Kituo cha TV cha Ukraine chamfichua mtoto wa nje wa Vladimir Putin anayeishi Paris Ufaransa kama DJ

Kituo cha TV cha Ukraine chamfichua mtoto wa nje wa Vladimir Putin anayeishi Paris Ufaransa kama DJ

Hii nayo hàbari? Engongà anao mamia ya watoto kwenye familia za watu huko kwao!
Wengine humu mna watoto wengi tu huko kwa akina mama j wàla siyo habari, sasa huyu putin katoto kamoja tuu ni uzembe.
Acha masimango 🤣🤣
 
Wanaacha kujadili kipondo wanacho kandwa, wanajadili upuuzi.
 
Hata Marehemu Lowasa Tuliaminishwa ana Mtoto wa Nje. Propaganda tu hizi
Binafsi nikisikiaga eti mwanaume anatuhumiwa kua na mtoto wa nje nashangaaga sana; halafu hizo tuhuma ziwe za mwana siasa; najiulizaga..., kwani tatizo hapo ni LIPI? Huyo sio kiongozi wa kidini, shida inakua wapi? Ile scandal ya Lowasa ilimalizwa na Fred Lowasa tu, wala baba yake hakujibu, dogo alitamka tu hivi, "sisi Wamasai kwetu watoto ni baraka, AJE nyumbani" story ikaishiaga hapo hapo
 
Ukraine kweli vita imeshamshinda,sasa putin akiwa na mtoto wa nje wao inawasaidia nn kwenye uwanja wa vita
 
Back
Top Bottom