Uchaguzi 2020 Kituko: Tundu Lissu na CHADEMA wanaamini mkoloni angetoa ''haki'' waafrika wasiongemkataa

Binafsi ninawish Tz ingeendelea tu kutawaliwa na wakoloni. Ila hawa ccm wanaotaka raia wawe maskini wa fedha na akili ili waweze kuwatawala hawafai kabisa.
 
Acha propaganda za kijinga. Watanzania wana akili. Tunahitaji uhuru na maendeleo. Siyo maendeleo huku watu wakipotea bila maelezo, kuuawa, vyombo vya habari kuminywa... Unawezakupata maendeleo na pia ukawa huru.
 
Mleta mada anaandika utafikiri anayemwandikia asome ni darasa la kwanza!
Inasikitisha kuona hoja nyepesi kama hizi jukwaa kama hili!
 
Kwako amani nikutokua na majambazi au wanyang"anyi.kwahiyo nchi ambazo zilipigana vita ya wenyewe kwa wenyewe au nchi kwa nchi nikwasababu kulikua na majambazi na wanyanganyi?.ndugu huo ni utulivu sio amani.Nenda kajifunze kwanza amani ni nini na inatokana na nini ndo urudi kwenye mjadala.
 
Kwani hivyo vyama ni ikulu kwamba mahesabu yake hayakaguliwi,na kama kuna matatizo si kuna vyombo husika vyakushughulikia hayo.Ukiona hayo yote hayafanyiki jua nchi yenyewe ndiyo yenye mifumo mibovu yakuendesha siasa,usimamizi wa fedha,haki na democrasia ndo maana hayo yanatokea.
 
HAKI HUINUA TAIFA haya ni maneno ya mwenyezi Mungu juu ya watu wake kupitia Biblia takatifu,haki haiwezi kuwa mbadala wa jambo lolote lile mfano ulete maendeleo kwa gharama ya kunyima haki utakataliwa tu.
 
Yaani aya ya kwanza tu umetoa BOKO. Ulivyo tiririka na hiyo argument yako unajidhalilisha.


KUTAWALIWA ni HAKI?
 
Daaa jomba unataka serikali ya Magufuli iingilie hata demokrasia ya Ndani ya vyama vingine na matumizi ya fedha...kweli we kibokoo..ungekuwa wewe ungekubali
 
Daaa jomba unataka serikali ya Magufuli iingilie hata demokrasia ya Ndani ya vyama vingine na matumizi ya fedha...kweli we kibokoo..ungekuwa wewe ungekubali
 
Kamanda Uhuru si matusi
Acha propaganda za kijinga. Watanzania wana akili. Tunahitaji uhuru na maendeleo. Siyo maendeleo huku watu wakipotea bila maelezo, kuuawa, vyombo vya habari kuminywa... Unawezakupata maendeleo na pia ukawa huru.
 
Mkoloni mweusi anapiga Risasi, anateka na kuwapoteza weusi wenzake.
Mkoloni Mweupe hakufanya huu upuuzi,kupiga Risasi weupe wenzake.
Mkoloni Mweupe aliwapenda sana Weupe wenzake.
Mkoloni Mweupe alikuwa Mzalendo
 
Umeni
Umeniquote mkuu hahaha best comment katika uzi huu.

Matatizo mengi yanasababishwa na viongozi wa kiafrica wenyewe wala mabeberu hawatusababishii matatizo kwa kiwango kinachosemwa na hawa mabeberu weusi wajiitao wazalendo
 
Unajitaidi kupotosha maana, kwa makusudi na hii inakuonesha usivyo na maana! Propaganda zako zipo chini ya kiwango sana, aliye kupaga unaibu waziri, hata kama ni kuhonga, ni tahahira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…