Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

Kama Maalim tu aligoma kuwa upande wa CDM akatimkia ACT ndiyo iwe JWTZ? Tatizo la CDM na uongozi wao hawaaminiki, muda wowote wanabadili gia angani! Sijui hata kama wewe unajua chama chako kinasimamia nini kwa sasa
Kinasimamia yale ambayo ccm hawasimamii!!
 
Kwanza tunawashangaa sana, kama mkifanikiwa narudia KAMA mkifanikiwa kuingia madarakani mtatumia jeshi lipi zaidi ya hili hili mnalolitukana? Au CHADEMA mnajeshi nyie
Shahada ya ujinga katika ubora wake. Jeshi ni taasisi ni swala la kubadilisha uongozi tu, na viongozi ni tone tu kati ya wanajeshi wote. Na kama hujui asilimia kubwa ya wanajeshi wote hawakubaliani na mambo ya hovyo yanayofanywa na mapoliccm, isipokuwa ni kwa vile ndani ya jeshi amri ni moja tu na hakunaga mjadala. Jifunze kule Zambia kwa Hichilema ilikuwaje.
 
Mimi ma wewe nani mjinga? Kwa comment yako hii Sasa hapa umebadilisha jeshi au uongozi? Jeshi ni lile lile na askari ni wale wale.
Fikiria tena
 
Back
Top Bottom