Mbona hata kwa Nape Nnauye hali ni hiyo hiyo?Kama hujawahi fika bumbuli unaweza fikiri wanamkashfu mwamba.. funga safari nenda bumbuli alafu njoo ucoment hapa😒😒
Hawa jamaa walipaswa kukatwa wote
Mbona hata kwa Nape Nnauye hali ni hiyo hiyo?Kama hujawahi fika bumbuli unaweza fikiri wanamkashfu mwamba.. funga safari nenda bumbuli alafu njoo ucoment hapa😒😒
Baba yako ameleta maendeleo gani hapo mtaani kwenu???Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.
Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Hawa wabunge wote wanaobebwa kifamilia hawakustahili kurudishwa,wanajali familia zao na kwa vile ndugu zao walipitia uongozi wa CCM basi wapo kwa ajili ya maendeleo yao binafsiMbona hata kwa Nape Nnauye hali ni hiyo hiyo?
Hawa jamaa walipaswa kukatwa wote
Dogo yuko very useless kama baba yake tu, kaweka unafiki mbele zaidi, mwanamme kutwa kucha anashinda mitandaoni kuteta wanaume wenzake na kusutana na wanawake. In short, hakufaa kabisa hata kuwa muosha magari wa mkuu wa Mkoa.Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.
Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Alivyokuwa waziri wa nishati tulikuwa hatupati kabisa umemeDogo yuko very useless kama baba yake tu, kaweka unafiki mbele zaidi, mwanamme kutwa kucha anashinda mitandaoni kuteta wanaume wenzake na kusutana na wanawake. In short, hakufaa kabisa hata kuwa muosha magari wa mkuu wa Mkoa.
Alikuwa anatumia mgongo wa Baba na DINDILIWAMIZEGA.Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.
Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Kwa kweli serikali ilifanya kosa kumpa uwaziri, unaambiwa hata shuleni alikuwa kilaza tu.Alivyokuwa waziri wa nishati tulikuwa hatupati kabisa umeme
Sio kweli, kama kigezo kingekua maendeleo basi hata Jerry silaa asingerudishwa.Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.
Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Msilo lijua kuhusu Januari, huyu boss alikuwa na le go la kuonyesha nia ya kuwa Rais 2030, huku kukiwa na mvutano ni nani aanze kama ile issue ya Jk na EL.Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.
Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Ila raia wa Mchinga inabidi wakafanyiwe interview sikuMama salma kikwete kapeleka maendeleo mchinga?
😂😂😂😂😂Mama salma kikwete kapeleka maendeleo mchinga?
Nini IPO kwenye katiba? Hujui kazi ya mbunge? Mbona wewe ni mpumbavu sana halafu mbaya zaidi hujijui kuwa wewe ni mpumbavu.....Hii iko kwenye katiba? Ok mfano yule Mkwe wa nanihili mbona jimboni kwake niumasikini wa kutisha? Hizi shule mlisomea wapi? Mbona nchi imejaaa wapumbavu sana? nini shida?
Hapana kwenye profile siyo mimi ni bi mkubwa wako kapiga sutiu
Una miaka mingapi labda?. Isije kuwa wewe ni mtoto wa jana usiyeelewa hata unayoandika.
Kwani Salima na Ridhiwani Kikwete, Lukuvi, Mwigulu n.k matapeli wengine wameleta maendeleo gani? maendeleo hayaletwi na mbunge yanaletwa na serikali inayokusanya kodi, Makamba kosa lake ni kupiga pesa ndefu TANESCO na mgao hakufika kwa mazaKati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,