Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #161
Napenda lively home, not boring monarchy-like home filled with yes sir au ikiwekewa sukari kidogo yes dear kind of a home!
kama kweli Kaunga........wapenda lively home kasome polepole Genesisi chapter 1-3 particularly verse 3:16....................itafakari then you will know hakuna njia ya mkato.......................hivi unafikiri kwanini mahusiano yanapwaya sana ni kwasababu ya kushindana na mfume dume ambao ndiyo Mungu aliupanga na waswahili husema ...fahali wawili hawakai zizi moja.
Last edited by a moderator: