Hii nayo hàbari? Engongà anao mamia ya watoto kwenye familia za watu huko kwao!
Wengine humu mna watoto wengi tu huko kwa akina mama j wàla siyo habari, sasa huyu putin katoto kamoja tuu ni uzembe.
Binafsi nikisikiaga eti mwanaume anatuhumiwa kua na mtoto wa nje nashangaaga sana; halafu hizo tuhuma ziwe za mwana siasa; najiulizaga..., kwani tatizo hapo ni LIPI? Huyo sio kiongozi wa kidini, shida inakua wapi? Ile scandal ya Lowasa ilimalizwa na Fred Lowasa tu, wala baba yake hakujibu, dogo alitamka tu hivi, "sisi Wamasai kwetu watoto ni baraka, AJE nyumbani" story ikaishiaga hapo hapo