Kiufupi Yanga hawana kocha, ligi ya mabingwa makundi itapata aibu

Kocha hajui kufanya tactical switch inapotokea dharura uwanjani. Kocha hajui kuusoma mchezo na kwenda na plan inayoendana na mwenendo wa mechi. Kocha hajui namna ya kufanya sub, yeye anaamini mchezaji yeyote wa Yanga akipewa nafasi atafanya kazi badala ya kujua mchezo unamuitaji mtu wa namna gani sijui hawa watoto anaowaingizaga kipindi cha pili huwa anawaza nini kocha.

Hauna Abuya na Ngoma inafahamika sio mzuri kwenye kukaba lakini unamtoa na Mudathir kabisa halafu unataka matokeo positive. Muda bado upo wa kufanya maamuzi sahihi ya kumleta kocha wa maana kabla ligi haijaenda mbali na mechi za kimataifa haijafika hatua ngumu zaidi.

Ila kwa kocha huyu, Yanga itadondosha sana point viwanja vya mikoani. Na klabu bingwa itapata aibu. Miloud na Gamond walikuwa wanaweza kuusoma mchezo na kuziba mianya ya mapungufu ya timu kwa kuunganisha nguvu ya silaha alizonazo ila huyu bwege baada ya kuunganisha nguvu anaipunguzia nguvu timu.
Ameanza kuwa hajui lini?. Baada ya kipondo cha Jana?. Ungekuwa wewe ungeweza kuhimili Pressure ya forward line ya Simba ambayo ilikuwa inashambulia dakika ya kwanza hadi ya mwisho?. Mambo mengine muwe mnanyamaza tu.

Udhaifu wa Yanga ni timu haiwezi kustahimili consistent pressure kutoka kwa mpinzani. Jana Simba wameutumia udhaifu huu wa Yanga ambao hata kocha Robertinho aliutumia akawakanda 2-0.
 
Mpanzu, Gueye, Oura, hawakuwepo msimu uliopita? Vipi Yanga iliwezaje kuhimili presha za hao wachezaji halafu leo ionekane eti Yanga haiwezi kuhimili pressure ya foward line ya Simba?

Kuhusu hili la kutokujua hakuanza leo, nimefuatilia mechi zake nyingi tu huwa anaiua timu hasa kipindi cha pili. Klabu bingwa Yanga inaomba mpira uishe, mechi na Geita Gold Yanga inaomba mpira uishe. Jana ndio wametepeta kabisa mwanzo mwisho.
Ingekuwa Yanga wana tabia ya kushindwa kuhimili consistent presha basi Simba ndiye ingekuwa imeshinda mara nyingi dhidi ya Yanga. Ila ushindi wa Simba unahesabika na huyo kocha unayemsemea alikula goli tano.
 
Kocha hajui kufanya tactical switch inapotokea dharura uwanjani. Kocha hajui kuusoma mchezo na kwenda na plan inayoendana na mwenendo wa mechi. Kocha hajui namna ya kufanya sub, yeye anaamini mchezaji yeyote wa Yanga akipewa nafasi atafanya kazi badala ya kujua mchezo unamuitaji mtu wa namna gani sijui hawa watoto anaowaingizaga kipindi cha pili huwa anawaza nini kocha.

Hauna Abuya na Ngoma inafahamika sio mzuri kwenye kukaba lakini unamtoa na Mudathir kabisa halafu unataka matokeo positive. Muda bado upo wa kufanya maamuzi sahihi ya kumleta kocha wa maana kabla ligi haijaenda mbali na mechi za kimataifa haijafika hatua ngumu zaidi.

Ila kwa kocha huyu, Yanga itadondosha sana point viwanja vya mikoani. Na klabu bingwa itapata aibu. Miloud na Gamond walikuwa wanaweza kuusoma mchezo na kuziba mianya ya mapungufu ya timu kwa kuunganisha nguvu ya silaha alizonazo ila huyu bwege baada ya kuunganisha nguvu anaipunguzia nguvu timu.
Hii takataka inaondoka muda si mrefu! Kocha asiyejua sub ni kocha gani huo? Kama hawawezi kumrudisha Nabi basi watafute kocha mwingine mzuri!
 
