MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hahaha nilitaka kushangaa haya yameanza lini tena!?Umeongea kinyume chake
Hiyo ndo sello ina matesonkama Guantanamo
Kuna jamaa kwa tuhuma za kuwa na bunduki, alienda alisema kule huwezi jua muda gani mchana au usiku
Kukatwa masikio ili useme ukweli ni jambo la kawaida
Usiombe kufika huko Kigoto
Malizia kwa kusema wote mnakaribishwaKila mtu wangu wa karibu aliyefanikiwa kupelekwa polisi Kigoto maeneo ya Kirumba alirudi na kusimulia upendo uliopita kiasi ndani ya Jeshi la polisi nchini.
Inasemekana ndani ya selo za Kigoto watu wanapata chakula bora na cha kutosha na kwa wakati, hamna mateso ya aina yoyote ile tofauti na vituo vingine, vipigo ni mwiko ndani ya Kigoto. Mtu yoyote anayeingia Kigoto hutoka bila alama yoyote ile.
Pongezi viwafikie makamanda wote wa Kigoto kwa kurudisha heshima ndani ya Jeshi la Polisi.
Taja kituo kingine kinachoheshimu haki za binadamu nchini.
Unaongelea Kigoto ya 1980's au ya kizazi kipya.Kila mtu wangu wa karibu aliyefanikiwa kupelekwa polisi Kigoto maeneo ya Kirumba alirudi na kusimulia upendo uliopita kiasi ndani ya Jeshi la polisi nchini.
Inasemekana ndani ya selo za Kigoto watu wanapata chakula bora na cha kutosha na kwa wakati, hamna mateso ya aina yoyote ile tofauti na vituo vingine, vipigo ni mwiko ndani ya Kigoto. Mtu yoyote anayeingia Kigoto hutoka bila alama yoyote ile.
Pongezi viwafikie makamanda wote wa Kigoto kwa kurudisha heshima ndani ya Jeshi la Polisi.
Taja kituo kingine kinachoheshimu haki za binadamu nchini.
IkO mwanzaNdio iko mkoa gani hii mkuu? Maelezo hayajitoshelezi
Mkuu kumbe wewe ni afande?Kila mtu wangu wa karibu aliyefanikiwa kupelekwa polisi Kigoto maeneo ya Kirumba alirudi na kusimulia upendo uliopita kiasi ndani ya Jeshi la polisi nchini.
Inasemekana ndani ya selo za Kigoto watu wanapata chakula bora na cha kutosha na kwa wakati, hamna mateso ya aina yoyote ile tofauti na vituo vingine, vipigo ni mwiko ndani ya Kigoto. Mtu yoyote anayeingia Kigoto hutoka bila alama yoyote ile.
Pongezi viwafikie makamanda wote wa Kigoto kwa kurudisha heshima ndani ya Jeshi la Polisi.
Taja kituo kingine kinachoheshimu haki za binadamu nchini.
Unagongeshwa hadi unawaza au wahuni wamenibebà sijitambui wakanitelekeza ngome ya waasi South SudanJirani yao kirumba pale,ukipelekwa utagombaniwa kama nyoka aliyekosea njia akaingia sokoni.F*ck police
Kidogo?Kila mtu wangu wa karibu aliyefanikiwa kupelekwa polisi Kigoto maeneo ya Kirumba alirudi na kusimulia upendo uliopita kiasi ndani ya Jeshi la polisi nchini.