza kusema kilometa za barabara na idadi ya madaraja yanayofuatia ni aibu hata kusikiliza. Yaani ni aibu kwa nchi.
Mtoa mada kila siku anashindwa kumuelewa Lissu (pamoja na kuwa na hiyo digree yake ) sababu ni kuwa hajisomei
 
Unakosa uelewa, tena jina kudadavua halikufai
1. Mtawala hatendi haki ndiyo maana mjerumani alitimuliwa japo alileta maendeleo( inafanana na serikali hii)

2. Kiongozi hutenda haki hata kama maendeleo yatakuja taratibu. Huyo ndiyo tunayemtaka ktk nchi yetu kwa sasa.
Uongozi wa kisheria.
 
Thank you..! Ila umempa jibu kubwa sana kuliko uwezo wake wa kufikiri. Imegundulika kuna ugonjwa mpya umeibuka kwa mbogamboga pale Lumumba, ugonjwa wa kufikiri kwa kutumia tumbo na n'nyaaaa...!
 
Toka nijiunge na hili jukwaa sijawahi kuona mtu bogus kama wewe.! 😛 😛

Yaani unaona ni sahihi Magufuli aue tu watu na kuwateka wengine kisa tu anatujengea sijui takataka gani hizo ambazo pia hajengi kwa hela zake kwamba anazitoa mifukoni mwake.

Yaani wewe unaona hivyo vitu ni muhimu kuliko utu. You're very useless indeed.
 
Wanapigania haki yao ya msingi yakutawaliwa nawazungu
 
Mleta mada rudi upya shuleni.
Huwezi kutenda haki na kuwapa uhuru watu halafu hapo hapo ukaendelea kuwa mkoloni.
Mkoloni maana yake ni mfumo wa kuwanyonya watu (kuwanyima haki zao) na kuwatumikisha watu (kuwanyima uhuru wao).
 
Jomba umepoteza muda wako bureee sijui utaulipiaje..kwanza unazungumzia demokrasia, hivi umeshafanya analysis kwenye vyama hivi vyooote na kuona demokrasia inavyokandamizwa wapi...tuwe wakweli tu..tusijifanye tunafumba macho..uliza kwanini vipngozi wengi wamehama vyama vyao wameenda kuunga mkono juhudi za Magufuli..whyyy..kwenye vyama vyao Kuna matatizo gani...jiulize..
Umeshauliza ruzuku zinatafunwaje kwenye vyama hivi , hiki ni kipimo kizuri Sana Cha uadilifu na demokrasia..tupe data jomba..chambua tuone..
Umesikia leo jinsi waombaji ubunge wanawake wanavyolalamika wameenguliwa bila sababu za msingi...umepimaje hili kwa vyama vyenu..je kuna demokrasia..mambo yapo chungumzima na najua mnajua Sana sema mna chuki tu na mtu kwa jinsi alivyowatumbua na kuwakosesha fursa zile za madili
 
Kama ulikuwa hujui mkoloni alikuwa anatawalaje Tanganyika, basi tazama utawala wa sasa wa Tanzania chini ya Mzee Meko huenda utaelewa.
Kama kuna tofauti, basi hiyo tofauti ni ndogo sana.
 
Hizi ni dalili za kuliwa mpalange
 
Mkuu Chakaza ,ukiwa CCM,akili,utashi, elimu na reasoning havihitajiki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…