Nilipoona tu Duke Abuya ameshindwa kuendelea na mchezo, nikajua tayari mchezo nao unaenda kubadilika.
 
Nipoona tu Duke Abuya ameshindwa kuendelea na mchezo, nikajua tayari mchezo nao unaenda kubadilika.
Huyu kocha alizidiwa mbinu hadi na kocha wa Gaborone aliyekuwa na wachezaji wa kawaida tu, alizidiwa na Geita Gold iliyo na wachezaji wa kawaida tu. Huko ligi ya mabingwa si tutapata aibu huko?
 
Sio kocha tu hata na wachezaji wengi ni jua la jioni.
Hapana, hapo tutaposhana. Vijana wapi vizuri sema kocha ndiyo anawakosesha mbinu! Sasa wewe jiulize dakika ya 60 unatoa kiungo unaingiza beki ili ufanyeje ujilinde? Mbinu za kocha mburula hizo. Anazidiwa hata na Cedric Kaze!
 
Mpanzu, Gueye, Oura, hawakuwepo msimu uliopita? Vipi Yanga iliwezaje kuhimili presha za hao wachezaji halafu leo ionekane eti Yanga haiwezi kuhimili pressure ya foward line ya Simba?

Kuhusu hili la kutokujua hakuanza leo, nimefuatilia mechi zake nyingi tu huwa anaiua timu hasa kipindi cha pili. Klabu bingwa Yanga inaomba mpira uishe, mechi na Geita Gold Yanga inaomba mpira uishe. Jana ndio wametepeta kabisa mwanzo mwisho.
Ingekuwa Yanga wana tabia ya kushindwa kuhimili consistent presha basi Simba ndiye ingekuwa imeshinda mara nyingi dhidi ya Yanga. Ila ushindi wa Simba unahesabika na huyo kocha unayemsemea alikula goli tano.
Narudia tena udhaifu wa Yanga ni kushindwa kuhimili consistent pressure kutoka kwa mpinzani. Sio pressure eti sijui ya kipindi kimoja tu, zingatia Neno consistent pressure!. Wakikabwa tightly at the same time wawe wanashambuliwa kwa pressure kubwa Mwanzo mwisho hawatoboi. Jipe muda chunguza hili kwenye mashindano yoyote!
 
Kocha hajui kufanya tactical switch inapotokea dharura uwanjani. Kocha hajui kuusoma mchezo na kwenda na plan inayoendana na mwenendo wa mechi. Kocha hajui namna ya kufanya sub, yeye anaamini mchezaji yeyote wa Yanga akipewa nafasi atafanya kazi badala ya kujua mchezo unamuitaji mtu wa namna gani sijui hawa watoto anaowaingizaga kipindi cha pili huwa anawaza nini kocha.

Hauna Abuya na Ngoma inafahamika sio mzuri kwenye kukaba lakini unamtoa na Mudathir kabisa halafu unataka matokeo positive. Muda bado upo wa kufanya maamuzi sahihi ya kumleta kocha wa maana kabla ligi haijaenda mbali na mechi za kimataifa haijafika hatua ngumu zaidi.

Ila kwa kocha huyu, Yanga itadondosha sana point viwanja vya mikoani. Na klabu bingwa itapata aibu. Miloud na Gamond walikuwa wanaweza kuusoma mchezo na kuziba mianya ya mapungufu ya timu kwa kuunganisha nguvu ya silaha alizonazo ila huyu bwege baada ya kuunganisha nguvu anaipunguzia nguvu timu.
Tuwaombe walio karibu naye au uongozi utaarifiwe
 
Narudia tena udhaifu wa Yanga ni kushindwa kuhimili consistent pressure kutoka kwa mpinzani. Sio pressure eti sijui ya kipindi kimoja tu, zingatia Neno consistent pressure!. Wakikabwa tightly at the same time wawe wanashambuliwa kwa pressure kubwa Mwanzo mwisho hawatoboi. Jipe muda chunguza hili kwenye mashindano yoyote!
Labda mjadala wa hoja yako uanze kwa kuniambia unazungumzia Yanga ya msimu upi yenye huo udhaifu. Yanga ya msimu huu au Yanga ya misimu yote kwa ujumla? Tuanzie hapo kwanza
 
Kuanzia Yanga ya Nabi maana honestly hili nimelibaini kuanzia kwa Nabi
 
Kilichofanyika na kocha kimpira ni sawa vile mtu avunjike mguu mmoja halafu ukaona bora utumie gongo ili atembee, halafu baadae unaamua kumvunja na mguu mwingine uliobakia. Kuingia kwa Ngoma sio shida ila shida ni pale alipoamua kumtoa na Mudathir wakati hakuna kiungo anayeweza kukaba zaidi ya Maxi.
MudThir alishachoka ilimlazimu afanye kazi mbili maana ngoma ni sawa na pazia tu pale kati
 
Kuanzia Yanga ya Nabi maana honestly hili nimelibaini kuanzia kwa Nabi
Ok ni hivi; kwanza timu kupata presha consistent ni kuzidiwa kimchezo dhidi ya mpinzani. Hivyo hilo ni swala la gap vs mpinzani na pia linatokana na gap ya wachezaji ama kimbinu. Katika mchezo wa mpira wa miguu timu yeyote ile inayoruhusu mashambulizi ya mara kwa mara huwa ina asilimia kubwa ya kufungwa hilo ulielewe kwanza. Sio Yanga tu hata ingekuwa ni Simba inashambuliwa kwa kiwango kile ni lazima kufungwa kwasababu unalazimishwa kufanya makosa. Namna sahihi ya kujilinda ni kumiliki mpira.

Kwa kumbukumbu zangu, mechi alizocheza Yanga na akapelekeshwa kwa misimu ya nyuma ni mechi Vs Al Ahyl na mechi vs Mamelod lakini pamoja na kupelekeshwa walikuwa wako vizuri kimbinu kuhakikisha mpinzani ashambulie lakini langoni kwetu asifike. Utaniambia ni mechi ipi nyingine Yanga walicheza kwa kupaki bus kwa namna ile ya jana na kuruhusu mashambulizi ya mara kwa mara. Kutoboka kutokana na presha mfululizo sio kwa Yanga bali hiyo ni lazima kutokana na sayansi ya mpira ulivyo na ndio maana kuna kauli inasema njia nzuri ya kujilinda ni kumiliki mpira.
 
Sio kocha tu hata na wachezaji wengi ni jua la jioni.
Sasa mtatoboa kweli kule CAF Champions League? Kwa mwendo huu wa ku park bus nina wasiwasi hata makundi mnaweza msifike.

Ile team ya Madagascar mliyopangiwa kucheza nayo round inayofuata sio ya kuwachezea kama mlivocheza na Simba. Kiwango cha soccer cha hiyo nchi kimeimarika sana miaka ya karibuni
 
Kocha hajui kufanya tactical switch inapotokea dharura uwanjani. Kocha hajui kuusoma mchezo na kwenda na plan inayoendana na mwenendo wa mechi. Kocha hajui namna ya kufanya sub, yeye anaamini mchezaji yeyote wa Yanga akipewa nafasi atafanya kazi badala ya kujua mchezo unamuitaji mtu wa namna gani sijui hawa watoto anaowaingizaga kipindi cha pili huwa anawaza nini kocha.

Hauna Abuya na Ngoma inafahamika sio mzuri kwenye kukaba lakini unamtoa na Mudathir kabisa halafu unataka matokeo positive. Muda bado upo wa kufanya maamuzi sahihi ya kumleta kocha wa maana kabla ligi haijaenda mbali na mechi za kimataifa haijafika hatua ngumu zaidi.

Ila kwa kocha huyu, Yanga itadondosha sana point viwanja vya mikoani. Na klabu bingwa itapata aibu. Miloud na Gamond walikuwa wanaweza kuusoma mchezo na kuziba mianya ya mapungufu ya timu kwa kuunganisha nguvu ya silaha alizonazo ila huyu bwege baada ya kuunganisha nguvu anaipunguzia nguvu timu.
Kufungwa na Simba tu amekuwa mbovu!
 
Back
Top Bottom