Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

[emoji28][emoji28][emoji28]
usicheke haya Mambo hayapendezeshi kitaa ,iposiku itatokea patashika ...Kama mtu haijui pGO ulimwajilije inawezekana wameshawambia watasitaafishwa kinguvu hivyo wachague kustafishwa kinguvu au kwahiyari

Siunajua Hawa skonga kwao njia zima zilikua na ukungu kwawiki walifika drsn maramoja kwawiki na bongozao zikasinyaa kutokana na ukungu
 
Chadema sasa hivi hamtoboi mshapoteza ladha, mmebaki kupiga makelele kwenye mitandao. Suala la katiba mpya limeishia wapi???
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia.
Chadema ni ile ya Akina lowasa na dr slaa
Hawakutoboi tundu lipi hebu funguka mama pipi kijiti...
 
Kama wanajiamini waendeleze mapambano. Ukisema wavamie Gereza huu ni ujinga ina maana hawawezi bila mbowe
Waendeleze mapambano wewe uko juu ya stuli na pipi kijiti, ila sheria kandamizi zikiondolewa na wewe unafaidika. Vp umewachangia hata Jero akina Kibatala??
 
CUF hawajawai kupitia hata nusu ya wanayopitia CDM!
Kuhusu kuitoa ccm madarakani labda JWTZ liamue kuwa upande wa CDM!
Vinginevyo wananchi wengi bado hawajui kuwa hawajui...
 
Itakua kosa kulaumu jeshi la polisi.
Polisccm wanapokea amri.
 
Kwahiyo unashaur wavamie gereza wamtoe Mbowe? Pamoja na kuonewa unashaur waanzishe revenge? Toa suluhisho ambalo c la kuvunja sheria
Waendelee na harakati zao za kile wanachokiamini, wafanye shughuli zao za kisiasa kama zilivyoelekezwa na sheria zilizopo kwa sasa! Mtu yeyote akiwazuia waende mahakamani wakafungue kesi!
 
CUF hawajawai kupitia hata nusu ya wanayopitia CDM!
Kuhusu kuitoa ccm madarakani labda JWTZ liamue kuwa upande wa CDM!
Vinginevyo wananchi wengi bado hawajui kuwa hawajui...
Kama Maalim tu aligoma kuwa upande wa CDM akatimkia ACT ndiyo iwe JWTZ? Tatizo la CDM na uongozi wao hawaaminiki, muda wowote wanabadili gia angani! Sijui hata kama wewe unajua chama chako kinasimamia nini kwa sasa
 
Chadema sasa hivi hamtoboi mshapoteza ladha, mmebaki kupiga makelele kwenye mitandao. Suala la katiba mpya limeishia wapi???
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia.
Chadema ni ile ya Akina lowasa na dr slaa
Unaongea kwa tundu la makalio.
 
Una shahada ya ujinga
 
Waendelee na harakati zao za kile wanachokiamini, wafanye shughuli zao za kisiasa kama zilivyoelekezwa na sheria zilizopo kwa sasa! Mtu yeyote akiwazuia waende mahakamani wakafungue kesi!
Wakienda mahakamani, wanaambiwa wanapenda kesi, harakati zao wanaendelea nazo ingawa zinazuiwa na haya yote unayajua. Wakiwekwa sero oooh CDM wanaleta vurugu ili waonekane wanaonewa.
 
Chadema sasa hivi hamtoboi mshapoteza ladha, mmebaki kupiga makelele kwenye mitandao. Suala la katiba mpya limeishia wapi???
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia.
Chadema ni ile ya Akina lowasa na dr slaa
Unaelimu gani???
Umri wako?
 
Wakienda mahakamani, wanaambiwa wanapenda kesi, harakati zao wanaendelea nazo ingawa zinazuiwa na haya yote unayajua. Wakiwekwa sero oooh CDM wanaleta vurugu ili waonekane wanaonewa.
Mahakama ndiyo suluhisho ya hekaheka zote wanazofanyiwa!! Ishu ya wabunge wa Covid, mikutano ya ndani na hadhara kuzuiwa, maandamano pamoja na makongamano kuzuiwa, Inashangaza mpaka sasa why CDM hawajawahi/hawaendi mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria kuhusu hizi ishu wakati wana wanasheria mahiri sana tu. Mbona Mtikila alikuwa anapambana na serikali peke yake mahakamani? Wanashindwa nini CDM wenye support kubwa tu ya watu nyuma yao?
 
Waendeleze mapambano wewe uko juu ya stuli na pipi kijiti, ila sheria kandamizi zikiondolewa na wewe unafaidika. Vp umewachangia hata Jero akina Kibatala??
Mnamilion 350 hamjasema zimekwenda wapi
 
Unaongea kwa tundu la makalio.
Kwanza tunawashangaa sana, kama mkifanikiwa narudia KAMA mkifanikiwa kuingia madarakani mtatumia jeshi lipi zaidi ya hili hili mnalolitukana? Au CHADEMA mnajeshi nyie
 
Back
Top Bottom