Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Acha masimango 🤣🤣Hii nayo hàbari? Engongà anao mamia ya watoto kwenye familia za watu huko kwao!
Wengine humu mna watoto wengi tu huko kwa akina mama j wàla siyo habari, sasa huyu putin katoto kamoja tuu ni uzembe.