Kituo cha Polisi kilichogharimu Shilingi Milioni 798 chazinduliwa Namtumbo Mkoani Ruvuma

Kwa hilo jengo kilichofanyka hapo ni wizi hilo Jengo sana sana lingetumia milion 200 .
Manake unakuta ndani sehemu kubwa hususani kwenye maofisi partition imefanywa na wall panel boards
 
Labda pamoja na silaha na Magari ya police na mishahara ya miezi sita😃😃
 
Sioni jengo la 700m hapo,otherwise waseme wamejenga na handaki chini ya hicho kituo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…