Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Kaunga ulivyobarikiwa na jana tu nikakuwekea kile kifungu ulichokihitaji cha Neno la Muumba na hata shukrani sikupewa..................siamaini kama huelewi au kama hutaki na hukubaliana na kumtii mumewe ili aweze kukupenda..........aone ya kuwa yeye unamkubali kuna ugumu gani khapo wa kuelewa?

Kweli sielewi, hivi sikushukuru eeh, nitarudi kushukuru kwenye Uzi husika!

Yaani ungeniambia mume anataka upendo kuliko uchi ningeelewa lakini UTII usio na mipaka sijui; au la kama una mipaka ni ipi hiyo. In other words niache kuwa Kaunga; niwe pseodokaunga aka robot.
 
Last edited by a moderator:
Kaunga kama ingekua ni mtihani ina maana sie ndo tungefail?!maana naona wengine wameelewa..teh

[MENTION]Purple [/MENTION]siyo keli mbona Kyaiyembe kafafanua vizuri tu labda hukubaliani n akhoja zetu ilo ni jingine lakini kuwa hukuelewa siyo kweli.............usiwe kama Kaunga ambaye kama hakubaliani na hoja hudai hajaelewa ili kukwepa kuwajibika..........
 
Last edited by a moderator:
Kaunga kama ingekua ni mtihani ina maana sie ndo tungefail?!maana naona wengine wameelewa..teh

Purplesiyo kweli mbona Kyaiyembe kafafanua vizuri tu labda hukubaliani na khoja zetu ilo ni jingine lakini kuwa hukuelewa siyo kweli.............usiwe kama Kaunga ambaye kama hakubaliani na hoja hudai hajaelewa ili kukwepa kuwajibika..........
 
Last edited by a moderator:
@Kwaiyembe hivi hakuna neno lingine linaloweza kuileza maana yako badala ya UTII, unajua Rutashubanyuma alikuja kishairi zaidi ndio maana akatafuta neno ninalosound kama UCHI.

Kutii ni kufuata kila utaratibu, maelekezo, na kila kitu. Sasa kwa binadamu mwenye utashi wake; hii ni next to impossible.
 
Last edited by a moderator:
Kweli sielewi, hivi sikushukuru eeh, nitarudi kushukuru kwenye Uzi husika!

Yaani ungeniambia mume anataka upendo kuliko uchi ningeelewa lakini UTII usio na mipaka sijui; au la kama una mipaka ni ipi hiyo. In other words niache kuwa Kaunga; niwe pseodokaunga aka robot.

Kaunga.............ukimtii naye atakupenda ndivyo tulivyoumbwa na atakusiliza na kukuthamini...................Ndivyo maandiko matakatifu yanavyoelekeza...................mwanaumme ni mgumu kupenda mkewe ndiyo anashurutishwa kwenye maandiko matakatifu ampende mkewe: Love your wife and she must be submissive to you as to the LORD.
 
Last edited by a moderator:
@Kwaiyembe hivi hakuna neno lingine linaloweza kuileza maana yako badala ya UTII, unajua Rutashubanyuma alikuja kishairi zaidi ndio maana akatafuta neno ninalosound kama UCHI.

Kutii ni kufuata kila utaratibu, maelekezo, na kila kitu. Sasa kwa binadamu mwenye utashi wake; hii ni next to impossible.

Kaunga yaani mbona umenichoka hivyo tangia lini utii ukawa ni uchi?.....................kuna wachangiaji ndiyo wamebatiza maana hiyo mpya but not from me.............
 
Last edited by a moderator:
Kaunga.............ukimtii naye atakupenda ndivyo tulivyoumbwa na atakusiliza na kukuthamini..............Ndivyo maandiko matakatifu yanavyoelekeza.......mwanaumme ni mgumu kupenda mkewe ndiyo anashurutishwa kwenye maandiko matakatifu ampende mkewe: Love your wife and she must be submissive to you as to the LORD.

Rutashubanyuma, hiyo submissiveness ya kwenye bible ni ya chumbani; which can be very........... nyie hamjui tu. Lkn jikoni, kimaendeleo tunajadiliana na kufikia maamuzi ya pamoja!
 
Last edited by a moderator:
RUTA: Huu ujumbe wa Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi! :whoo: nimemtumia kademu kangu kamoja maana yeye kamezoea kunichuna kwakua kinanipaga NDUDE yake na mimi nimeshamtumia huu ujumbe nakisubiri nione atanijibu nini halafu nitakuambia!
ungemtumia kabla hujamla, ingemake sense kidogo!
 
Kaunga kama ingekua ni mtihani ina maana sie ndo tungefail?!maana naona wengine wameelewa..teh

Halafu wadada wengi wameingia mitini, naona hii kitu ya UTII imekaa sivyo. Au wameamua kuwa watii kwa kukaa kimya?
 
Last edited by a moderator:
Naungana nawe katika hili. Utii mwisho wa maneno katika mahusiano!

Kaunga na Purple acheni kujizungusha anzeni kuwatii waume zenu na halafu mtaona watakavyokuwa wakiwapenda.............Kudos Tutor B
 
Last edited by a moderator:
Halafu wadada wengi wameingia mitini, naona hii kitu ya UTII imekaa sivyo.

Kaunga...........sababu ni kuwa hawataki kuwa watii lakini wanapenda wapendwe jambo ambalo kamwe haliwezekani......bora mjisalimishe tu ili tuwapende.......LOL
 
Last edited by a moderator:
ungemtumia kabla hujamla, ingemake sense kidogo!

cacico...........uko sahihi bado ya kumtafuna mtoto wa watu sasa anamtumia sms ya kumpongeza au kumshushua..........
 
Last edited by a moderator:
Utii indeed! wa kila kitu................ hata hicho ulichosema tunadhani ndo kiu yenu
 
Halafu wadada wengi wameingia mitini, naona hii kitu ya UTII imekaa sivyo. Au wameamua kuwa watii kwa kukaa kimya?

Binti mtii atoke wapi ! Yote magumegume tu! tunayavumilia kwa kuwa ni binadamu wenzetu!
 
Lyangalo..............la ajabu wanaohusika na hii mada akina dada wengi wao wameingia mitini....hawataki kuwa watii lakini wanataka wapendwe sasa haya yatawezekana wapi?

mmh...how about kupendwa kuanze then utii ufauatie?.. I think its easy that way than the other way
 
Rutashubanyuma, hiyo submissiveness ya kwenye bible ni ya chumbani; which can be very........... nyie hamjui tu. Lkn jikoni, kimaendeleo tunajadiliana na kufikia maamuzi ya pamoja!

Ya chumbani mbona mbali sana huko kama sebuleni unamdharau kule chumbani si itakuwa mbaya sana? Amabako tena hakuna mashahidi. mtume paulo alikuwa wazi kabisa submission at all time na ndiyo maana hata aliwakataza wanawake wasiwe wanafundisha makanisani na ya kuwa kama wanawaliyoyaona wasubiri wakifika majumbani kwao wakawasimulie waumme zao.........1Timothy 2:11-15 na 1 Corinthians 14: 34-37
 
Back
Top Bottom