Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

Kituo nilichopigia mimi kulikua na mawakala wawili tu,
 
Ungewajibika kusimama katika haki, sasa unapiga kura halafu unakuja kulalama hapa kurq yako kule inapotea ingekua bora usipigige kura kabisa kwa sababu um3enda kuchagua maisha yale yale
 
Kukata tamaa ni dalili ya udhaifu.

Ikiwa Lissu akukata tamaa na kupambana kufikia hatua aliyofika wewe kutoowaona mawakala imekata tamaa?
 
Kura zote za Act zinaenda kwa mgombea wa Chadema.
 

Pole mkuu, kuwaunga mkono chadema ni sawa na kujiunga DECI. Viongozi wa CHADEMA ni wachumia tumbo, chama miaka28 hakina dira wala misingi imara... hapo walishasoma ramani wakaona heri watafune hiyo pesa ya mawakala hawa na hawana kura za kutosha.
Ila upande mwingine chadema wana wanachama wachache ila watiifu kama wewe ambao hawaamini chadema sio chama imara
 
Mimi nilipopigia mawakala wapo wa vyama vyote
Mimi pia nilipopiga kura walikuwepo mawakala wote...wakala wa mabeberu atashindwa mchana kweupee waache visingizio.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Safi maana hivyo ndivyo vitatuongezea kura kwa jpm +waliopita bila kupingwa 25+mambo yetu jpm oy eee .
 
😢
 
Wakurugenzi sehemu kubwa wameondoa majina ya mawakala wa Chadema jana usiku na kupachika majina wanayoyajua wao, jimbo la Kawe ni mfano mmojawapo.

Hawa wakurugenzi ingetafutwa namna washughulikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…