mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mji unakuwa utafikiri tuko buyenzi [emoji23][emoji23]
Ova
๐ ๐ ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mji unakuwa utafikiri tuko buyenzi [emoji23][emoji23]
Ova
Mwendazake alisema WASIBUGHUZIWE..!! Only to gain political cheap popularity..!!!Hakika inashangaza na Kusikitisha kabisa. SERIKALI inashindwa kuweka na kusimamia Utaratibu Mzuri wa Uendeshaji wa Kituo cha Mabasi cha Magufuli kwa kumwaachia Wafanyabiashara kutandaza na kupanga bidhaa zao kwenye Corridor na sehemu za kupumzika Abiria.
Hivi kusimamia hilo mpaka aje Mzungu? Mbona Viongozi wetu wazembe sana kwenye mambo ya Msingi?
Tunawaomba Wahusika wawaondoe wafanya Biashara wanaopanga na kutandaza bidhaa zao kinyume na Utaratibu.
Kwahiyo ulitaka hao waliopewa thamana ya kusimamia hio section wapingane na kaul ya mume wao jiwe?,jiwe alishasema wamachinga waachwe wafanye biashara wasigusweMimi niliwahi kusema hata kwenye hili la hawa kina Mama wanaopanga bidhaa barabarani...kuna Watu hawafanyi kazi zao walizoajiriwa kwazo.
Binaadamu wakati mwingine ni kama Ng'ombe, lazima awepo mmoja wa kuwaongoza wakae kwenye mstari.
Ndio maana wenye akili zao walikuja na wazo la kuweka taa za kuongozea Magari, la sivyo kila kukicha Magari yangekuwa yanarundikana kwenye njia panda na kukwamia hapo maana kila mmoja anataka apite yeye kwanza.
Hao waliopewa dhamana za mipango miji wanakula mishahara miaka nenda rudi na bado tu hawapati ufumbuzi wa kuwapanga Machinga na kina Mama wauza mboga.
Hao waliopewa dhamana za mipango miji wanakula mishahara miaka nenda rudi na bado tu hawapati ufumbuzi wa kuwapanga Machinga na kina Mama wauza mboga.
Bora wawafukuze wamachinga wote , stendi ibaki kuwa stendi na siyo gulio. Aliyewaruhusu kuifanya stendi hiyo gulio ameishaondoka na harudi tena. Ni wakati sasa kufuata utaratibu na siyo utashi wa mtu mmojaHakika inashangaza na Kusikitisha kabisa. SERIKALI inashindwa kuweka na kusimamia Utaratibu Mzuri wa Uendeshaji wa Kituo cha Mabasi cha Magufuli kwa kumwaachia Wafanyabiashara kutandaza na kupanga bidhaa zao kwenye Corridor na sehemu za kupumzika Abiria.
Hivi kusimamia hilo mpaka aje Mzungu? Mbona Viongozi wetu wazembe sana kwenye mambo ya Msingi?
Tunawaomba Wahusika wawaondoe wafanya Biashara wanaopanga na kutandaza bidhaa zao kinyume na Utaratibu.
Hali hii ya wamachinga kupanga biashara popote penye nafasi niliiona huko huko Zambia mwaka 1995, Lusaka nzima ilijaa vibanda vya biashara kila mahali, kama kweli wamebadilika basi watendaji wetu waende wakajifunze mbinu zilizotumika hadi wakafanikiwa.Hata mimi nilitaka kuitaja zambia sababu ndio nchi walau tunaendana kiuchumi, Lungu katuzidi sana, stendi yake biashara zote ziko kwenye fremu kubwa na vifremu vidogo, hakuna bidhaa iliyomwagwa chini wala vimeza meza. Highway yao ya kutokea huku kwetu hakuna banda la turubai utaliona linapepea pembeni mwa barabara, na sehemu za biashara zote highway ziko mita kadhaa kutoka barabarani. Angalau ndicho nilichokiona kwa mwaka huo 2018 nilipokua hapo sijui kwa sasa.
Huku mambo yaliyofanyika kwa miaka mitano mfululizo sidhani kama kuna kiongozi atayekuja kuweza kupambana na machinga wanaopanga biashara zao hadi mabarabarani. Itabidi kutumia mabavu kuwaondoa which sio sahihi au kuwaomba sana na kuwanyeyekea wahame, kitu ambacho nacho hawatatii.
Hali hii yakupanga biashara barabarani imeharibu taswira ya jiji la Dsm, baya zaidi barabara kuu iendayo kusini Kilwa Road, maeneo ya Mbagala R3, machinga wametandaza biashara zao Hadi barabarani, askari barabarani wanawashuhudia hawawasemi kisa, eti wanalipa kodiHakika inashangaza na Kusikitisha kabisa. SERIKALI inashindwa kuweka na kusimamia Utaratibu Mzuri wa Uendeshaji wa Kituo cha Mabasi cha Magufuli kwa kumwaachia Wafanyabiashara kutandaza na kupanga bidhaa zao kwenye Corridor na sehemu za kupumzika Abiria.
