technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Aiseee utafikiri tupo newyork cityMatatizo ya maendeleo ya vitu bila business plan!
This will remains white elephant indefinetely.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee utafikiri tupo newyork cityMatatizo ya maendeleo ya vitu bila business plan!
This will remains white elephant indefinetely.
Yni uuze msosi wa milion 5 per day?Ila kama mtu analipa hiyo kodi ya 1.2M kwa siku, then akitoa expense nyingine anabakiwa na faida ya 1.5M+ atalalamikia nini...!?
Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha Tsh, 20,000/= kwa mwaka sawa na Tsh. 55 kwa siku.
Attached ni mchanganuo wa bei ya pango kama ulivyoidhinishwa na DCC kabla haijavunjwa na Hayati Rais Magufuli mwezi February 2021 wakati wa uzinduzi.
Data hizo ni kutoka waraka ulioidhinishwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa DCC uliosomeka "“Majina ya walioshinda zabuni ya upangishaji maeneo ya biashara na utoaji huduma mbalimbali katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mbezi Luis 2020”
Mipango mingi ya ajabu ya aina hii kupitia TAMISEMI imeshindwa kama vile: Bus stand ya Dodoma, Machinga Coplex ya pale Ilala, Mwal Nyerere Airport Terminal 3, machinjio ya Vingunguti nk.
Ummy Mwalimu take action please, hapo hakuna biashara.
Data hizo ni kutoka andiko G. Kombe.
View attachment 1756589
Not realistic at all!!!Mataga aliyewaloga tumemzika last month.
yani huduma ya sh.million 36 kwa mwezi per 1 frame???
Toka kituo hakijafunguliwa hizo bei zipo na mwendazake alikua anajua,nina mdogo wangu alifukuzia fremu ndogo tu akapewa kodi ya 3m kwa mwezi..kabla hata kituo hakijazinduliwa,ccm ilishafeli kitambo imebaki kupiga kelele tuHizi bei zilipangwa lini? JPM alibahatika kuziona au kuzifahamu wakati wa uhai wake?
Mataga aliyewaloga tumemzika last month.
yani huduma ya sh.million 36 kwa mwezi per 1 frame???
Hii typing"error"na boss kaiweka hapa bila y'a kufanya"proof reading"Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha Tsh, 20,000/= kwa mwaka sawa na Tsh. 55 kwa siku.
Attached ni mchanganuo wa bei ya pango kama ulivyoidhinishwa na DCC kabla haijavunjwa na Hayati Rais Magufuli mwezi February 2021 wakati wa uzinduzi.
Data hizo ni kutoka waraka ulioidhinishwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa DCC uliosomeka "“Majina ya walioshinda zabuni ya upangishaji maeneo ya biashara na utoaji huduma mbalimbali katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mbezi Luis 2020”
Mipango mingi ya ajabu ya aina hii kupitia TAMISEMI imeshindwa kama vile: Bus stand ya Dodoma, Machinga Coplex ya pale Ilala, Mwal Nyerere Airport Terminal 3, machinjio ya Vingunguti nk.
Ummy Mwalimu take action please, hapo hakuna biashara.
Data hizo ni kutoka andiko G. Kombe.
View attachment 1756589
Acha jazba za kike.Wewe nae ni kama JPM alikuchukulia Mke wako,siyo kwa gubu hili,nenda Chato basi ukamalize hasira zako. Mwanaume mzima unakuwa na kisirani utadhani Mama Mjamzito
Wewe kama mimi tu, mmachinga angalia alivyoiharibu kariakoo leo hii wanamruhusu stendiMimi tokea tu Siku ile nikwazike na Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kuwaruhusu Wamachinga wajitawale ndani humo nilijua kuna shida na hata sitaki kuyasikia yanayojiri huko kwani ni Upuuzi mtupu tu.
Hii nchi ina watoa maamuzi wapuuzi sanaHii biashara imekufa kabla hata haijaanza.
Yni uuze msosi wa milion 5 per day?
Sahani elf ngap hizo
Hivi haya masomi yetu tuliyo yaaamini Yana akili kweli?Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha Tsh, 20,000/= kwa mwaka sawa na Tsh. 55 kwa siku.
Attached ni mchanganuo wa bei ya pango kama ulivyoidhinishwa na DCC kabla haijavunjwa na Hayati Rais Magufuli mwezi February 2021 wakati wa uzinduzi.
Data hizo ni kutoka waraka ulioidhinishwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa DCC uliosomeka "“Majina ya walioshinda zabuni ya upangishaji maeneo ya biashara na utoaji huduma mbalimbali katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mbezi Luis 2020”
Mipango mingi ya ajabu ya aina hii kupitia TAMISEMI imeshindwa kama vile: Bus stand ya Dodoma, Machinga Coplex ya pale Ilala, Mwal Nyerere Airport Terminal 3, machinjio ya Vingunguti nk.
Ummy Mwalimu take action please, hapo hakuna biashara.
Data hizo ni kutoka andiko G. Kombe.
View attachment 1756589
labda elfu 99Yni uuze msosi wa milion 5 per day?
Sahani elf ngap hizo
Ona aibu angalau!Hizo sehemu, wanaolalamika ni huku kwenye mitandao tu!
Kuna watu hawajui hii na hata smartphone hawamiliki lakini kwenye hizo frem za kuuzia soda na vinywaji ambapo kodi yake ni 1M+ per day ndio wamezishikilia! Nenda pale uone kama hazina wapangaji wanaouza hivyo vyakula na vinywaji tena kwa bei chee kabisa!
Fanya hesabu ndogo tu, watu wanaoingia stand pale wastani kwa siku ni zaidi ya watu 12,000. Kati yao watu 4000 wakinunua maji kwa bei ya Tsh 500, hiyo ni 2M kiwango cha chini!
Msosi bei ya wastani 1500/= kwa watu 4000 hiyo ni 6M!
Usiseme hao watu 4000 watakaa wapi, au kama wote wataenda sehemu moja maana sehemu zitakuwa nyingi!
Ukweli ni kwamba wenye fedha na uwezo wa kulipa tayari wapo mzigoni, wasio na vibanda hata vya chips ndio wamebaki kulalamika tu, utadhani walienda wakafukuzwa kwa mtutu!
Ni very expensive...Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha Tsh, 20,000/= kwa mwaka sawa na Tsh. 55 kwa siku.
Attached ni mchanganuo wa bei ya pango kama ulivyoidhinishwa na DCC kabla haijavunjwa na Hayati Rais Magufuli mwezi February 2021 wakati wa uzinduzi.
Data hizo ni kutoka waraka ulioidhinishwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa DCC uliosomeka "“Majina ya walioshinda zabuni ya upangishaji maeneo ya biashara na utoaji huduma mbalimbali katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mbezi Luis 2020”
Mipango mingi ya ajabu ya aina hii kupitia TAMISEMI imeshindwa kama vile: Bus stand ya Dodoma, Machinga Coplex ya pale Ilala, Mwal Nyerere Airport Terminal 3, machinjio ya Vingunguti nk.
Ummy Mwalimu take action please, hapo hakuna biashara.
Data hizo ni kutoka andiko G. Kombe.
View attachment 1756589
Wala sio wamachinga tu hata beberu pure kutoka USA, kwa rent hizo kamwe hawezi!!!yaaani bar kwa siku ulipe kodi ya laki 6?!!!Akufukuzaye hakwambii toka...hapo wanafukuza machinga.