DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Itakubidi unyoe kichwa kimoja kwa laki 3.Yaani barbershop nilipe milioni 3 kwa mwezi...Dah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakubidi unyoe kichwa kimoja kwa laki 3.Yaani barbershop nilipe milioni 3 kwa mwezi...Dah!
Ayo maji unauza peke ako, hivi unajua faida anayopata kwemye chupa moja ya maji?Hizo sehemu, wanaolalamika ni huku kwenye mitandao tu!
Kuna watu hawajui hii na hata smartphone hawamiliki lakini kwenye hizo frem za kuuzia soda na vinywaji ambapo kodi yake ni 1M+ per day ndio wamezishikilia! Nenda pale uone kama hazina wapangaji wanaouza hivyo vyakula na vinywaji tena kwa bei chee kabisa!
Fanya hesabu ndogo tu, watu wanaoingia stand pale wastani kwa siku ni zaidi ya watu 12,000. Kati yao watu 4000 wakinunua maji kwa bei ya Tsh 500, hiyo ni 2M kiwango cha chini!
Msosi bei ya wastani 1500/= kwa watu 4000 hiyo ni 6M!
Usiseme hao watu 4000 watakaa wapi, au kama wote wataenda sehemu moja maana sehemu zitakuwa nyingi!
Ukweli ni kwamba wenye fedha na uwezo wa kulipa tayari wapo mzigoni, wasio na vibanda hata vya chips ndio wamebaki kulalamika tu, utadhani walienda wakafukuzwa kwa mtutu!
Hawajui Biashara na hili ndio tatizo la serikali kutokukubali ukweli, hio stand wangetafuta mwekezaji na wao wachukue kodi, pesa iliyotumika ni nyingi, Kituo baada ya miezi sita hakitamaniki na pesa haitakaa irudi. Sekta binafsi ndio Engine na Jeshi la kiuchumi la nchi. Serikali ibaki na miradi mikubwa sana na Kuwa mwangalizi wa sekta binafsi sio kendesha Biashara Ndogo NdogoSasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha Tsh, 20,000/= kwa mwaka sawa na Tsh. 55 kwa siku.
Attached ni mchanganuo wa bei ya pango kama ulivyoidhinishwa na DCC kabla haijavunjwa na Hayati Rais Magufuli mwezi February 2021 wakati wa uzinduzi.
Data hizo ni kutoka waraka ulioidhinishwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa DCC uliosomeka "“Majina ya walioshinda zabuni ya upangishaji maeneo ya biashara na utoaji huduma mbalimbali katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mbezi Luis 2020”
Mipango mingi ya ajabu ya aina hii kupitia TAMISEMI imeshindwa kama vile: Bus stand ya Dodoma, Machinga Coplex ya pale Ilala, Mwal Nyerere Airport Terminal 3, machinjio ya Vingunguti nk.
Ummy Mwalimu take action please, hapo hakuna biashara.
Data hizo ni kutoka andiko G. Kombe.
View attachment 1756589
Mpangishie baba yakoInvestment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?
Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
Kama hizo data ni za ukweli basi tuendako si swali.lakn kwa akili za kawaida hakuna biashara ya aina hiyo kwa mzunguko upi?cjui na siamini kama ni kweli anyway basi yajao yanashangaza.Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha Tsh, 20,000/= kwa mwaka sawa na Tsh. 55 kwa siku.
Attached ni mchanganuo wa bei ya pango kama ulivyoidhinishwa na DCC kabla haijavunjwa na Hayati Rais Magufuli mwezi February 2021 wakati wa uzinduzi.
Data hizo ni kutoka waraka ulioidhinishwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa DCC uliosomeka "“Majina ya walioshinda zabuni ya upangishaji maeneo ya biashara na utoaji huduma mbalimbali katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mbezi Luis 2020”
Mipango mingi ya ajabu ya aina hii kupitia TAMISEMI imeshindwa kama vile: Bus stand ya Dodoma, Machinga Coplex ya pale Ilala, Mwal Nyerere Airport Terminal 3, machinjio ya Vingunguti nk.
Ummy Mwalimu take action please, hapo hakuna biashara.
Data hizo ni kutoka andiko G. Kombe.
View attachment 1756589
Kama hizo data ni za ukweli basi tuendako si swali.lakn kwa akili za kawaida hakuna biashara ya aina hiyo kwa mzunguko upi?cjui na siamini kama ni kweli anyway basi yajao yanashangaza.
JPM hakua mmiliki wa stendi wala nchi....alipaswa afanye kazi kwa taratibu za kisheria...hata asipokuwepo wanaotekeleza wajibu wake hawawezi kukosaHizi bei zilipangwa lini? JPM alibahatika kuziona au kuzifahamu wakati wa uhai wake?
Kuna upotoshaji mkubwa sana hapaSasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha Tsh, 20,000/= kwa mwaka sawa na Tsh. 55 kwa siku.
Attached ni mchanganuo wa bei ya pango kama ulivyoidhinishwa na DCC kabla haijavunjwa na Hayati Rais Magufuli mwezi February 2021 wakati wa uzinduzi.
Data hizo ni kutoka waraka ulioidhinishwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa DCC uliosomeka "“Majina ya walioshinda zabuni ya upangishaji maeneo ya biashara na utoaji huduma mbalimbali katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mbezi Luis 2020”
Mipango mingi ya ajabu ya aina hii kupitia TAMISEMI imeshindwa kama vile: Bus stand ya Dodoma, Machinga Coplex ya pale Ilala, Mwal Nyerere Airport Terminal 3, machinjio ya Vingunguti nk.
Ummy Mwalimu take action please, hapo hakuna biashara.
Data hizo ni kutoka andiko G. Kombe.
View attachment 1756589
Huo upotoshaji ueleze hapa basi siyo unatamka tu bila research, get your mind in gear before you say/write.Kuna upotoshaji mkubwa sana hapa
kuna phrase ya "white elephant" huwa inatumika kuelezea projects kama hizi .wamefikaje kwenye hizi hesabu? ama jiwe ndio aliwapa maelekezo?
maana sioni biashara za kuingiza pesa namna hii na faida ikawepo.
kwani pamekuwa 'Kalia-koo'?
Hivi mabasi yote yanaanzia hapo hata zile El Saedy za Mbeya?Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha Tsh, 20,000/= kwa mwaka sawa na Tsh. 55 kwa siku.
Attached ni mchanganuo wa bei ya pango kama ulivyoidhinishwa na DCC kabla haijavunjwa na Hayati Rais Magufuli mwezi February 2021 wakati wa uzinduzi.
Data hizo ni kutoka waraka ulioidhinishwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa DCC uliosomeka "“Majina ya walioshinda zabuni ya upangishaji maeneo ya biashara na utoaji huduma mbalimbali katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mbezi Luis 2020”
Mipango mingi ya ajabu ya aina hii kupitia TAMISEMI imeshindwa kama vile: Bus stand ya Dodoma, Machinga Coplex ya pale Ilala, Mwal Nyerere Airport Terminal 3, machinjio ya Vingunguti nk.
Ummy Mwalimu take action please, hapo hakuna biashara.
Data hizo ni kutoka andiko G. Kombe.
View attachment 1756589
36m frame kwa mwezi hata iwe investment gani hamna Kodi kama hyo kwa biashara za standInvestment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?
Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
Duh kama ni kweli basi kunashidaSasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha Tsh, 20,000/= kwa mwaka sawa na Tsh. 55 kwa siku.