DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hakika Mkuu well said🙏Umechelewa Sana kuwa na utambuzi.muda ni Sasa wa kujiwekezea viwanja,maduka mbalimbali ya biashara za mitaji ya kawaida kwa uwezo ulionao, kupunguza matumizi ya anasa yasiyo na faida,kulima mashamba na kufuga maana uchumi wetu 70% iko kwenye biashara ya mazao
Ova
Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu .
Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka
Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu
they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections.
Binafsi I'm not ready kupoteza Muda wangu kumuunga Mkono. Mwanasiasa wa Tz .
Wao Ni mwendo wa cheers
Vijana tufanye Kazi hakuna pesa za bure hasa nyie Uvccm mnaokaa kutukana watu mitandaoni na Elimu zenu za Chekechea huku mkitegemea Huruma ya Mama Fahamu siku zenu za majuto ziko njiani.
Sisi wengine tumeshajikwamua na utumwa huo wa kifikra tunawaombea na wengine pia wafanye hivyo.
Tukiwa wengi hao wanasiasa hawatatuendesha kama magari mabovu.
Watakua wanatutumikia sisi wananchi na sio sisi kuwatumikia wao.