Chadema chakavu bwana, wanajizeeesha bila mpangilio Wala sababu.Kuleni tu hela zetu
, au kuna jela na mahabusu chini ya ardhi😂Labda kuna bonge la mjengo chini yake..
Handaki wapi mkuu😂Sioni jengo la 700m hapo,otherwise waseme wamejenga na handaki chini ya hicho kituo.
Labda chini kuna underground cell za siriLabda pamoja na silaha na Magari ya police na mishahara ya miezi sita😃😃
Huwa wanapaita Amara😃😃Labda chini kuna underground cell za siri