Hivi kusimamia hilo mpaka aje Mzungu? Mbona Viongozi wetu wazembe sana kwenye mambo ya Msingi?
Tunawaomba Wahusika wawaondoe wafanya Biashara wanaopanga na kutandaza bidhaa zao kinyume na Utaratibu.
Uliambiwa kama nani au TagaNilipita pale wiki2 zilizopita nikaambiwa vyakula haviruhusiwi kuingizwa kituoni kwa sasa ila vinapatikana upande wa pili wa kituo
Pia niliambiwa ujenzi unaendelea... na ukikamilika kila kitu kitakua sawa
Exactly!Tatizo la Marehemu Jiwe alitaka kutengeza 'cult' (kama kadini kake mwenyewe chenye wafuasi wanaomuona masiha). Na ili kulitimiza hili akatarget wale wa kipato cha chini sana na kujitwika utetezi hewa.
Kutimiza dhamira yake alikwenda kinyume na mfumo wa kistaarabu ili tu aonekane anajali sana, alifanikiwa kupata wa kumuabudu lakini athari yake inakera wengi zaidi.
Leo hii kupita kariakoo ni tabu maana kumejaa wamachinga kila sehemu, ukija ilala boma barabara imekuwa soko la nyanya na vitunguu.
Na hiyo stendi ya mabilioni ishakuwa kama tandika tayari, yote sababu ya kiumbe mmoja tu aliyetaka kuwa mungu na leo hayupo tena.
Uzuri nipo mkoani Kesho kama nikipita mtaa huo mpaka wameubatiza jina kipande cha kariakoo na ni mkoani ntakupigia picha. Nilishangaa sana, barabara ya lami imefungwa kabisa huwezi katiza. Kunauzwa nyanya, kuna wa mishkaki, popcorn, nguo yaani balaa...Hebu weka picha hapa nione vitunguu katikakati ya barabara
Hakuna haja ya kukuza mambo kiasi hiki
Uzuri nipo mkoani Kesho kama nikipita mtaa huo mpaka wameubatiza jina kipande cha kariakoo na ni mkoani ntakupigia picha. Nilishangaa sana, barabara ya lami imefungwa kabisa huwezi katiza. Kunauzwa nyanya, kuna wa mishkaki, popcorn, nguo yaani balaa...
๐๐๐Wakati unapita kupiga picha uombe na maelezo toka kwa wahusika kabisa
Changamoto zinapatiwa suluhu kwa kuzifanyia kazi na sio kwa kulalamika bila hata kuwa na maoni au mapendekezo
Maendeleo hayana vyama
Usisahau kuniletea zawadi huko mkoani utokako๐๐๐
napata hasara ya barabara kuminywa na kupelekea kuleta usumbufu na hata hatari kwa watumiaji wa barabara na hata baadhi ya barabara kufungwa kabisa.ieleweke kila kitu kina mahala pake mkuu kwani masoko yana nini wasiuzie sokoni watu wakawafuata huko au hata huko barabarani kukawekwa utaratibu mzuri kuliko kuwaachia tu kila mtu akaamua kujitandazia anapoona panamfaa.Mtu akiuza nyanya zake barabarani wewe mpitaji unapungukiwa nini??
kibaya zaidi kuna wafanyabishara wadogo wanaolipa kodi humo humo ndaniKituo cha mabasi kinatakiwa kutumika kama kituo cha mabasi kulingana na mpango kazi uliowasilishwa na kutekelezwa. Wafanyabiashara ndogo ndogo hata kama waliwahi kutetewa na hayati JPM wapewe somo upya na wapangiwe sehemu rasmi za kufanya biashara,siyo stendi kuu ya mabasi.
Vinginevyo, waunganishe mitaji yao, waunde ushirika wa wafanyabiashara wapangishe vyumba vilivyokwisha jengwa pale ili kuwe na mahali rasmi pa kununua bidhaa kwa wasafiri wanaopenda kula kula kama mchwa. Kuwe na utaratibu, sheria zizingatiwe na walipe kodi. Hivi ni nani anailinda haki yangu ya kusafiri bila kubughudhiwa pale nisipotaka kununua chochote ninaposafiri?
Tuachane na hii tabia ya kujifanyia mambo kama kwamba hakuna sheria, mimi ninapopanga safari sihitaji kulazimishwa kusikiliza mziki wowote, kuangalia video au kulazimishwa kula au kunywa, watu watafute ridhiki ndio,...lakini wafuate utaratibu uliowekwa na waliopewa Mamlaka ya kusimamia wasiyumbishwe kama kwamba siyo watalaamu.
Tanzania nchi yangu bado tuna vita kubwa sana na wale adui wetu watatu :- ujinga, umasikini na maradhi.Nani sasa awaguse wakati mwendazake aliamuru wasiguswe waacheni tu mapaka watakapo oona kero ndio watawatfutia sehwmu nyingine....View attachment 1754433