Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
unachanganya na nini mkuu?mafuta ya mzeituni pia ni mazuri
mkuu docta sio kila kitu...Huyo bwana mmoja ni dokta?????????
au anataka kukufanya wewe uwe sample space?
unachanganya na nini mkuu?
unachanganya na nini mkuu?
huu ni mchanganyiko wa kuupaka kila siku au inatosha kuutengezena ukatumia wiki nzima1. Olive oil vijiko 2 vya chakula
2. Asali kijiko 1 cha chakula
3. Mdalasini kijiko 1 cha chai
Pasha moto olive oil kisha changanya vyote kwa pamoja paka kwenye nywele acha kwa muda wa dakika 20 kisha osha nywele zako na upakae mafuta zikishakauka...
si chai hii, yanasaidia sana
huu ni mchanganyiko wa kuupaka kila siku au inatosha kuutengezena ukatumia wiki nzima
nahisi umewahi kuugua maradhi ya akili, ila kwenu mko kama mlivyo kutokana na wivu na umbea ndio maana hamwendelei kabisa, mmejaa majungu kila kukicha! fanyeni kazi.Nikajua unazungumzia Mzee Machache (mmiliki wa TV pendwa) na Bakayoko