Kiufupi Yanga hawana kocha, ligi ya mabingwa makundi itapata aibu

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,689
Reaction score
5,497
Kocha hajui kufanya tactical switch inapotokea dharura uwanjani. Kocha hajui kuusoma mchezo na kwenda na plan inayoendana na mwenendo wa mechi. Kocha hajui namna ya kufanya sub, yeye anaamini mchezaji yeyote wa Yanga akipewa nafasi atafanya kazi badala ya kujua mchezo unamuitaji mtu wa namna gani sijui hawa watoto anaowaingizaga kipindi cha pili huwa anawaza nini kocha.

Hauna Abuya na Ngoma inafahamika sio mzuri kwenye kukaba lakini unamtoa na Mudathir kabisa halafu unataka matokeo positive. Muda bado upo wa kufanya maamuzi sahihi ya kumleta kocha wa maana kabla ligi haijaenda mbali na mechi za kimataifa haijafika hatua ngumu zaidi.

Ila kwa kocha huyu, Yanga itadondosha sana point viwanja vya mikoani. Na klabu bingwa itapata aibu. Miloud na Gamond walikuwa wanaweza kuusoma mchezo na kuziba mianya ya mapungufu ya timu kwa kuunganisha nguvu ya silaha alizonazo ila huyu bwege baada ya kuunganisha nguvu anaipunguzia nguvu timu.
 
Kocha hajui kufanya tactical switch inapotokea dharura uwanjani. Kocha hajui kuusoma mchezo na kwenda na plan inayoendana na mwenendo wa mechi. Kocha hajui namna ya kufanya sub, yeye anaamini mchezo yeyote wa Yanga akipewa nafasi atafanya kazi badala ya kujua mchezo unamuitaji mtu wa namna gani sijui hawa watoto anaowaingizaga kipindi cha pili huwa anawaza nini kocha.

Naunga mkono hoja
 
Wewe ungekuwa kocha kwa wale wachezaji waliopo bench nani angeingia ku save timu!

Kocha si mjinga kumtumia max na Abuya hata mechi za ubwabwa, wachezaji wamesajiliwa kwa misifa bila kuzingatia balance ya timu...na asilimia kubwa viwango vyao vinatia shaka kufananisha na Simba au Azam
nna wasiwasi hata Ibenge atapiga kwenye mshono!
 
Hauna Abuya na Ngoma inafahamika sio mzuri kwenye kukaba lakini unamtoa na Mudathir kabisa halafu unataka matokeo positive.
Shida ilianzia hapa.nilishangaa alimtoa muda na ikiwa ngoma hawezi mpira wa nguvu

Hata goli la pili ni ujinga wake pale anapanda sana

Kocha wetu hawezi kusoma game vizuri
 
Wewe ungekuwa kocha kwa wale wachezaji waliopo bench nani angeingia ku save timu!

Kocha si mjinga kumtumia max na Abuya hata mechi za ubwabwa, wachezaji wamesajiliwa kwa misifa bila kuzingatia balance ya timu...na asilimia kubwa viwango vyao vinatia shaka kufananisha na Simba au Azam
nna wasiwasi hata Ibenge atapiga kwenye mshono!
Yanga imejengwa na viungo watatu ambao ni Mudathiri, Abuya na Maxi. Tayari Abuya ameshaumia ukamuingiza Ngoma ambaye sio mzuri kwenye kukaba, kipindi cha kwanza imeonekana kabisa Simba wanakuja kama nyuki, kipindi cha pili kocha anamalizia kabisa kuimaliza timu kwa kumtoa Mudathir je Maxi apate backup ya ukabaji kwa kiungo yupi?

Hili kosa karudia tena mara ya pili baada ya mechi ya Geita Gold, Aziz Ki kupata kadi nyekundu na timu kuwa pungufu akashindwa kufanya balance ya timu. Na leo kashindwa kufanya balancing ya timu baada ya kuumia Abuya akazidi kuipunguza nguvu zaidi. Hajui kuusoma mchezo na kutumia wachezaji sahihi kuweka timu katika balance.
 
Kwanza tukumbushane kitu kimoja, Simba imefanya usajili dirisha hili lakini kwa asilimia zaidi ya 95 wachezaji wanaotumiwa ni wa msimu ulioisha (fact number moja ni kwamba timu zote mbili hazikufanya vizuri kwenye usajili msimu huu) vile vile kwa Yanga, wachezaji muhimu wa msimu ulioisha wamebakisha na hao hao wachezaji ndio walioifanya Simba kuwa mnyonge kwa kushindwa kupata ushindi (fact number 2, mechi imeamuliwa na mabenchi ya ufundi)

kocha mzuri ni yule anayejua strength na weakness za kila mchezaji kisha anatengeneza mazingira ya kuunganishnguvu ya pamoja. Huyu anaingiza ingiza tu mchezaji badala ya kuunganisha yeye anavunja kabisa. Ovyo kabisa huyu
 
Yanga imejengwa na viungo watatu ambao ni Mudathiri, Abuya na Maxi. Tayari Abuya ameshaumia ukamuingiza Ngoma ambaye sio mzuri kwenye kukaba, kipindi cha kwanza imeonekana kabisa Simba wanakuja kama nyuki, kipindi cha pili kocha anamalizia kabisa kuimaliza timu kwa kumtoa Mudathir je Maxi apate backup ya ukabaji kwa kiungo yupi?

