Kituo cha Mabasi Magufuli bei ya pango hadi Tsh. 1,200,000/= kwa siku

Jina la Kituo HALINA MVUTO, limeacha majeraha mengi kwa watu wa kimara na mbezi kuvunjiwa bila fidia huku watu kama hao huko mwanza kwao alisema wasivunjiwe.

by the way, makada wa CCM ndio waliopata hivyo viduka wacha wapambane na hali zao.
 
Hizi bei walipanga wakiwa TRUMP HOTEL MANHATTAN huko New York, wangezipanga wakiwa halmashauri ya jiji la DAr wangejua hali halisi za watanzania.
 
mmetengeneza nchi ya wanyonge alafu mnaweka bei za mabepari, maajabu hayaishi AFRICA.
 
kwa bei hiyo tuwaachie machinga wafanye biashara tu

kwani kariakoo pango ni bei gani
 
Hii ni Magufuli Shopping Mall siyo Stendi.They have planned to fail😂😂😂🙌
 
Hii ni Magufuli Shopping Mall siyo Stendi.They have planned to fail😂😂😂🙌
 
Mk
Mkuu kuna uhaba wa Business experts serikalini.Maana angalia teuzi za wakurugenzi hasa mashirika wengi unakuta PhD holders kutoka vyuoni na wengi hawana exposure ya masuala ya Biashara,hii pia ata kwa nafasi zingine wengi ni graduates(mjomba).Inabidi waanze kufanya head hunting kwenye private sector.
 
Naanza kuona kituo kikianza kuwa sehemu ya kusambazia unga mikoani na nje ya nchi , kwa biashara za halali huwezi kulipa kodi hizo
Uko sahihi, kisipokuwa distribution centre ya mirungi, bangi na maunga kwa South Eastern Central Africa, basi kweli nchi hii tutakuwa na wafanyabiashara wa maji na juice.
Tusiseme sana huenda Bakhressa na Watercom wanachukua warehouse spaces.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Investment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?

Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
kwa nn ufanye investment ghali kiasi hicho huku ukijua hakuna uhasia?, unampata wapi mtu kulipa 1.2 mil kwa biadhara za mbezi mwisho?
60b ni inflated costs
 
mkuu fremu moja kuhudumia wateja 4000 sio kitu cha kawaida na haipo, unapopiga hesabu za faida kibiashara usipende kuweka high side .
 
Investment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?

Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
Sasa wewe kwa akili yako na kama kweli yalio andikwa hapo ni sahihi unadhani ni wangapi watapangisha hizo frem na kufanya biashara?
Na unafahamu kazi za serikali kwa wananchi kweli wewe?
 
Sure .. Ila hata wakifanya hivyo .wakishaingia Serikali tu wanakuwa uozo mpaka unajiuliza huyu si alikuwa vile na vile akiwa kule ..mbona huku ni kibuyu !? Nilichogundua Serikali hakuna presha ya kutekeleza Mambo, wengi wanaofanya Kazi huko wanafanya kimazoea ndio maana ubunifu hakuna...
 
Ndugu yangu hao watu wa Kimara - Mbezi siyo tu waliumia wengi walikufa kwa idadi kubwa sana na wengine wakabaki maskini wa kutupa. Yaani maisha yaliharibika sana kwa barabara ya meta 15 left na 15 right iliyobomoa meta 130 left na 130 right 20km with no compensation.
Jina la Kituo HALINA MVUTO, limeacha majeraha mengi kwa watu wa kimara na mbezi kuvunjiwa bila fidia huku watu kama hao huko mwanza kwao alisema wasivunjiwe.

by the way, makada wa CCM ndio waliopata hivyo viduka wacha wapambane na hali zao.
 
Endeleeni kuimba pambio

Nimesema mara nyingi hivyo vinavyoitwa miradi ya kimkakati ni upuuzi wa kupoteza kodi zetu

Mamiradi yote ya dizaini hiyo kama mastendi ,masoko nk nk ni liabilities na white elephant

Mambo ya biashara iachiwe sekta binafsi serikali ijenge mambo ya huduma kwa umma na kuwezesha sekta binafsi ijiendeshe wao wachukue kodi tuu
 
Kwa kodi kuna watu wanaimudu kweli?
 
Hapo hapo hela ni za mkopo waTZ wanalipa pamoja na riba!!!!!!!!!
Maccm ni mapumbavu Sana ,yamekopa pesa na kujenga mistendi ya magorofa karibu nchi nzima sijui kwa ajili gani huku yakiita miradi ya kimkakati,hakuna kinachoendelea ni hasara tupu.

Ndio maana watu wa nchi hii kamwa wasijetegemea unafuu wa maisha chini ya maccm
 
Investment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?

Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
Kwachukue TU fremu mkuu hupangiwi.

Sema ndo vile, Kuna watu humu mna chuki na wafanyabiashara.

Na asilimia KUBWA watu Kama nyie ata karanga hamjawahi uza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…