Kiuhalisia Januari Makamba hakuleta maendelo yoyote Bumbuli

Kiuhalisia Januari Makamba hakuleta maendelo yoyote Bumbuli

Kama hujawahi fika bumbuli unaweza fikiri wanamkashfu mwamba.. funga safari nenda bumbuli alafu njoo ucoment hapa😒😒

..hivi ni mbunge au serikali ndio inapeleka maendeleo majimboni?
 
Kama hujawahi fika bumbuli unaweza fikiri wanamkashfu mwamba.. funga safari nenda bumbuli alafu njoo ucoment hapa😒😒
Nishafika..kwa kwel huyo jamaa ni sahihi kabisa kumpga chini...yan barabara ndo kabisaaaa...nakulivyo remotness kwa zile kona na milimq..
 
..hivi ni mbunge au serikali ndio inapeleka maendeleo majimboni?
Serikali ni chombo cha kutendea… yeeye Jukumu lake ni kudai, kusimamia, na kuhakikisha serikali inatekeleza majukumu yake kwa wananchi wa jimbo lake. Hawana maendeleo kwa maana hamna anaye wadaia maendeleo yao.
 
Mbunge huwa anayafiti fursa za maendeleo jimboni kwake kisha anafanya lobbying. Kama jimboni halina maji na limezungukwa na vyanzo vya maji, mbunge ana jukumu LA kufanya mapendekezo kwa wadau wa maendeleo na serikali walete maji kwa vyanzo vilivyopo
Vitu vingine kama masoko, barabara za changarawe wala hazihitaji fedha nyingi.
Na pia ndio yapo majimbo yenye afadhali ya huduma kuliko mengine.
Hii iko kwenye katiba? Ok mfano yule Mkwe wa nanihili mbona jimboni kwake niumasikini wa kutisha? Hizi shule mlisomea wapi? Mbona nchi imejaaa wapumbavu sana? nini shida?
 
Mbunge huwa anayafiti fursa za maendeleo jimboni kwake kisha anafanya lobbying. Kama jimboni halina maji na limezungukwa na vyanzo vya maji, mbunge ana jukumu LA kufanya mapendekezo kwa wadau wa maendeleo na serikali walete maji kwa vyanzo vilivyopo
Vitu vingine kama masoko, barabara za changarawe wala hazihitaji fedha nyingi.
Na pia ndio yapo majimbo yenye afadhali ya huduma kuliko mengine.
Na kwa akili zako ukisha jengamasoko na Barabara ndio maensedeleo yenyewe, Taifa lina wajinga sanahili
 
Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,

Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.

Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Let that bastard (with his entitlement mentality) go to hell.
 
Serikali au January.
Kazi ya mbunge ni kulisemea jimbo ili keki ya taifa inapogawiwa na kwakwe pakumbukwe.

Inawezekana hakuwa na usashawishi
Kwani mfano Tulia ni Spika na Mbunge muna nini cha maana pale Mbeya, twende sasa kwa mkwe wa Samia kuna nini kafanya?
 
Kama hujawahi fika bumbuli unaweza fikiri wanamkashfu mwamba.. funga safari nenda bumbuli alafu njoo ucoment hapa😒😒
huko kwingine kuna nini cha maana? Tuanze na hayo majimbo jirani na Makao makuu ya nchi, mbona ni full Poverty?
 
At least huyo mama amejenga vijidaraja huko mchinga,na kiukweli muda mwingi alikua anaonekana jimboni kwake,japo nae alistahili apumzije sasa
Kajenga kwa pesa yake, kuna nini pale zaidi ya kiwango cha kutisha cha umasikini?

Hayo madaraja yanaondoaje kiwango cha umasikini pale mchinga?
 
Anyongwe kwenye mti mrefu kuliko yote Bumbuli iwe funzo kwa jamii
 
At least huyo mama amejenga vijidaraja huko mchinga,na kiukweli muda mwingi alikua anaonekana jimboni kwake,japo nae alistahili apumzije sasa
Kajenga kwa pesa ya mshahara wake? Taifa limejaa wajinga sana kama haya ndio maoni tuna safari ya miaka trilion 1 mbele.
 
Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,

Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.

Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Familia ya William Shellukindo itakuwa imefurahi sana kwa Makamba kukatwa.
 
Kazi ya mbunge ni kuwasemea wananchi bungeni na kuikumbusha serikali kuleta maendeleo,Bajet anapanga nani?bila kusema matatizo ya jimboni kwako unapangiwaje bajeti? Elimu ni muhimi sana nchi hii
pale Dodoma inapigwa kura ya baneti ya kila Jimbo?

Eneway nionyeshe huko kwingine kwenye maendeleo usisahau kutaja huduma bora kabisa za afya kwa wananchi, Elimu bora kabisa, Ajira, mazingira bora ya kufanya Biashara, Taja jimbo moja lenye hayo hapo.
 
Hao wabunge wote waliopita kuna alieleta maendeleo jimboni?
Hakuna hata mmoja,shida kubwa nchi ina raia wapumbavu sana na sioni hawa raia wakibadilika labda tupewe miaka trilion 1 mbele.

Majimbo yote yana shisa full, na ni shida za nchi nzima.

Pale tu Dodoma Makao makuu ya nchi si ndio kuna poverty takutisha?
 
Back
Top Bottom