Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #201
Huwa nasikia siku ya kwanza kabisa mwanaume anapomtongoza binti(mwanamke), humwambia nakupenda. Sasa hapo kwenye utii na upendo kipi hutangulia?
Na je, mwanaume aweza kuridhika kutiiwa tu bila kupewa uchi?
Kwa mfano tumekutana bombu na rutashubyanyuma, ukaniomba namba ya simu nikakupa(utiii), ukaniomba tupate lunch pamoja nikakubali(utii), ukaniomba unisindikize nyumbani (utii), tulipofika nyumbani ukaniomba unikumbatie, nikasema NO! wewe ukasononeka, je hapo lengo lako ni UTII, au KUTIA(aka UCHI) ?
bombu kidume anapokwambia anakupenda jua fika anaamini utamtii na utii maana'ke ni unyenyekevu.....................kukutia hizo ni dalili za utii lakini siyo au mwanzo wa somo kueleweka............
Last edited by a moderator: