holypotato
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 211
- 250
Acha uzushi ... autocorrect ndio inatoa h kwenye neno hela na kuweka ela? Au kuweka H kwenye neno aibu kuwa haibu? Msitafute visingizio visivyo na maana.Tupo kwenye nyakati za keyboards zenye auto-correct.Maneno yanabadilishwa bila kujua.
Unaweza mkumbusha mtu bila kuzodoa, mana wewe mwenyewe umeonesha ujinga wako.
HAIBU=AIBUKITUO CHA MABASI MWENGE
View attachment 2994025View attachment 2994026View attachment 2994027
- Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni
- Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023
- Ufadhili:fedha za ndani
- Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja.
- Gharama ya ujenzi : Billioni 15
View attachment 2994028
Hongera sana Manispaa ya Kinondoni ,mmeonesha uthubutu.
STENDI YA MABASI YA MKOA ARUSHA
View attachment 2994029View attachment 2994030View attachment 2994031View attachment 2994032
- Chini ya Halmashauri ya Jiji la Arusha
- Hakuna vyoo
- Hakuna Ofisi wala sehemu ya kujikinga jua na mvua.
- Mkakati wa stendi mpya umesuasua kwa zaidi ya miaka 10
Hapo Uongozi wa Jiji ujiskie haibu na kujitafakari sana....
Mh.Gambo, unazingua.
Kwakweli naombea uwepo wa Makonda, uchagize ujenzi wa stendi....Ni aibu sana hii... Arusha ni miongoni mwa A-list cities in Tz ...but kuwepo kwa Makonda pale ni among mwa strategies za kufanikisha mambo kama haya na ni muhimu hiyo stand kupatikana mpya haswaa ukizingatia afcon itachezwa huko 2027 kwahyo kutakua na influx ya watu pia kwa wakat huo..
Kwakweli naombea uwepo wa Makonda, uchagize ujenzi wa stendi....Ni aibu sana hii... Arusha ni miongoni mwa A-list cities in Tz ...but kuwepo kwa Makonda pale ni among mwa strategies za kufanikisha mambo kama haya na ni muhimu hiyo stand kupatikana mpya haswaa ukizingatia afcon itachezwa huko 2027 kwahyo kutakua na influx ya watu pia kwa wakat huo..
Na ujinga wako inakupasa ujue kuwa hizi simu zinakuja na collection ya maneno zaidi ya 1000 ya English na si kiswahili...Acha uzushi ... autocorrect ndio inatoa h kwenye neno hela na kuweka ela? Au kuweka H kwenye neno aibu kuwa haibu? Msitafute visingizio visivyo na maana.
Autocorrection inaweka maneno unayoyatumia mara kwa mara au ya lugha husika. Kwa hiyo ubovu unaanza kwa mtumiaji mwenyewe.
Doita ni mpumbavu sana na anapenda rushwa sana! Shwaini mkubwa sana!Ile Halmashauri Madiwani ni MANENO tu, wakiongozwa na cha ujanja DOITA..
Mtu hana kazi nyingine ya kumpatia kipato, unategemea nini?..kutwa kushinda ofisini kuomba kuomba virushwa na kutongoza wafanyakazi na mama ntilie mtaani..Doita ni mpumbavu sana na anapenda rushwa sana! Shwaini mkubwa sana!
Na inaendela kubadilika, kule msikitini kuna maduka ya kisasa, majengo madogo yanaendelea kubomolewa kupisha ujenzi wa maghorofaKumbe Mwenge ndio pako hivi kwa sasa!
mwenge ni pa moto....kuna uwanja mpya umejengwa paleSerikali ya majimbo huwa naona kama ni mbadala wa maendeleo ya sehemu kwa kutegemea mapato yao ya ndani.
Sasa wengine wanatoa tu hata kama makusanyo ni kidogo, chote kinabebwa na serikali.
Mbeya wahuni walikula hela pana stand pale kama hizo zingine unazoziona na eneo lililotakiwa kujengwa ilikua ule upande wa Shamba ambapo kulikua na ramani nzuri wezi walipoona watabanwa wakajenga kama ya dharula upande huu wa 88 hiyo ndio taarifa fupi hakuna stand pale watu wananyeshewa na mvua kama kawaida tu..Mbona Mbeya kulikuwa Sugu na stendi mpya ikatengewa eneo la eka kama 6...na wakaweka Pavements na taa ....