Kaunga ulivyobarikiwa na jana tu nikakuwekea kile kifungu ulichokihitaji cha Neno la Muumba na hata shukrani sikupewa..................siamaini kama huelewi au kama hutaki na hukubaliana na kumtii mumewe ili aweze kukupenda..........aone ya kuwa yeye unamkubali kuna ugumu gani khapo wa kuelewa?
Kaunga kama ingekua ni mtihani ina maana sie ndo tungefail?!maana naona wengine wameelewa..teh
Kaunga kama ingekua ni mtihani ina maana sie ndo tungefail?!maana naona wengine wameelewa..teh
Kweli sielewi, hivi sikushukuru eeh, nitarudi kushukuru kwenye Uzi husika!
Yaani ungeniambia mume anataka upendo kuliko uchi ningeelewa lakini UTII usio na mipaka sijui; au la kama una mipaka ni ipi hiyo. In other words niache kuwa Kaunga; niwe pseodokaunga aka robot.
the main thing ni main thingEdward Teller........what is the main thing beyond kupewa utii?
@Kwaiyembe hivi hakuna neno lingine linaloweza kuileza maana yako badala ya UTII, unajua Rutashubanyuma alikuja kishairi zaidi ndio maana akatafuta neno ninalosound kama UCHI.
Kutii ni kufuata kila utaratibu, maelekezo, na kila kitu. Sasa kwa binadamu mwenye utashi wake; hii ni next to impossible.
the main thing ni main thing
Ni kweli mkuu Rutashubanyuma, Submission of a woman is how to love a man, Ndivo tulivyoumbwa (We all need that). Na ndio maana chanzo kikubwa cha ndoa kuvunjika ni lack of that...
Kaunga.............ukimtii naye atakupenda ndivyo tulivyoumbwa na atakusiliza na kukuthamini..............Ndivyo maandiko matakatifu yanavyoelekeza.......mwanaumme ni mgumu kupenda mkewe ndiyo anashurutishwa kwenye maandiko matakatifu ampende mkewe: Love your wife and she must be submissive to you as to the LORD.
ungemtumia kabla hujamla, ingemake sense kidogo!RUTA: Huu ujumbe wa Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi! :whoo: nimemtumia kademu kangu kamoja maana yeye kamezoea kunichuna kwakua kinanipaga NDUDE yake na mimi nimeshamtumia huu ujumbe nakisubiri nione atanijibu nini halafu nitakuambia!
Halafu wadada wengi wameingia mitini, naona hii kitu ya UTII imekaa sivyo. Au wameamua kuwa watii kwa kukaa kimya?
Lyangalo..............la ajabu wanaohusika na hii mada akina dada wengi wao wameingia mitini....hawataki kuwa watii lakini wanataka wapendwe sasa haya yatawezekana wapi?
Rutashubanyuma, hiyo submissiveness ya kwenye bible ni ya chumbani; which can be very........... nyie hamjui tu. Lkn jikoni, kimaendeleo tunajadiliana na kufikia maamuzi ya pamoja!