kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
usicheke haya Mambo hayapendezeshi kitaa ,iposiku itatokea patashika ...Kama mtu haijui pGO ulimwajilije inawezekana wameshawambia watasitaafishwa kinguvu hivyo wachague kustafishwa kinguvu au kwahiyari[emoji28][emoji28][emoji28]
Chadema ya sasa ni kagenge ka wahuni fulani tu wenye interest zao binafsi na hawana maslahi mapana ya umoja na usalama wa taifa letu.CCM ni genge la wanyonyaji
Hawakutoboi tundu lipi hebu funguka mama pipi kijiti...Chadema sasa hivi hamtoboi mshapoteza ladha, mmebaki kupiga makelele kwenye mitandao. Suala la katiba mpya limeishia wapi???
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia.
Chadema ni ile ya Akina lowasa na dr slaa
Waendeleze mapambano wewe uko juu ya stuli na pipi kijiti, ila sheria kandamizi zikiondolewa na wewe unafaidika. Vp umewachangia hata Jero akina Kibatala??Kama wanajiamini waendeleze mapambano. Ukisema wavamie Gereza huu ni ujinga ina maana hawawezi bila mbowe
Waendelee na harakati zao za kile wanachokiamini, wafanye shughuli zao za kisiasa kama zilivyoelekezwa na sheria zilizopo kwa sasa! Mtu yeyote akiwazuia waende mahakamani wakafungue kesi!Kwahiyo unashaur wavamie gereza wamtoe Mbowe? Pamoja na kuonewa unashaur waanzishe revenge? Toa suluhisho ambalo c la kuvunja sheria
Kama Maalim tu aligoma kuwa upande wa CDM akatimkia ACT ndiyo iwe JWTZ? Tatizo la CDM na uongozi wao hawaaminiki, muda wowote wanabadili gia angani! Sijui hata kama wewe unajua chama chako kinasimamia nini kwa sasaCUF hawajawai kupitia hata nusu ya wanayopitia CDM!
Kuhusu kuitoa ccm madarakani labda JWTZ liamue kuwa upande wa CDM!
Vinginevyo wananchi wengi bado hawajui kuwa hawajui...
Unaongea kwa tundu la makalio.Chadema sasa hivi hamtoboi mshapoteza ladha, mmebaki kupiga makelele kwenye mitandao. Suala la katiba mpya limeishia wapi???
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia.
Chadema ni ile ya Akina lowasa na dr slaa
Una shahada ya ujingaChadema sasa hivi hamtoboi mshapoteza ladha, mmebaki kupiga makelele kwenye mitandao. Suala la katiba mpya limeishia wapi???
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia.
Chadema ni ile ya Akina lowasa na dr slaa
Wakienda mahakamani, wanaambiwa wanapenda kesi, harakati zao wanaendelea nazo ingawa zinazuiwa na haya yote unayajua. Wakiwekwa sero oooh CDM wanaleta vurugu ili waonekane wanaonewa.Waendelee na harakati zao za kile wanachokiamini, wafanye shughuli zao za kisiasa kama zilivyoelekezwa na sheria zilizopo kwa sasa! Mtu yeyote akiwazuia waende mahakamani wakafungue kesi!
Unaelimu gani???Chadema sasa hivi hamtoboi mshapoteza ladha, mmebaki kupiga makelele kwenye mitandao. Suala la katiba mpya limeishia wapi???
Wapinzani nchi nyingine waliongoza mapambano hata wakiwa jela, nyie mbowe yupo mahabusu mmefyata mkia.
Chadema ni ile ya Akina lowasa na dr slaa
Sawa kabisaNadhani imefikia hatua Chadema waache siasa za kawaida. RIP Hamza ulifanya Jambo jema sana
Mahakama ndiyo suluhisho ya hekaheka zote wanazofanyiwa!! Ishu ya wabunge wa Covid, mikutano ya ndani na hadhara kuzuiwa, maandamano pamoja na makongamano kuzuiwa, Inashangaza mpaka sasa why CDM hawajawahi/hawaendi mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria kuhusu hizi ishu wakati wana wanasheria mahiri sana tu. Mbona Mtikila alikuwa anapambana na serikali peke yake mahakamani? Wanashindwa nini CDM wenye support kubwa tu ya watu nyuma yao?Wakienda mahakamani, wanaambiwa wanapenda kesi, harakati zao wanaendelea nazo ingawa zinazuiwa na haya yote unayajua. Wakiwekwa sero oooh CDM wanaleta vurugu ili waonekane wanaonewa.
Hizi ndizo akili zenu, tukiwapa nchi mtaiweza kweli?Hawakutoboi tundu lipi hebu funguka mama pipi kijiti...
Mnamilion 350 hamjasema zimekwenda wapiWaendeleze mapambano wewe uko juu ya stuli na pipi kijiti, ila sheria kandamizi zikiondolewa na wewe unafaidika. Vp umewachangia hata Jero akina Kibatala??
Kwanza tunawashangaa sana, kama mkifanikiwa narudia KAMA mkifanikiwa kuingia madarakani mtatumia jeshi lipi zaidi ya hili hili mnalolitukana? Au CHADEMA mnajeshi nyieUnaongea kwa tundu la makalio.
Na wewe ndio mwalimu wanguUna shahada ya ujinga