Hili kosa karudia tena mara ya pili baada ya mechi ya Geita Gold, Aziz Ki kupata kadi nyekundu na timu kuwa pungufu akashindwa kufanya balance ya timu. Na leo kashindwa kufanya balancing ya timu baada ya kuumia Abuya akazidi kuipunguza nguvu zaidi. Hajui kuusoma mchezo na kutumia wachezaji sahihi kuweka timu katika balance.
Mkuu alipitoka abuya angeingia nani ?? Maana benchi kulikuwa na casemiro na ngoma ndio middle zilizokuwepo
 
Maelezo mengi lakini hujajibu swali msingi uliloulizwa. Wewe ndio ungekua kocha ungefanya nini?? Jibu swali hilo kwanza.
 
Kocha hajui kufanya tactical switch inapotokea dharura uwanjani. Kocha hajui kuusoma mchezo na kwenda na plan inayoendana na mwenendo wa mechi. Kocha hajui namna ya kufanya sub, yeye anaamini mchezaji yeyote wa Yanga akipewa nafasi atafanya kazi badala ya kujua mchezo unamuitaji mtu wa namna gani sijui hawa watoto anaowaingizaga kipindi cha pili huwa anawaza nini kocha.

Hauna Abuya na Ngoma inafahamika sio mzuri kwenye kukaba lakini unamtoa na Mudathir kabisa halafu unataka matokeo positive. Muda bado upo wa kufanya maamuzi sahihi ya kumleta kocha wa maana kabla ligi haijaenda mbali na mechi za kimataifa haijafika hatua ngumu zaidi.

Ila kwa kocha huyu, Yanga itadondosha sana point viwanja vya mikoani. Na klabu bingwa itapata aibu. Miloud na Gamond walikuwa wanaweza kuusoma mchezo na kuziba mianya ya mapungufu ya timu kwa kuunganisha nguvu ya silaha alizonazo ila huyu bwege baada ya kuunganisha nguvu anaipunguzia nguvu timu.
Naunga mkono hoja, sikumbuki kuiona Yanga ikiteseka kama leo. Tatizo silioni kama ni wachezaji ila mbinu za mwalimu. Yanga wasifanya maamuzi huyu kocha huenda hata mzunguko wa pili club bingwa Yanga anaweza kutoka.
 
Maelezo mengi lakini hujajibu swali msingi uliloulizwa. Wewe ndio ungekua kocha ungefanya nini?? Jibu swali hilo kwanza.
Nimejibu kuwa Mudathir hakupaswa kutoka. Au umesoma na uelewi?
 
Hiyo nilielewa. Nilifikiri utaelezea na sub nyingine alizofanya pia. Kwahiyo tatizo ni Mudathir tu ila kwingine kafanya fresh sio?
 
Mkuu alipitoka abuya angeingia nani ?? Maana benchi kulikuwa na casemiro na ngoma ndio middle zilizokuwepo
Kilichofanyika na kocha kimpira ni sawa vile mtu avunjike mguu mmoja halafu ukaona bora utumie gongo ili atembee, halafu baadae unaamua kumvunja na mguu mwingine uliobakia. Kuingia kwa Ngoma sio shida ila shida ni pale alipoamua kumtoa na Mudathir wakati hakuna kiungo anayeweza kukaba zaidi ya Maxi.
 
Hiyo nilielewa. Nilifikiri utaelezea na sub nyingine alizofanya pia. Kwahiyo tatizo ni Mudathir tu ila kwingine kafanya fresh sio?
Angefanya fresh asingepoteza mechi, kupoteza mechi ni matokeo ya kushindwa kuchanga karata vizuri ilihali unaongoza.
 
Wewe ungekuwa kocha kwa wale wachezaji waliopo bench nani angeingia ku save timu!

Kocha si mjinga kumtumia max na Abuya hata mechi za ubwabwa, wachezaji wamesajiliwa kwa misifa bila kuzingatia balance ya timu...na asilimia kubwa viwango vyao vinatia shaka kufananisha na Simba au Azam
nna wasiwasi hata Ibenge atapiga kwenye mshono!
Unajua football.! Lawama kwa kocha, ila timu haina machaguo mengi ya wachezaji.
 
Naunga mkono hoja, sikumbuki kuiona Yanga ikiteseka kama leo. Tatizo silioni kama ni wachezaji ila mbinu za mwalimu. Yanga wasifanya maamuzi huyu kocha huenda hata mzunguko wa pili club bingwa Yanga anaweza kutoka.
Siku yanga amecheza na Geita Gold wachezaji na mashabiki waliyeseka sana!
 
Back
Top Bottom