Kiufupi vijana tufanye kazi na tumuombe Mungu hakuna Mwanasiasa was kubadilisha Maisha yetu ni Juhudi zetu na Mungu tu.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu .

Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka

Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu

they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections.

Binafsi I'm not ready kupoteza Muda wangu kumuunga Mkono. Mwanasiasa wa Tz .

Wao Ni mwendo wa cheers

Vijana tufanye Kazi hakuna pesa za bure hasa nyie Uvccm mnaokaa kutukana watu mitandaoni na Elimu zenu za Chekechea huku mkitegemea Huruma ya Mama Fahamu siku zenu za majuto ziko njiani.
 
Umechelewa Sana kuwa na utambuzi.muda ni Sasa wa kujiwekezea viwanja,maduka mbalimbali ya biashara za mitaji ya kawaida kwa uwezo ulionao, kupunguza matumizi ya anasa yasiyo na faida,kulima mashamba na kufuga maana uchumi wetu 70% iko kwenye biashara ya mazao
Ova
 
Hakika Mkuu well said🙏
 
Sisi wengine tumeshajikwamua na utumwa huo wa kifikra tunawaombea na wengine pia wafanye hivyo.

Tukiwa wengi hao wanasiasa hawatatuendesha kama magari mabovu.

Watakua wanatutumikia sisi wananchi na sio sisi kuwatumikia wao.
 
Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu .

Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka

Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu

they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections.

Binafsi I'm not ready kupoteza Muda wangu kumuunga Mkono. Mwanasiasa wa Tz .

Wao Ni mwendo wa cheers

Vijana tufanye Kazi hakuna pesa za bure hasa nyie Uvccm mnaokaa kutukana watu mitandaoni na Elimu zenu za Chekechea huku mkitegemea Huruma ya Mama Fahamu siku zenu za majuto ziko njiani.

CCM wao hawana jinsi lazima wafanye uhuni ili kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti kwani wameshapoteza ushawishi kwa umma. Hawa wapinzani wanaoenda kwenye miafaka baada ya kufanyiwa uhuni, kisha wachache wao kupata ulaji ndio tunawashagaa. Katika mazingira hayo mtu ndio atanishawishi
nikapige kura, hayo hayawezekani.

Mtu anasema anataka siasa za kistaarabu baada ya kupata madaraka kinyume na utaratibu, yaani ustaarabu usifanye ww baada ya kupora haki yako, ili mradi yeye yupo kwenye ulaji hivyo we uliyeporwa uchaguzi ndio uonyeshe ustaarabu wa kumwacha atawale kwa amani! Wakati huohuo kuna wafuasi wako wamefungwa, wameachwa na vilema vya maisha na hakuna fidia yoyote. Kisha viongozi wanakutana na kupeana maisha kwa gharama za jasho na damu ya wafuasi wao.
 
Sisi wengine tumeshajikwamua na utumwa huo wa kifikra tunawaombea na wengine pia wafanye hivyo.

Tukiwa wengi hao wanasiasa hawatatuendesha kama magari mabovu.

Watakua wanatutumikia sisi wananchi na sio sisi kuwatumikia wao.

Wakati Magufuli anafanyizia asiwapenda unyama uliona sawa, ila sasa hayupo, na wewe haupo kwenye ulaji ndio unasema umejitambua!
 
Sasa unamuambia Nani pambana.

Wewe si kwenye Uzi WA MTU anaiba mafuta umesema tuwaache watu waibe. Basi na wewe pambana na Hali yako walaumu wazazi wako kuwa masikini.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wanasiasa ndio wanaoamua;
1.Ulipe kodi kiasi gani,
2.Upite barabara ya vumbi au lami
3.Uuze/ununue bidhaa gani nje ya nchi
4. Watoto wako wapate elimu ya aina gani
5.Usumbuliwe/usisumbuliwe na panya road

Back
Top Bottom