Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…


bombu kidume anapokwambia anakupenda jua fika anaamini utamtii na utii maana'ke ni unyenyekevu.....................kukutia hizo ni dalili za utii lakini siyo au mwanzo wa somo kueleweka............
 
Last edited by a moderator:
so hata akiwa walu walu unatakiwa unyenyekee tu,

marrykate huyo walu walu inaamanisha humtaki kwa hiyo kumtii itakuwa vigumu kabisa.....................lazim aumkubali na hapo ndiyo utamtii kwa kumnyenyekea.......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…