Kiuhalisia Januari Makamba hakuleta maendelo yoyote Bumbuli

Kiuhalisia Januari Makamba hakuleta maendelo yoyote Bumbuli

huko kwingine kuna nini cha maana? Tuanze na hayo majimbo jirani na Makao makuu ya nchi, mbona ni full Poverty?
Saasaa sisi tunakaa majimbo full poverty lkn tukifika bumbuli tunashangaa tunajiuliza huku vipi mbona pamechokaa bora kwetuu..
 
Mara 100 Nchengerwa kabadirisha jimbo kiasi chake
Kabadilisha nini? rangi? kuna nini pale? Umasikini umeisha? Kuna Huduma za afya za daraja la juu? Elimu ya pale ni yakupigiwa mfano? ajira vipi? zipo zakutosha?

Comment humu zinaonyesha tulivyo na safari ndefu sana, aiseee yaani trilion of years, kuna evolutuin itatokea ituache na huu upumbavu,
 
Saasaa sisi tunakaa majimbo full poverty lkn tukifika bumbuli tunashangaa tunajiuliza huku vipi mbona pamechokaa bora kwetuu..
Ulitaka yeye Mbunge afanyeje? kwa muundo wa utawala wa hii nchi unazani hata kama Jimbo halina m umbunge maisha hayaendelei?
 
Kabadilisha nini? rangi? kuna nini pale? Umasikini umeisha? Kuna Huduma za afya za daraja la juu? Elimu ya pale ni yakupigiwa mfano? ajira vipi? zipo zakutosha?

Comment humu zinaonyesha tulivyo na safari ndefu sana, aiseee yaani trilion of years, kuna evolutuin itatokea ituache na huu upumbavu,
Wewe ile ya 1990 na 2025 zinafanana, Chalinze na Mchinga ya 1990 na hii ya 2025 chukua picha uone utofauti, halafu 1990 mbali nenda 2015 kuja 2025, kuna mikoa huko machakani imebadirishwa huduma za maji safi, umeme, barabara, huduma za kifedha, ulinzi na usalama, huduma za afya, nk kwa uchache sitaki nitaje shule
 
Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,

Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.

Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Kwahiyo kwa fikra zako katika kumuondoa February ccm wamezingatia kuiepusha Bumbuli kuwa jehanamu, vumbi, jangwa na njaa?

Kama wewe ni mkazi wa jimbo hilo au jimbo lolote Tz nakupa pole sana kama unaamini hao ccm wapo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.
 
Tusiseme tukamaliza Ccm wana vyeo vingi sana vya kupeana,
Anaweza kupewa cheo cha katibu mkuu wa Ccm, au Balozi nchi fulani au mbunge wa kuteuliwa, Samia alimwomba msamaha alipoenda Bumbuli hivyo ana kazi naye.
 
Serikali ni chombo cha kutendea… yeeye Jukumu lake ni kudai, kusimamia, na kuhakikisha serikali inatekeleza majukumu yake kwa wananchi wa jimbo lake. Hawana maendeleo kwa maana hamna anaye wadaia maendeleo yao.

..kila mahali wanasema Raisi ndio kapeleka maendeleo.

..kama Bumbuli hakuna maendeleo maana yake Raisi hakuwakumbuka.

..kwa msingi huo hata Samia hastahili kura za wana Bumbuli.
 
At least huyo mama amejenga vijidaraja huko mchinga,na kiukweli muda mwingi alikua anaonekana jimboni kwake,japo nae alistahili apumzije sasa
Story hizo, hivyo vijidaraja yeye anajenga kutokea wapi? Mchinga ni moja ya sehemu duni Tanzania hii
 
Kama hujawahi fika bumbuli unaweza fikiri wanamkashfu mwamba.. funga safari nenda bumbuli alafu njoo ucoment hapa😒😒
Katika Mawaziri wa Ovyoooo Waliowahi kutokea Awamu hii ya SAMIA suluhu Basi ni huyu Mpumbavu January Makamba, huyu Alitutesa Sana na Mgawo wa Umeme/ huyu Alikuwa na Porojo nyingi na Mjivuni, Alikuwa Anatembelea kivuli Cha Baba yake yule Mzee Comedian Makamba, January ni Mjivuni Sana na Uwezo Hana kabisa Pimbi huyu - Halafu Alikuwa Anautaka Urais WAKATI Uwezo Hana Stupid
 
Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,

Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.

Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Na kwa akili yako timamu unafikiri huyo atakaeingia ataleta maendeleo😂😂😂😂

#Akili ni mali
 
Ubunge ni cheo Cha kihuni tu...
Hakuna Maana yeyote.

Asilaumiwe
 
Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,

Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.

Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Maendeleo huletwa na wewe mwenyewe usitegeme serikali
Ikakuletea maendeleo
Huko bumbuli hata akija mwingine wataendelea kulia na kusaga meno tu

Ova
 
Hakuna hata mmoja,shida kubwa nchi ina raia wapumbavu sana na sioni hawa raia wakibadilika labda tupewe miaka trilion 1 mbele.

Majimbo yote yana shisa full, na ni shida za nchi nzima.

Pale tu Dodoma Makao makuu ya nchi si ndio kuna poverty takutisha?
Mbunge ana asilimia yake ya kuleta maendeleo,hata kuorganize wananchi wafanye mchango wajenge vyumba vya shule nayo ni akili za maendeleo, kuna mifano hai wa wabunge wamejenga shule zao hata kama ni private ila wamejenga majimboni kwao,wengine wanajenga mijin nje ya majimbo,halafu unaposema huko juu kwamba barabara na soko basi maendeleo yapi we unayazungumzia?barabara inasaidia wananchi kuingiza mazao sokoni na kifikiwa na wafanyabiashara,kuna wabunge wametafuta wahisani nje ya serikali na wamejenga shule na mengine.
 
Ana Bajet? Yaani ana Executive power ya ku alocate fund kwenda Jimboni? kwani huko kwingine kuna maendeleo gani?
Elimu ni muhimu sana nchi hii
Sijui tufanyeje Hawa watu waelimike. Badala ya kuilalamikia serikali Wana ng,ang,ana na wabunge.
 
Kiuhalisia mbogamboga haina sifa ya kuwa hata na balozi wa nyumba kumi ni basi tu wizi umejaa kwao,kwani maendeleo yanaletwa na mbuge au serikali?
 
Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,

Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.

Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Kati ya mabwege na wewe umo, chama chenyewe hicho kimeleta na kufanya nini? Leo mnaanza kubaguana eti mnasemana, nyie nyote ni matapeli tu hamna mzima wala aliye na nafuu
 
Back
Top Bottom