holypotato
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 211
- 250
Acha uzushi ... autocorrect ndio inatoa h kwenye neno hela na kuweka ela? Au kuweka H kwenye neno aibu kuwa haibu? Msitafute visingizio visivyo na maana.Tupo kwenye nyakati za keyboards zenye auto-correct.Maneno yanabadilishwa bila kujua.
Unaweza mkumbusha mtu bila kuzodoa, mana wewe mwenyewe umeonesha ujinga wako.
Autocorrection inaweka maneno unayoyatumia mara kwa mara au ya lugha husika. Kwa hiyo ubovu unaanza kwa mtumiaji mwenyewe.