Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 1,000
Umeeleza Kwa hisia sana mkuuWanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua kichwa ngumu muda unaenda kasi sana utajionea.
Imefikia sasa polisi hata kuona mtu aliyevaa T-Shirt ya nembo ya CHADEMA anaonekana mbaya sana. Yalikua hivi hivi kwa CUF ya enzi hizo. Polisi wanawazuia CHADEMA sasa kufanya mikutano ya ndani wakati CCM wanafanya, hawawataki kuona wakifanya Joging wakiwa wamevaa T-shirts zenye nembo za chama wakati CCM wao wanavaa.
Kimsingi iko siku polisi wanayoyafanya watakuja kuyajutia wenyewe, wanaacha PGO wanajitungia sheria zao kwa sababu tu wao ni polisi. Wanaogopa chama chenye wanachama milion 7 kasoro, watawakamata hadi lini?
Kwa haki kabisa Polisi wakae pembeni, wakurugenzi wakae pembeni halafu waache uchaguzi ufanyike ukiwa huru na wa haki tuone CCM itapata viti vingapi.CCM wanawatumia sana polisi lakini wakumbuke kua kuzuia haki hua ni ngumu.
POLISI mnachokifanya kwa Chadema kina Mwisho wakeWanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua kichwa ngumu muda unaenda kasi sana utajionea.
Imefikia sasa polisi hata kuona mtu aliyevaa T-Shirt ya nembo ya CHADEMA anaonekana mbaya sana. Yalikua hivi hivi kwa CUF ya enzi hizo. Polisi wanawazuia CHADEMA sasa kufanya mikutano ya ndani wakati CCM wanafanya, hawawataki kuona wakifanya Joging wakiwa wamevaa T-shirts zenye nembo za chama wakati CCM wao wanavaa.
Kimsingi iko siku polisi wanayoyafanya watakuja kuyajutia wenyewe, wanaacha PGO wanajitungia sheria zao kwa sababu tu wao ni polisi. Wanaogopa chama chenye wanachama milion 7 kasoro, watawakamata hadi lini?
Kwa haki kabisa Polisi wakae pembeni, wakurugenzi wakae pembeni halafu waache uchaguzi ufanyike ukiwa huru na wa haki tuone CCM itapata viti vingapi.CCM wanawatumia sana polisi lakini wakumbuke kua kuzuia haki hua ni ngumu.
Kwahiyo unashaur wavamie gereza wamtoe Mbowe? Pamoja na kuonewa unashaur waanzishe revenge? Toa suluhisho ambalo c la kuvunja sheriaChadema sasa hivi hamtoboi mshapoteza ladha, mmebaki kupiga makelele kwenye mitandao. Suala la katiba mpya limeishia wapi???
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia
hoja nzuri sana hii mkuu!! akikujibu nitag hapa!! kuna muda unawaza hivi watu wengine wanawaza kwa kutumia nini???Kwahiyo unashaur wavamie gereza wamtoe Mbowe? Pamoja na kuonewa unashaur waanzishe revenge? Toa suluhisho ambalo c la kuvunja sheria
Kama wanajiamini waendeleze mapambano. Ukisema wavamie Gereza huu ni ujinga ina maana hawawezi bila mboweKwahiyo unashaur wavamie gereza wamtoe Mbowe? Pamoja na kuonewa unashaur waanzishe revenge? Toa suluhisho ambalo c la kuvunja sheria
Nimeshajibuhoja nzuri sana hii mkuu!! akikujibu nitag hapa!! kuna muda unawaza hivi watu wengine wanawaza kwa kutumia nini???
Una masikio yanayojifurahisha kila siku kuna shughuli ya katiba mpya vijana bavicha wenye jukumu la katiba. Npya wapo kahana leo polisi wananenguwa viuono na wanawake ndio kudai katiba kwenyewe sasa hivi ccm ni polisi wacha wapambane na chadema maana ccm wameshakufaChadema sasa hivi hamtoboi mshapoteza ladha, mmebaki kupiga makelele kwenye mitandao. Suala la katiba mpya limeishia wapi???
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia.
Chadema ni ile ya Akina lowasa na dr slaa
Jibu lake bado halikidhi maswali yang!hoja nzuri sana hii mkuu!! akikujibu nitag hapa!! kuna muda unawaza hivi watu wengine wanawaza kwa kutumia nini???
Wala siyo mbaliPOLISI mnachokifanya kwa Chadema kina Mwisho wake
Yaani mchukue nchi kupitia chama cha kikabila, polisi lazima wawashughulikie maana hamna nia njema na amani ya nchiWanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua kichwa ngumu muda unaenda kasi sana utajionea.
Imefikia sasa polisi hata kuona mtu aliyevaa T-Shirt ya nembo ya CHADEMA anaonekana mbaya sana. Yalikua hivi hivi kwa CUF ya enzi hizo. Polisi wanawazuia CHADEMA sasa kufanya mikutano ya ndani wakati CCM wanafanya, hawawataki kuona wakifanya Joging wakiwa wamevaa T-shirts zenye nembo za chama wakati CCM wao wanavaa.
Kimsingi iko siku polisi wanayoyafanya watakuja kuyajutia wenyewe, wanaacha PGO wanajitungia sheria zao kwa sababu tu wao ni polisi. Wanaogopa chama chenye wanachama milion 7 kasoro, watawakamata hadi lini?
Kwa haki kabisa Polisi wakae pembeni, wakurugenzi wakae pembeni halafu waache uchaguzi ufanyike ukiwa huru na wa haki tuone CCM itapata viti vingapi.CCM wanawatumia sana polisi lakini wakumbuke kua kuzuia haki hua ni ngumu.
Umeusema ukweli woteWanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua kichwa ngumu muda unaenda kasi sana utajionea.
Imefikia sasa polisi hata kuona mtu aliyevaa T-Shirt ya nembo ya CHADEMA anaonekana mbaya sana. Yalikua hivi hivi kwa CUF ya enzi hizo. Polisi wanawazuia CHADEMA sasa kufanya mikutano ya ndani wakati CCM wanafanya, hawawataki kuona wakifanya Joging wakiwa wamevaa T-shirts zenye nembo za chama wakati CCM wao wanavaa.
Kimsingi iko siku polisi wanayoyafanya watakuja kuyajutia wenyewe, wanaacha PGO wanajitungia sheria zao kwa sababu tu wao ni polisi. Wanaogopa chama chenye wanachama milion 7 kasoro, watawakamata hadi lini?
Kwa haki kabisa Polisi wakae pembeni, wakurugenzi wakae pembeni halafu waache uchaguzi ufanyike ukiwa huru na wa haki tuone CCM itapata viti vingapi.CCM wanawatumia sana polisi lakini wakumbuke kua kuzuia haki hua ni ngumu.
π π πHawajiamini sijui wameambiwa watafukuzwa baada ya chadema kuchukua nchi