Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #161
Napenda lively home, not boring monarchy-like home filled with yes sir au ikiwekewa sukari kidogo yes dear kind of a home!
Sashel let it be natural and please don't flatter him for that is not submission it is a lie, and he will detect it and make sure you pay accordingly............to your anguish..........
Napenda lively home, not boring monarchy-like home filled with yes sir au ikiwekewa sukari kidogo yes dear kind of a home!
Ruta utii utakuja endapo upendo utatangulia lakini pande zote. Nakubaliana na wewe na pia nina huruma na wewe kama ni personal experience......nimekuelewaPakawa lazima umtii kwanza na hapo kuna uwezakano wa upendo.....utajitokeza na ndivyo Mungu alivyotuumba.......Am only sharing my personal experience as a man who has loved and knows how lack of a woman submission puts me off even though I may have found her quite adorable........ ........................utajaziliza mwenyewe
Rutashubanyuma, kwa maneno mengine; what u r trying to say ni kuwa wanaume ni kama watoto then hawana responsibility yoyote kwani kila wanachofanya ni reaction ya mwanamke? Na sisi tuyafnyayo ni reaction ya nani/nini?r women superbeing or what? Kama matatizo na mafanikio yote duniani yanakuwa trigered na mwanamke?
Sielewi!
Ruta utii utakuja endapo upendo utatangulia lakini pande zote. Nakubaliana na wewe na pia nina huruma na wewe kama ni personal experience......nimekuelewa
Kaunga usivunjike moyo kwani wote .........we are mere learners who will never graduate in the field of relationships.....it is tough not designed to be easy, at all................kikubwa play your part genuinely and you will reap the rewards............there are no fast rules only guidelines as we have explored some of them today..........
I totally agree with u that 'a woman must always bring some initiative to work' but this has got to do with how both of u presented urselves to each other from day one. Ni kweli mwanamke anaplay big role kwa hii ili iwe vile iwe......HAPPY MANPakawa..............there is no such thing as mutuality............or symbiotic association there......a woman must always bring some initiative to work...........lazima univute ndipo mengineyo hufuata.....personal experience are good than yapping theories...........
Unataka wenye akili timamu? Haya niambie wale ambao sio tu wanaakili timamu, ambao wametumia zaidi ya miaka 20 shuleni na sisi tunawaita wasomi tena wacha mungu wanapo zaa na wake za watu au masita wa kanisani, hawa nao shida yao nini?
(nazungumzia "mapadri").
Inamaana uwezo wako wa kujieleza uliishia hapo.Tiger mbona waulizia majibu tu?......kiu yao ni utii tu hawana shida nyingine kuhuzu viapo vyao vile vilikuwa kujihakikishia kipande cha mkate na "vijisenti" tu havina uhusiano na Muumba...............
Chukua hii kisha tafakari "A man who can not control him self 'SEXUALLY', can not be depended on any decision he may make"
Angalia sana hilo neno kwenye capitals ni pana zaidi ya lilivyozoeleka
Tiger........hapo umepata jackpot.....................bila ya zengwe.
Una maana gani? Hebu fafanua.
Umequote nusu nusu nimesema kiakili na kiafya,
Kukaa mda mrefu masomoni kwaweza onyesha una akili lakini kiafya je? huyu mtu anaweza kuwa na tatizo kisiklojia linmpelekea kufanya hivyo. Maana sio wote katika kundi ulilotaja wanafanya hivyo! na wengine wanafanya lakini kwa kupata utii wa wenzao sio kwa kubaka tu.
-Mifano unayo wanazaa na wana watoto wengi tu mitaani tofauti na kesi za kubakwa zilizolipotiwa, hivyo huwa kuna utii kati yao na wanaozaa nao!.
Sashel.........ukijaribu kuonekana unahoji nafasi yake kama kiongozi wa familia..............ana sababu ya kuanza kukugeuzia kibao................tatizo ni kuwa he feels insecure and he needs to remind you who is incharge..........
Rutashubanyuma, kwa maneno mengine; what u r trying to say ni kuwa wanaume ni kama watoto then hawana responsibility yoyote kwani kila wanachofanya ni reaction ya mwanamke? Na sisi tuyafnyayo ni reaction ya nani/nini?r women superbeing or what? Kama matatizo na mafanikio yote duniani yanakuwa trigered na mwanamke?
Sielewi!
[MENTION]If Rutashubanyuma happy with kutiiwa let him be, go for LOVE, CARE n RESPECT kwani hivyo ndivyo kila kitu!
Mabinti wengi hutafakari kiu ya kidume ni nini haswa?
Wakitaka kufumbua kitendawili cha kiu bila ya majibu!
Wengi hugharimia mengi lakini majibu huwa haba .
Wengi hufikiria kiu ya kidume ni kuuchimbua utupu wao!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.
Kiu ya binti siyo kificho kwani hadharani huimwaga!
Akikutupia jicho la mahaba huhitaji kujiuliza ataka nini!
Akikuongelesha wajua sauti yake mwororo ina jambo!
Hata kama umejificha atakutoa pangoni na pendo lake!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.
Mwanaumme kueleweka siyo rahisi hata chembe.
Kwani rekodi yake huwa ni kizungumkuti kabisa.
Rekodi yake humsuta kama mpita njia asiye masikani.
Mabinti kuchukua tahadhari majanga yasije kuwadhuru.
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.
Kijuujuu utafikiri kiu ya kidume ni uchi!
Lakini ukizama hiyo ni dalili ya kiu yake!
Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi!
Binti hudhani uchi ndiyo wenyewe kumbe la!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.